Marekani yalaani Mauwaji ya Arusha

Nyerere Alikuwa na misingi ya kikomunist hao wamarekani wanaropoka tu.. hawajui nyerere vizuri

Nadhani wewe ndiyo humjui Nyerere. Nyerere hakuwa na misingi ya Kikomunisti bali alikuwa ni mtu aliyetetea haki za wanyonge.
 
The so called big democracy in the world and always strongly condemn barbaric regimes now we shall see if they stand by their words..Look..a police officer in Arusha shoot a child and eventually the very killer became escorted by fellow policemen to safety. In this view how can the clean and well respected leader of world class his excellency president Baraka Obama visit this regime under such acts and call them friend? It will be a big shame to him and the Americans.

I dare to say he should not be surprised if he will be welcomed by demonstrations to oppose his visit to this regime.
 
It is better for your own sanity to consider whether you are Tanzanian enough worth a visit from anybody for that matter!
 
The so called big democracy in the world and always strongly condemn barbaric regimes now we shall see if they stand by their words..Look..a police officer in Arusha shoot a child and eventually the very killer became escorted by fellow policemen to safety. In this view how can the clean and well respected leader of world class his excellency president Baraka Obama visit this regime under such acts and call them friend? It will be a big shame to him and the Americans.

I dare to say he should not be surprised if he will be welcomed by demonstrations to oppose his visit to this regime.

Amerika haiogopi sehemu yoyote yenye mafuta na gesi,wewe si unakumbuka hata Bush alienda battle field Iraq siku ya Thanksgiving kuwapa morali wapiganaji sembuse hutwo tubom twa petroli
 
In this view how can the clean and well respected leader of world class his excellency president Baraka Obama visit this regime under such acts and call them friend?

Kumbe this is alll about hii safari? Kimewauma sana hadi sasa mmeamua kuwaua hata viongozi wenu ili mradi hii ziara isifanyike?
 
The so called big democracy in the world and always strongly condemn barbaric regimes now we shall see if they stand by their words..Look..a police officer in Arusha shoot a child and eventually the very killer became escorted by fellow policemen to safety. In this view how can the clean and well respected leader of world class his excellency president Baraka Obama visit this regime under such acts and call them friend? It will be a big shame to him and the Americans.

I dare to say he should not be surprised if he will be welcomed by demonstrations to oppose his visit to this regime.
Well said my friend, this regime is turning to be satanic in nature, no one is care ling what is taking place!!! Police officers shooting innocent people and young children coming out of school!!! What actually is taking place in this country beloved TZ???

No. 12-2013
Demonstrations in Arusha
June 18, 2013
The U.S. Embassy has learned from multiple sources of political unrest in the Arusha area. According to reports, the unrest followed an opposition party gathering the afternoon of Tuesday, June 18th, in the Manzese/Soweto/Kaloleni area of Arusha--the same area where an explosion killed several people at an opposition political rally on Saturday, June 15th. At this time we understand that a significant quantity of tear gas has been launched, a number of people have been reported to be injured, and three leading opposition figures and some supporters have been arrested.
There is no indication that any threat or violence was directed at foreigners, foreign businesses, or American citizens.
Please distribute this message to any visitors in the Arusha area.
Reminder:

It is prudent to avoid demonstrations, political rallies, large public gatherings, and crowds. On occasion peaceful rallies and demonstrations have spontaneously escalated into looting and/or violence with little warning. Once an incident starts it is very difficult to get away. Please monitor local news reports and maintain a low profile.

Avoiding risky situations and employing simple security practices can make a huge difference to your safety:

Maximize your awareness and minimize your risks.

My Take

Obama kama akikomalia tu Kuja Bongo Nitazidi Kuamini kuwa Lazima atakuwa anakuja kwa Maslahi yao na Si Vingen
evyo

Ndo maana yake hawezi kutokuja maana ni lazima aje amalizie kile ambacho wenzake walikianzisha, Clinton then bush. Mbona huwa anaenda Iraq, Afghanistan etc. USA maslahi mbele!!! Zz
 
My Take

Obama kama akikomalia tu Kuja Bongo Nitazidi Kuamini kuwa Lazima atakuwa anakuja kwa Maslahi yao na Si Vingen
evyo

Huko Arusha endeleeni na madudu yenu maana mlichagua viongozi wezi na anti establishment characters kama wabunge wenu.
Sasa mnapata mlichotaka, kiongozi wenu mmoja alidiriki kusema hamtambui rais!!

Ustaarabu wa siasa huku kwinngine msituingilie, Obama na wastaarabu wengine wataendelea kuja tu. Si kitu cha kushangaza kuwa Obama alikuwa aje mbugani lakini jamaa zake wakasema huko Arusha ni noma!
 
Huko Arusha endeleeni na madufu yenu maana mlichagua viongozi wezi na anti establishment characters kama wabunge wenu.
Sasa mnapata mlichotska, mmoja alidiriki kusema hamtambui rais!!

Ustaarabu wa diasa huku kwinhine mdituinhilie, Obama na wastaarabu wengine wataendelea kuja tu. Si kitu cha kushangaza kuwa Obama alikuwa aje mbugani lakini jamaa zake wakasema huko Arushs ni noma!

Kwani ukichangia bila Kum quote Mwanaume huoni Raha Kabisaaa
Huwaga Nakerekaga sana Kukuta Quote Notifications na kukuta aliye quote ni wewe
 
Sasa wewe litakataka unapoandika madudu ya shule za kata uwe unamtafuta na mkalimani wa kututafsiria. Gamba wee!!
 
Yah,yap yap yap. Mangi wala msuba wa arachuga! Mji mneshauharibu na dili zenu zooote kwishney. Tuone zile pombe mfululizo mtazinywea wapi wakati vyanzo vya mapato ndio hivyoooooo vinaondoka. Big up america kwa kuueleza ulimwengu umburura wa CHAMA CHA DEMONSTRATION NA MACHAFUKO
 
Niwemugizi,
Bush alienda battlefield ya Iraq kwa ziara ya kushitukiza, ambapo hata frontliners walishtukia akiwasalimia!

Tena alitumia siku ya Thanksgiving makusudi, siku ambayo hakuna binadamu ambaye angewaza kuwa siku kama hiyo angetembelea Iraq.
Hayo ni maujanja ya intelijensia za wenzetu.

Kwa case ya Tanzania Obama atakuja ceremoniously, na si kwa kujificha, hadi sisimizi watakuwa kwenye alert kwmb mwanaume anakuja, so usijaribu kulinganisha hzo situation mbili, ni kama Mbingu na Dunia.

Mimi pia nawashauri Americans waangalie upya suala la Obama kuja Tanzania...hasara tutakayopata endapo kitu chochote kitaharibika ni kubwa sana in comparison to faida ya kuja kwake!
Currently Tanzania si mahali salama pa kutembelea tena tusidanganye watu.

Leo hii mimi binafsi nikiwa dereva wa gari ya wageni watalii waliowasili na Precision nimelazimika kupaki gari eneo la Mbauda Njake kwa muda wa saa 1 nzima nikitokea uwanja wa ndege Arusha kuwapokea, kisa mjini hakuendeki kutokana na mabomu.
Wageni niliokuwa nao walikuwa wanaendelea kutuma mails kwao kuwajulisha ndugu zao hali halisi ya Arusha na Tz kwa ujumla.

Kama Americans wako smart wa'cancel safari hiyo haraka, ili Viongozi wetu ambao wamerelax wajue kuwa nothing is the same any longer!
 
Last edited by a moderator:
Siyo tu haeleweki, bali anatia aibu. Tunashindwa kutafakari huyu mtu ni binadamu wa aina gani. Ni nini atakachokipata toka huko G8 na kwa manufaa ya nini wakati watu wake wanakufa. Kikwete anatutia aibu watanzania kusema kweli. Mimi naona viongozi wa G8 wanaomuona kama mjinga Fulani vile. Wamfukuze. Kwani hana mchango wowote bali ni kupe kwao wakati nchi yake inaangamia. Nakumbuka waingereza walimtukana miaka miwili iliyopita, Je kwa nini wasirudie?

attachment.php

attachment.php

Chanzo : Davos 2012
 
shame on you guys, nilishajua tokea mwanzo mbinu zenu hizi, aibu yenu..kama kuja atakuja tu anakwenda Afghanistan ndio iwe bongo?? aibu yenu..
 
Yah,yap yap yap. Mangi wala msuba wa arachuga! Mji mneshauharibu na dili zenu zooote kwishney. Tuone zile pombe mfululizo mtazinywea wapi wakati vyanzo vya mapato ndio hivyoooooo vinaondoka. Big up america kwa kuueleza ulimwengu umburura wa CHAMA CHA DEMONSTRATION NA MACHAFUKO

Wewe utakuwa ni MASHONDE, tena ya binadamu
 
Kwani ukichangia bila Kum quote Mwanaume huoni Raha Kabisaaa
Huwaga Nakerekaga sana Kukuta Quote Notifications na kukuta aliye quote ni wewe

Mkichagua wezi wa magari mtegemee polisi kuwa sparring partners wenu.
Masikini wananchi wa Arusha they are learning the hard way!
 
Back
Top Bottom