ChaiUS naona kazidiwa ameomba Ceasefire ya masaa 48 Iran amekataa
Sasa ndo naelewa kwanini Iran tangu mwanzo walisema kwamba ikitokea vita kati yao na Marekani yeye Iran ndo ataamua hatma ya vita
⚡️BREAKING
The U.S. has asked Iran for a 48-hour ceasefire, but Tehran has refused
United States is trying to secure the release of its F-15 pilots
View: https://x.com/i/status/2040180480612667606
Pilot 2 moja kaokolewq, mind you helicopter iliyoend muokoa nayo ilipigwa kombora na kuna fatalities. Same time ndege nyingine imetunguliwa so siku moja walau ndege tatu zimedondoshwa how do you call that weakness.wameingia ndani ya Iran wakachukua pilot wa ndege iliyoangushwa, kobazi very weak 😂
Una maanisha nini kusema One sided story?One-sided story. 😁
Japo wavaa kobazi wa Irani imeanza kuwakubali kiaina kwenye uwanja wa vita.
Mtu ambaye hawezi hata kutengezea toothpick anawasema weak Iran,nchi ambayo inayopigana na Super power + Israel kwa zaidi ya mwezi sasa,wameingia ndani ya Iran wakachukua pilot wa ndege iliyoangushwa, kobazi very weak 😂
Iran weak??wameingia ndani ya Iran wakachukua pilot wa ndege iliyoangushwa, kobazi very weak 😂
Wakati dunia nzima tunachezeshwa Sindimba!wameingia ndani ya Iran wakachukua pilot wa ndege iliyoangushwa, kobazi very weak 😂
US naona kazidiwa ameomba Ceasefire ya masaa 48 Iran amekataa
Sasa ndo naelewa kwanini Iran tangu mwanzo walisema kwamba ikitokea vita kati yao na Marekani yeye Iran ndo ataamua hatma ya vita
⚡️BREAKING
The U.S. has asked Iran for a 48-hour ceasefire, but Tehran has refused
United States is trying to secure the release of its F-15 pilots
View: https://x.com/i/status/2040180480612667606
Pilot 2 moja kaokolewq, mind you helicopter iliyoend muokoa nayo ilipigwa kombora na kuna fatalities. Same time ndege nyingine imetunguliwa so siku moja walau ndege tatu zimedondoshwa how do you call that weakness.
It was all about taking down the planes whether people survived that is something else.
Tatizo lenu wavaa raizoni nyie ni bendera mnafuata upepo tu.One-sided story. 😁
Japo wavaa kobazi wa Irani imeanza kuwakubali kiaina kwenye uwanja wa vita.
Anapigana au anapigwa tuu, ndege zaidi ya 100 zinapiga na kutoka kila siku, jana kaangusha moja kibahati mnamwita superpower😁Mtu ambaye hawezi hata kutengezea toothpick anawasema weak Iran,nchi ambayo inayopigana na Super power + Israel kwa zaidi ya mwezi sasa,
Hivi kwanini hua mnapenda kujitoa ufahamu? Au ndio kutawaliwa na mahaba niue mpaka mnajigeuza kua mazuzu?
Ndege imeangushwaje kibahati? Unafikiri ni kubet huko? Iran wamerelease footage jinsi ndege ilivyopigwa kwa kuonwa na Radar,halafu wewe unaleta lugha za "Bahati"Anapigana au anapigwa tuu, ndege zaidi ya 100 zinapiga na kutoka kila siku, jana kaangusha moja kibahati mnamwita superpower😁
Mtu akishafumuliwa marinda akili nazo zinatoka... Ukijadiliana na watu wa aina hiyo ni kupoteza mudaMtu ambaye hawezi hata kutengezea toothpick anawasema weak Iran,nchi ambayo inayopigana na Super power + Israel kwa zaidi ya mwezi sasa,
Hivi kwanini hua mnapenda kujitoa ufahamu? Au ndio kutawaliwa na mahaba niue mpaka mnajigeuza kua mazuzu?
One-sided story. 😁
Japo wavaa kobazi wa Irani imeanza kuwakubali kiaina kwenye uwanja wa vita.
Hii vita watu waliingia bila ya strategy marekani na israel wanaenda kuaibika ,nchi za ulaya zilijua haya yote ndio maana walikataa mapema kuingia kichwa kichwaOne-sided story. 😁
Japo wavaa kobazi wa Irani imeanza kuwakubali kiaina kwenye uwanja wa vita.