Marekani yalegeza vikwazo dhidi ya kampuni ya Huawei

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,618
Reaction score
9,611
Serikali ya Marekani yalegeza kwa muda vikwazo vya kibiashara ilivyoweka wiki iliyopita dhidi ya kampuni ya simu ya China Huawei, hatua inayolenga kupunguza hali ya kuvurugwa wateja wake.

Hatua hiyo hata hivyo imepuuziliwa mbali na muasisi wa kampuni hiyo anayesema kuwa Huawei ilikuwa imejiandaa kwa hatua ya Marekani.

Wizara ya Biashara ya Marekani itairuhusu kampuni ya Huawei kununua bidhaa zinazotengenezwa Marekani kwa siku nyingine 90 ili kudumisha mitandao iliyopo na kutoa programu tumishi mpya kwa simu za sasa za Huawei.

Kampuni hiyo kubwa kabisa duniani ya kutengeneza vifaa vya mawasiliano ya simu bado imezuiwa kununua vifaa kutoka nchini Marekani vya kutengenezea bidhaa mpya bila idhini za leseni ambazo kuna uwezekano kuwa zitakataliwa.

Serikali ya Marekani ilisema iliweka vikwazo hivyo kwa sababu ya Huawei kujihusisha na shughuli zinazoenda kinyume na usalama wa taifa au maslahi ya sera za kigeni.

DW
 
The fall of USA under mr. Shithole
 
Ukiona hivyo ujue ngumi aliyoiandaa mchina ni kubwa na nzito sana au imeonekana vikwazo hivi vitaiathiri Marekani kwa kiwango kikubwa
 
Wacha waanze kuminyana wao kwa wao wakati sisi tunaanza kupanda kiuchumi. Nina imani ipo siku tutawapita wote kama wamesimama
 
😀😀Donald Trump sio wa kuingia kwake kichwa kichwa, hili ni tusi kubwa sana kwa wachina. Alichofanya ni kama kunyang'anya bakuli la cha kula cha mbwa ili aone mbwa atavyolilia msosi then anamwaga chini chakula cha kwenye bakuli kwa masharti mapya mbwa amalize msosi wa sakafuni ndani ya sekunde 90.

Huyu mzee sio wa kuingia 18 zake, haya sasa China pindeni shingo muanze kula chakula cha sakafuni fasta kabla sekunde 90 hazijaisha
 
Ukiona hivyo ujue ngumi aliyoiandaa mchina ni kubwa na nzito sana au imeonekana vikwazo hivi vitaiathiri Marekani kwa kiwango kikubwa
Mwanzo mlilalamika saiv tena mumegeuza shilingi mjinga ni mjinga hajui anachosimamia
 
Fall kisa kaiwekea huawei vikwazo, are you crazy?

USA anamuwekea China yote vikwazo na asifall aje afall kisa Huawei?

Hebu kua serious basi.

Mkuu acha unazi, unajua ni kiasi gani ya biashara ambayo us kwa hiyo bab yake?ha ha unampiga ban mmoja kati ta wateja wako wakubwa kabisa kisa kumkomoa, Huawei ana technologia mzee, basi tuu alikuwa anaenjoty tunayoita economy of scale kwa kutumia hiyo android na hayo mazaga mengine kuepusha kuingia gharama pasipo na sababu...kampuni za kimarekani zingepoteza zaidi
 
Mwambie akatoe dozi kwa Mr. Putin...
.......Nchi ya Mr. Putin na baadhi ya makampuni,wanasiasa wakubwa wa Urusi bado wana vikwazo walivyowekewa na Marekani kwa kushiriki kuvamia na kutwaa Crimea kibabe toka Ukraine.
 
Mkuu acha unazi, unajua ni kiasi gani ya biashara ambayo us kwa hiyo bab yake?ha ha unampiga ban mmoja kati ta wateja wako wakubwa kabisa kisa kumkomoa, Huawei ana technologia mzee, basi tuu alikuwa anaenjoty tunayoita economy of scale kwa kutumia hiyo android na hayo mazaga mengine kuepusha kuingia gharama pasipo na sababu...kampuni za kimarekani zingepoteza zaidi
Kaburi la huawei lina futi nne sasa!
 
Back
Top Bottom