Baada ya Biden kuwajia juu hatimaye Israel yaruhusu misaada ya kibinadamu kuingizwa Gaza

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,734
6,292
Ikumbukwe Bwana Blinken alishindwa kazi ya kuishwawishi Misri kuwapokea Wapalestina na nchi za kiarabu kumkataa, pia Israel walimgomea kusitisha mashambulizi ya anga wala kuruhusu misaada ya kibinadamu kuingia Gaza.

Hili suala lilikuwa linaishushia heshima Marekani kwani nia aibu iliyokuwa wazi nq wao kama washawishi wa kubwa sheria hizi za kimataifa za kivita hawakuwa na budi kuingilia.

Hivyo Rais wa USA akaamua kwenda mwenyewe Tel Aviv, ikumbukwe Msemaji wa baraza la usala la us alisema Biden atawauliza maswali magumu Maafisa wa Israel. Hata shambulio la hospital lilikuwa linaiweka pabaya sana US ktk ushawishi wake hapo Mashariki ya kati.

Hivyo baada ya muda mrefu wa mvutano Rais Biden akatoa maagizo ya kauli moja kuwa misaada ni lazima iingie. Israel kwa kukosa namna ikabidi wakubali kwa masharti kadha wa kadha ambayo ni kama tu wameshakubali.

Swali ni Je kama wahudumu wa kimataifa wakiingia Gaza kuleta misaada na kuanza kutoa huduma ile Ground Offensive ya Israel itakuwepo ama bado Hali ya hewa haitakaa sawa mapema?

Kwa Russia pia ni hatua nzuri sana kwani EU washatuma package yao na wengine wataanza kupeleka limiting Ukraine packages.

Check More:
US President Joe Biden said that Israel has agreed to allow humanitarian aid to enter Gaza from Egypt.

The Israeli government confirmed shortly afterwards that “Israel will not thwart humanitarian supplies from Egypt as long as it is only food, water and medicine for the civilian population” that complied with its order to evacuate to the south of the enclave.

Both Biden and the Israeli government said that aid convoys would be inspected, and that the flow of assistance would be cut off if any supplies reach Hamas militants. Israel said that it would not allow any supplies into Gaza from its territory as long the roughly 200 hostages held by Hamas are not released.
 
Sasa shujaa ulieenda zako, unaripiti toka kuzimu?

Lakini mbona kama ripoti zako kimrengo zaidi?
Je unafaa kuaminika?
 
Back
Top Bottom