Marekani yapata Waziri wa Ulinzi wa kwanza mweusi

Gaddafi ilibidi apigwe tu maana alihusika katika kuipa support Uganda wakati wa vita na moja kati agenda yake kubwa ilikuwa ni kusambaza dini hivyo basi God bless America.


Alaa kumbe agenda yake kubwa ilikuwa ni kusambaza dini co 😀 hilo ni jambo la kheri kabsa chief. Sasa kama imekuuma sana kusambaza dini ya Mwenyezi Mungu, basi subiri ufe ndio utakiona cha moto, labda ubadilike na uujue ukweli kabla umauti haujakufika ilhali ukiwa katika imani yako/mkristo
 
Back
Top Bottom