Tetesi: Marekani yafanya mazoezi Korea kusini hali ya wasiwasi imetanda

We mtu wa ajabu

Leo Kim ni Dikteta

Marekani kwako,ni mwema sana?!

Hivi!!!kuna mtu muovu na mbaya kama Marekani?!!!
Hii imekaa vizuri mno. Kim must go; wakorea waondokane na dikteta na dunia iwe mahali salama zaidi pa kuishi. Sote tuiombee Marekani na washirika wake dhidi ya dikteta katili Kim.
 
Naona hata wewe utakuwa mhanga wa bange kama Kim.Madude yote ya kivita alionayo Korea Kaskazini ni zana zilizobuniwa na kutumiwa na Marekani tangu 1947 katika kuhitimisha vita ya pili ya dunia.Wakati huo Korea hata kuvaa kaptura alikuwa hajui.Korea ambae amezingirwa na Marekani pande zote tena akina umbali maili sifuri amwache Korea anamwangalia tu arushe madude yake ya masafa marefu kwenda kuangamiza huko mbali kabisa.Mimi naona upeo wa watu wengine wa kufikiri hua unaambatana na kutumia makamasi badala ya ubongo.Nchi ilivyo ndogo kama wilaya ya Bagamoyo inaweza kutoweka kwenye uso wa ramani duniani ndani ya siku moja tu.
Pole mkuu nadhani umefiwa na aliyekuwa anakuwezesha ssa unahasiiiiiira na muweweseko kiasi unakurupuka kuandika tu,
Tulia utapata mwingine
 
Hii imekaa vizuri mno. Kim must go; wakorea waondokane na dikteta na dunia iwe mahali salama zaidi pa kuishi. Sote tuiombee Marekani na washirika wake dhidi ya dikteta katili Kim.
BILA SHAKA WEWE NI KADA WA CCM MAANA WENYE ROHO NZURI KAMA WE HUPATIKANA HUKO HASA MITAA YA LUMUMBA
 
Back
Top Bottom