Marekani yapongeza uchaguzi Tanzania

Marekani yapongeza uchaguzi Tanzania

Wale wanaojifanya wanasusa waache waendelee kususa. Dunia nzima inasema uchaguzi ulikuwa huru na wa haki.

Kwa kuwa wamesema wazungu? Basi kubali na ule usemi wa Triump kuhusu watu weusi.
 
  • Thanks
Reactions: 999
Mi naona Tz bila Zanzibar inawezekana...
Wanatutia doa sana hawa na siasa zao...
Watajuana kama wataendelea kuwa Zanzibar au watatengana Unguja na Pemba
Tungeachana nao tufanye yetu....
 
Wale wanaojifanya wanasusa waache waendelee kususa. Dunia nzima inasema uchaguzi ulikuwa huru na wa haki.

kwa sasa kuna umuhimu wa kujifanya kususa ili kumlidhisha EL, Bila ya kufanyahivyo atagundua kua walikua walitaka mihela yake tu, wanahofia wakimuacha gafla anaweza kuzimika, so akitulia watampotezea lakini kwa ss bado haamini kua mwenzake keshaapishwa, bado anajipa moyo.
 
kwa sasa kuna umuhimu wa kujifanya kususa ili kumlidhisha EL, Bila ya kufanyahivyo atagundua kua walikua walitaka mihela yake tu, wanahofia wakimuacha gafla anaweza kuzimika, so akitulia watampotezea lakini kwa ss bado haamini kua mwenzake keshaapishwa, bado anajipa moyo.

Hapo kweli mkuu umenena
 
Kwa kuwa wamesema wazungu? Basi kubali na ule usemi wa Triump kuhusu watu weusi.

Hapana kwa kuwa nchi na taasisi nyingi zimesema uchaguzi ulikuwa huru na wa haki.
 
Chadema inaongozwa na watu wenye malengo mabaya na nchi. Mbowe amekuwa msitari wa mbele kugombanisha wananchi na serikali. Hana jema kabisa. Inabidi chadema ife kabisa

Kabisa mkuu, wao lengo lao kuu ni kuona wananchi wanaichukia serikali
 
Hivi hawa jamaa walienda kweli ICJ au ndo maigizo yao yalikua yanaendelea
 
Zanzibar elections were rigged and marred with corruption and irregularities, the entire process was inflitrated by political party undercovers. ZEC has ordered elections to be done again in 84 days from today.

We love Zanzibaris but they need to elect a President through a fair process. Putting pressure on ZEC wont necessarily mean a good outcome and it further adds to a tense political situation at a very critical time in our island nation.

That's sounds fun as same process was named to have gone smoothly by NEC
 
Hivi hawa jamaa walienda kweli ICJ au ndo maigizo yao yalikua yanaendelea
maigizo mengi, walikuwa wanatafuta njia ya kuwatuliza wafuasi wao.

That's sounds fun as same process was named to have gone smoothly by NEC
do you know NEC and ZEC are two different bodies, with different Chairmen, and ZEC is dictated by Election Act 11, 1984 of SMZ and NEC is dictated by Election Act of 1977 of URT?
 
Nina mashaka kama Magufuli anaelewa kilichoandikwa hapo.
 
151106164133_john_magufuli_first_day_office_512x288_statehousetanzania_nocredit.jpg


Marekani imeitaka serikali ya Tanzania kuheshimu maamuzi ya raia wa Zanzibar katika uchaguzi wa urais uliopita.

Akimtumia risala za pongezi rais mpya wa Tanzania John Pombe Magufuli kwa ushindi wake wa uchaguzi mkuu uliopita, waziri wa maswala ya kigeni nchini humo John Kerry amesema kuwa Marekani inaendelea kukerwa na hatua ya kufutilia mbali matokeo ya uchaguzi huo.

''Tunautaka utawala mpya kuhakikisha kuwa maamuzi ya raia wa Zanzibar yanazingatiwa na kuheshimiwa'',alisema.

151029075312_john_kerry_640x360_afp_nocredit.jpg

John Kerry

Hii ni mara ya pili kwa Marekani kuzungumzia hatua ya ZEC kufuta matokeo hayo.

Amesisitiza wito wa Marekani wa kutofutiliwa mbali kwa matokeo hayo huku akizitaka pande zote kushirikiana kwa lengo la kufanikisha mchakato huo wa kidemokrasia kwa uwazi na amani.

Wakati huohuo waziri huyo amempongeza rais mstaafu Jakaya Kikwete kwa kufanikisha uchaguzi mkuu uliopita.


Chanzo:BBC Swahili
 
Dunia yote inajua, kila mtu anajua kuwa uchaguzi Zanzibar ulishakufanyika, umemalizika na mshindi wa kura nyingi anajulikana, ameshapatikana.

Tatizo ni mamlaka ya kutangaza, imeshikwa ganzi na inatafuta namna ya kupindisha ukweli na haki kwa nanufaa ya kundi ndogo flani.

Hii HAIKUBALIKI DUNIANI NA MBINGUNI!!

Nadhani huu ndiyo uwe mwisho wa uongo na ulaghai wa CCM huko Zanzibar.

Ni kweli kabisa kwamba maamuzi ya wengi wa wananchi wa Zanzibar kupitia sanduku la kura kupitia uchaguzi wa kidemokrasia sharti yaheshimiwe by all means possible!!

Kwa mujibu wa katiba na sheria ya uchaguzi wa Zanzibar, ZEC ndiyo yenye mamlaka ya kutangaza matokeo ya kura za urais na kumtangaza mshindi. Matokeo yanajulikana, tunayo na ujanja ujanja wowote hautasaidia lolote zaidi ya kutuletea matatizo tu.

Ni vyema sana ZEC ikatumia mamlaka yake ya kisheria na kikatiba kwa busara na hekima kumaliza mgogoro huu wa amani kwa manufaa ya Wazanzibari wote.

Kwa hiyo, sisi kwa msisitizo tena na kwa staha za kawaida tu tunaitaka ZEC imalizie mchakato wa kutangaza matokeo ya majimbo 23 yaliyokuwa yamesalia kisha imtangaze mshindi tumalize hii kitu kwa amani. There is no any other way around!!
 
Maalim alisema Zanzibar ni nchi na ina katiba yake na ina mamlaka kamili, magufuli ataingiliaje? Labda anataka kwenda kunywa chai.
 
Kuna jamaa alikuwa anajinadi kwenye kampeni kuwa yeye ni mcha Mungu! Na wapambe wake wakikolezea kuwa ni muadilifu.... Hebu tuone uadilifu na ucha Mungu wake utamsaidiaje kuhusu Zanzibar. NI MUDA WA KUJITOFAUTISHA NA WANAFIKI. HAKI ITAMALAKI KTK TAIFA HILI.
 
Time will tell
Zec imesha chemka.
Na imekwama ,
 
Kule kuna serikali ya mapinduzi na hawataki kuingiliwa
 
Zec inajaribu kuibeba ccm,lakini
Imebugi,ukifuta uchaguzi kwa mapungufu yaliyotajwa itahusu
kura zote 5 tatu ze jamhuri na mbili za
Zanzibar.sasa wameemewa.
ukisema kura 4 halali lakini 1 ya raisi zanzibar haramu hiyo ndo irudiwe itakuwa kichkesho cha karne .

wa
 
Back
Top Bottom