Marekani yapata Waziri wa Ulinzi wa kwanza mweusi

You said it so well. Trump hakutaka apandiliwe kichwani afanyiwe maamuzi na special interest groups ndiyo maana ya kumkoronarize wakamwondoa
Lol.. wazee wa conspiracy theory.. trump hiv trump vile.
Trump ali ji screw himself and he knows that.
No offence.. kura alizopata ndizo alizopigiwa.. na alipewa chance ya kupeleka ushahidi kuwa aliibiwa kura akashindwa.
Badala yake akawaamasisha wafuasi wake kufanya vurugu..
 
Ni michezo ya Biden kwa watu weusi, anataka kupumbaza waafrica ili agenda zake za siri zikamilike bila kizuizi.


#chanjo ya corona inalinyemelea bara la Africa kwa kasi.
 
Naona Obama na Hilary Clinton wapo madarakani kwa jina la Biden
😂😂😂 Mbongo mpe picha tu maelezo yote anayo mwenyewe. Obama na clinton ndio wanamdrive biden sio. Hata wakati Magufuli anaanza urais wake watu walisema hvyohvyo kuwa Mkapa ndio anaongoza nchi kwa jina la Magu
 
Nyie ni wapumbavu Sana yaani unalionea huruma hilo ligadafi ambalo lilikuwa linampa Idd Amin silaha aue ndugu zako? Kwamba ulitaka aishi milele kusujudiwa au? Pumbavu Sana ,Ingefaa hao Dems waje wayaondoe na maccm



Your little naive mind is clearly & almost eclusively & permanently IMPRISONED in Guantanamo Bay
 
Mtoa post Mungu anakuona kichwa cha habari cha kiswahili ila ndani habari ya kiingereza
 
Sema Biden keshaonesha kuwa anapenda fair ground kwa races zote, ila sasa anapoelekea ataharibu tena. Isije whites wakaona kama wanaisoma namba then hali itageuka na backup ya vijana wa Trump ipo.
Sio kweli, Biden ametokea Democratic huyu jamaa katika uongozi wake hatakuwa na tofauti sana na Baraka Obama, ni mtu ambaye atahubiri sana demokrasia, amemteua mweusi lakini as long as ni Mmarekani na anastahili icho cheo wala hakuna shida, ataondoa siasa za chuki na kiburi kama alichokuwa nacho Trump akilala akiamka anakuja jambo baya jipya ambalo ni tofauti na mila na desturi na mfumo wa Marekani
 
Nyie ni wapumbavu Sana yaani unalionea huruma hilo ligadafi ambalo lilikuwa linampa Idd Amin silaha aue ndugu zako? Kwamba ulitaka aishi milele kusujudiwa au? Pumbavu Sana ,Ingefaa hao Dems waje wayaondoe na maccm

Wewe ni Mmoja kati ya waafrika msiojitambua na hamuna imani wala huruma,,,Gadafi alijenga mahusiano mazuri na nchi za afrika na kutufanyia mambo makubwa na yakheri kama vile nyumba za ibada n.k. wewe kama nani umkosoe!!! Unajua baadhi yenu mnamatatizo sana, mnamchukia mtu kutokana na dini yake na uarabu wake, na ndicho kilichopelekea ninyi mfurahie na kupiga vigelegele kifo chake dhidi ya huyo kafiri/ndugu yako obama laanatullah alaihi.


Huyo ni ndugu yetu haswaa kuliko hata wewe usiempenda na huyo ndugu yako/kafiri obama na mashoga wenzie.
 
Nyie ni wapumbavu Sana yaani unalionea huruma hilo ligadafi ambalo lilikuwa linampa Idd Amin silaha aue ndugu zako? Kwamba ulitaka aishi milele kusujudiwa au? Pumbavu Sana ,Ingefaa hao Dems waje wayaondoe na maccm
Mkuu kuna watu mpaka leo wanaamini Idd Amin hakuwa na kosa, mwenye makosa alikuwa Nyerere.

Key points.

Idd Amini.

Julius Nyerere.

Hata Gadaff alimsaidia Idd Amini Kwasababu za kidini wakati hata Tanzania kuna waislamu wengi tu.
 
Back
Top Bottom