Marekani yajitoa rasmi WHO

wowote tu uliotolewa nataasisi huru...
Sio kila jambo linahitaji ushahidi.

Uzembe wa WHO ni ushahidi tosha. Kila mtu mwenye akili anakiri kua WHO ilichemka na iliharibu.

WHO ilikataa ushahidi wa wazi kutoka kwa wataalamu wa Taiwan kua corona inaambukizwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine, wakakataa kwa sababu kwa kusema ushahidi uliotolewa na China hauonyeshi hivyo, baada ya wiki moja mbele wakakubaliana na Taiwan kua Corona inaambukizwa kutoka kwa binadamu mmoja kwenda mwingine.

WHO ilikua inafanya kazi kama wanasiasa, leo wanasema hivi kesho wanasema vile kama wanasiasa badala ya kua wataalamu wanasayansi.
 
Ushahidi wawazi waliotoa TAIWAN uliujuaje ?!

WHO nitaasisi yakisayansi ambayo inaendesha mambo yake kisayansi lazma mambo yathibitike/shwe kisayansi ndio yafanyiwe kazi

TAIWAN walileta ushahidi gani wakisayansi kuhusiana na kuambukizwa kwa KORONA !?



US waache kulia lia washajitoa wapige kimya

Ukiachana na US taifa gani jengine ambalo limeilalamikia UCHINA mpaka kujitoa WHO kwasababu ya UCHINA kuhusiana na CORONA zaidi ya US


US waache kulia lia wakatafte kazi yakufanya Sio tena wanachama wa WHO wapigekimya huko wendako.....


Halaf hilo jambo ambalo halihitajii ushahidi utaliamini vipi ?!
Unataka WHO iendeshwe kama mtu anaiendesha familia yake MKUU pole sana kwahilo huu nitaasisi tena sio taasisi tu nitaasisi yakimataifa(KIDUNIA)ambayo kila jambo lake linaenda kwamichakato maalum kama ulitaka wakiambiwa jambo tu wakubali pole sana kwahilo MKUU
Kwamujibu wakanuni sheria nataratibu za WHO nilazima itifaki zizingatiwe ndio maamuzi yafanyike
Mbna baada yakufanya UTAALAM wakaja mahitimisho kwamba kweli korona inaambukiza.....
 
Rais ndiye ana uwezo wa kiveto.
Chochote kikitoka Congress kinaensa Senate ambayo mhusika ni Republican

 
Yaani China itoe 500mil kila mwaka.... thubutuuu

China itoe pesa kuziba nafasi ya Marekani?? Wewe huijui China na hata huo uwezo hawana.

Umesikia wenyewe China wamekiri wazi kuwa kuondoka kwa Marekani WHO itakuwa ni pigo kubwa kwa nchi maskini duniani. Unafikiri ni kwa nini wamekiri hivyo.
 
Ila wamekuzidi kila kitu hata wakifa leo wewe na ukoo wako hamuwezi fikia hata asilimia 1 ya mapato yao
Trump ni tahira kama yule jamaa wa Tanzania.Jamaa wa dona kantri,jamaa wa nchi ya asali na maziwa!
 
Ndio maana Trump anawakomalia WTO China iwekwe kwenye Developed countries
 
Katika siasa au sheria hauwezi kumshutumu mtu bila ya ushahidi utaonekana punguwani

Cause hata Mimi naweza kuamka zangu asubuhi nikadai kuwa wewe nikikojozi ". Ili watu wanaojielewa waweze kuniamini napaswa kuwa na evidence

Kama evidence huna utaonekana kuwa nimpiga porojo tu
 
hakikaaaa.....
 
Wee jamaa unapenda sana kukurupuka ujue kaah
Rais ndiye ana uwezo wa kiveto.
Chochote kikitoka Congress kinaensa Senate ambayo mhusika ni Republican
Uwe unampiga msasa huyo jamaa yako kabla hujamwambia aje achangie hapa anakaa anakurupuka kurupuka tu kwakila jambo bila kujua
 
China badala kujazia gap linaloachwa na US, yeye analialia tu eti Hali itakuwa mbaya kwa nchi zinazoendelea, Sasa si atoe mpunga kuepusha hiyo hali mbaya! Kulialia haisaidii.
 
Ningeshangaa Kama wasingejitoa! WHO ya Sasa ni wasanii na wahuni tu hakuna la maana! Ni madalali wa wafanyabiashara tu! Livunjwevunjwe kabisa kizaliwe kitu tofauti kabisa!
 
China hawana moyo wa kutoa alafu kingine USA kujitoa WHO kutaipa nguvu zaidi USAID

so USA kachanga karata zake vizuri
 
Biden atatengua huu uchizi wa Trump.
 
China badala kujazia gap linaloachwa na US, yeye analialia tu eti Hali itakuwa mbaya kwa nchi zinazoendelea, Sasa si atoe mpunga kuepusha hiyo hali mbaya! Kulialia haisaidii.
Baada yakuona MUHABESHI kagoma kutoka wakaona watoke wao [emoji4][emoji23][emoji16]
 
China hawana moyo wa kutoa alafu kingine USA kujitoa WHO kutaipa nguvu zaidi USAID

so USA kachanga karata zake vizuri
US Hajachanga karatazake vyema kwasababu

Kupitia WHO taifa la US lilikua linaweza kufanya mambo yasio yakawaida kupitia WHO kwamataifa ambayo sio rahisi kuingia kwao kwamfano wangewaingiza MAJASUSI wao KOREA RUSSIA UCHIBA IRAN VENEZUELA n.k

Pia US AID haitakua kama WHO sababu halitakua shirika lakimataifa litakua shirika la US.....
 
Baada yakuona MUHABESHI kagoma kutoka wakaona watoke wao [emoji4][emoji23][emoji16]
Hoja ya US kujitoa iko wazi hata kwenye habari hii imeelezwa na wala sababu sio boss wa WHO kutong'atuka kama unavyotaka kupotosha hapa. Na hoja yangu mie ni mchina ajazie gap ili hiyo hatari anayosema itatokea kwa nchi maskini baada ya US kujitoa isitokee, Ila sasa nashangaa umeniQuote tofauti kabisa na hoja yangu niliyoandika hapa na pia tofauti kabisa na sababu za kujitoa alizoeleza Marekani. Sasa sijui lengo lako nini? Tufanye mjadala wa hoja ama tufanye mjadala katuni!!
 
twende kwahoja US alijitoa WHO kwasababu zipi ambazo zakitaalam lkn sio blaa blaaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…