Marekani yamuua Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran katika shambulio la roketi la uwanja wa ndege wa Baghdad

#Breaking #Iran military forces command: “we will be delivering a seismic response to the #US assassination of General #Soleimani in #Iraq, and the crossing of all the red-lines.”Mm sie niliesema, Wairan wakisema wanafanya

Sent using Jamii Forums mobile app
bona hawajafanikiwa kuitubukiza taifa la israeli katika bahari kaa wanavosema kila wakati, wajinga watupu wale
 
Na umesahau kusema sio tu gen soleiman aliuawa, pia kauawa major genaral hussein jafari, lt, col, shahraund mozaffari, major general hedi tameri, , captain vahid zamamev, hao wote ni wakubwa wa QUADS FORCE ya iran, marekani walikuwa wanamufuatilia huyu gen soleiman kwa muda sasa, na ile mission imekuwa WELL PLANNED, ORGANIZED, AND EXCUTED BY ELITE US FORCES USING DRONES, huyu gen soleiman ameua mamia ya watu, huko iraq, lebanon, syria, israel na mataifa mengi sana, na pia mamia ya wanajeshi wa marekani, achomeke kwa shetani kwa moto wa milele, WE SALUTE YOU YOUR EXCELLENCE MR PRESIDENT DONALD JOHN TRUMP and the america forces that carried the killing,
 
Kuna watu mko vizuri kwenye geo-politics. Sisi wengine tupo shallow sana ila tunajua yale muhimu tu.

Well, Iran wale maostaz hawawezi kukaa kimya kwa shambulio la General wao. Lazima watatupa raha tu soon.

Swali fikirishi: Ni nani mnufaika mkuu wa mgogoro huu? Najua wakristo wanafurahi, maandiko yanatimia. Yesu yu njiani yuaja!
.
IMG_20200104_065819_256.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu ww sinime kuuliza lakini mpaka sasa,nimekuuliza kama hawauzi mafuta serikali yao wanaiendeshaje?
Kodi za ndani I.E kodi ya mafuta yaliyosafishwa, na tozo nyingine.
Kwa kumbukumbu sahihi ni kwamba walipandisha bei ya mafuta kwa 50% ikaleta maandamano ya kupinga.

Na wewe unijibu :-
Serikali yenu inaendeshwa kwa kuuza mafuta ghafi?
 
Can they be compared in terms of scale and the level of sophistication and etc?
Mkuu IRAN ni taifa tajiri africa hakuna nchi inayoikuta kwa pesa wameisharusha hadi chombo angani huko waliweka nyani na akaludi salama wanazo drones na kila kitu hadi dunia inamzungumzia manake sio mtu mwepesi wale waajemi uliokua unawasoma kwenye historia ndio hawa IRAN
 
Mkuu IRAN ni taifa tajiri africa hakuna nchi inayoikuta kwa pesa wameisharusha hadi chombo angani huko waliweka nyani na akaludi salama wanazo drones na kila kitu hadi dunia inamzungumzia manake sio mtu mwepesi wale waajemi uliokua unawasoma kwenye historia ndio hawa IRAN
Nimeongelea attack uliyoitaja Newyork vs September 11 aliyoitaja Root,Nilikuwa namaanisha hili best
 
Kodi za ndani I.E kodi ya mafuta yaliyosafishwa, na tozo nyingine.
Kwa kumbukumbu sahihi ni kwamba walipandisha bei ya mafuta kwa 50% ikaleta maandamano ya kupinga.

Na wewe unijibu :-
Serikali yenu inaendeshwa kwa kuuza mafuta ghafi?
Kila nchi ina vyanzo vyake inavyo tegemea kuendesha serikali kwa hiyo mapato makubwa yalitokana na mafuta sasa kama mafuta hauzi ataiendeshaje
Kodi za ndani I.E kodi ya mafuta yaliyosafishwa, na tozo nyingine.
Kwa kumbukumbu sahihi ni kwamba walipandisha bei ya mafuta kwa 50% ikaleta maandamano ya kupinga.

Na wewe unijibu :-
Serikali yenu inaendeshwa kwa kuuza mafuta ghafi?
Kila mtu anajua Iran na mataifa mengi mashariki ya kati yanajiendesha kwa mafuta licha ya kwamba Iran ina viwanda vingi lakini kumbuka hata bidhaa zake zimewekewa vikwazo.
Hizo kodi unazo sema haziwezi kutosha kuendesha taifa kama Iran.
Utafananishaje matumizi ya tz na Iran?
Yaan bajeti ya mwaka mzima ya tz ni sawa na bajeti ya ulinzi tu ya Iran sasa hapo utafananishaje?
 
Taifa gani kwamfano?
Mataifa yote yaliyolipia walipewa dirisha la ku collect oder zao.

Ukitaka kumtangulia aliyekuzidi fanya nae urafiki.

Mbona urusi hazozani kiivyo na marekani?

Angalia Japan, Australia, German, Argentina, Brazil!!

Nyinyi tu waajemi mtuharibie kadunia ketu!!
CHINA RUSSIA TURKEY INDIA Wananunua wese la IRAN

Kwan CHINA na RUSSIA Hawajamzidi IRAN Au Lazma Ufanze Biashara Na US ?!


US Ndio Wana Iharbu Dunia Shenzi Wale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tracked for years...wiped out by a drone: How Qassem Soleimani was targeted by 230mph laser guided Hellfire missile fired from near-silent US MQ-9 Reaper drone after years of intelligence tracking his whereabouts
  • Qassem Soleimani, 62, was targeted as he was leaving Baghdad airport in his car
  • A near-silent US MQ-9 Reaper drone launched the laser-guided Hellfire missile
  • Soleimani was under near-constant surveillance by US, Saudi and Israeli forces
  • He had survived several assassination attempts over the past two decades
Piloted by a two-man crew hundreds of miles away, the 230mph (370kph) drone can carry out precision strikes and relay images of the attack to commanders anywhere in the world. The $64million (£49million) Reaper carries four laser-guided Hellfire missiles with 38lb warheads capable of destroying a tank, along with Paveway bombs. Source The daily mail online Uk.
 
Umesema wapo sio watakuja, na huwezi sema watakuja make ni sawa na ramli.
Afu kumbuka sio suala la mafunzo tu, bali majaaliwa ya Mwenyezi Mungu. Kumbuka Barcelona ni timu moja kocha mmoja lakin Messi habari nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kashajaguliwa Soleiman Mwengne Huko Ana enda Kuendeleza Alipomalizia The Late Gen Soleiman


Kuna Soleiman Wengi Sana Pale IRAN...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom