Marekani yapata Waziri wa Ulinzi wa kwanza mweusi

Lloyd James Austin III is an American retired four-star Army general who served as the 12th commander of United States Central Command. Austin was the first black commander of CENTCOM. On December 8, 2020, incoming President Joe Biden announced his intention to nominate Austin as Secretary of Defense.

Huyu ndiye Mrume Ndago aliechaguliwa kuwa Katibu mkuu wa Ulinzi.

View attachment 1683722
Hapa naomba kueleweshwa kidogo. Kwa marekani hawa tunaowataja mawaziri ,kumbe siyo mawaziri NI makatibu wakuu?
 
Sema Biden keshaonesha kuwa anapenda fair ground kwa races zote, ila sasa anapoelekea ataharibu tena. Isije whites wakaona kama wanaisoma namba then hali itageuka na backup ya vijana wa Trump ipo.
Utakua unaumwa ww sio bure
 
Naona Obama na Hilary Clinton wapo madarakani kwa jina la Biden
Never even once have democrat candidates been able to make their own independent decisions as presidents; they are like a pen in their boss' hand -- puppets. Trump could not be more right!
 
Uelewa wako mdogo. Hujui siasa za marekani ni bora unyamaze tu. Yani mweusi kuchaguliwa ndo unaona unlongozi wa marekani unapenda watu weusi. Hizo ni game wanaplay. Mzungu hajawahi kukupenda. Toka kwenye huo ujinga

Wewe ndio Mjinga namba moja kuamini kuwa uongozi wa marekani unachukia watu weusi. Obama alikuwa Muhindi au Mjapani ??
 
Back
Top Bottom