MAREKANI yafunga Balozi ikiwemo ya Mbaya wetu

kabindi

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
333
Reaction score
120
Marekani yafunga/kufunga balozi zake kwa muda katika baadhi ya nchi za Mashari ya kati na Afrika kutokana tishio la ugaidi. Nchi ambazo balozi zimeishafungwa na nyingine zitafungwa kufikia tarehe 10 mwezi huu, ni pamoja na: Abu Dhabi, Amman, Cairo, Riyadh, Dhahran, Jeddah, Doha, Dubai, Kuwait, Manama, Muscat, Sanaa, Tripoli, Antanarivo, Bujumbura, Djibouti, Khartoum, Kigali, and Port Louis.

Ni vizuri kwa wakati huu ambapo Tanzania inaendelea kwa kasi kujipatia marafiki wa Ulaya, Amerika na kwingineko kuchukua tahadhari ya usalama kutokana na baadhi ya nchi jirani kuionea kijicho.

Source: US extends embassy closures - Americas - Al Jazeera English
 
Tena ujiulize hv wamarekani wana rafiki. Acha na hao wanafiki. Wangezifunga balozi zao Tz na Kenya kwa viliwahi kulipuliwa. Wamarekani ni wezi tu!
 
du hawa jamaa wanahangaika yote yasingewatokea km wangekuwa wanaishi na watu vizuri ....ubabe usio na kichwa wala miguu matokeo yke hya kuishi km digidigi
 
Ni mara chache sana kuwa na amafanikio bila kuwa na maadui. Na wakati mwingine kufikia mafanikio lazima utatengeneza maadui.Hiyo inatokana na choyo au ubinafsi, na wivu wa binadamu.
 
Marekani yafunga/kufunga balozi zake kwa muda katika baadhi ya nchi za Mashari ya kati na Afrika kutokana tishio la ugaidi. Nchi ambazo balozi zimeishafungwa na nyingine zitafungwa kufikia tarehe 10 mwezi huu, ni pamoja na: Abu Dhabi, Amman, Cairo, Riyadh, Dhahran, Jeddah, Doha, Dubai, Kuwait, Manama, Muscat, Sanaa, Tripoli, Antanarivo, Bujumbura, Djibouti, Khartoum, Kigali, and Port Louis.

Ni vizuri kwa wakati huu ambapo Tanzania inaendelea kwa kasi kujipatia marafiki wa Ulaya, Amerika na kwingineko kuchukua tahadhari ya usalama kutokana na baadhi ya nchi jirani kuionea kijicho.

Source: US extends embassy closures - Americas - Al Jazeera English

Na Rwanda itaambiwa itumie ubalozi wa tz kwa mambo yake unaona palivyopatamu
 
Ili ufanikiwe unahitaji maadui na ili uwe tajiri lazima ujifunze uchoyo.tz si wachoyo wageni wanakuja wanajichukulia tu wanasepa ss hatuitaji mafanikio wala utajiri.hawawezi kutuchukia.
 
Back
Top Bottom