Marekani wanaiogopa Iran?

Marekani wanaiogopa Iran?

Iran ni habari nyingine. Wakati wa mapinduzi ya mwaka 1979 iliwashikilia mateka American diplomats 66 ingawa kwa misingi ya kibinadamu waliwaachia Wanawake na mateka weusi na ku na mateka 52 ambao walishikiliwa kwa siku 444. Raisi Jimmy Carter aliandaa rescue operation kuwakomboa lakini hakufanikiwa. Alipochaguliwa Ronald Reagan kwa msaada wa Algeria Iran iliwaachia baada ya kupewa pesa nyingi.

Na hii ya juzi juzi itakua ni yale yale ya 1981. Bila pesa Iran haiwezi kuwaachia wafungwa wa kimarekani
1473348118009.jpg
1473348131529.jpg

1473348106716.jpg
Mateka wa kimarekani wakiwa chini ulinzi wa wanafunzi wa chuo kikuu.
1473348264994.jpg
1473348275314.jpg
Wanajeshi wa kimarekani wakiwa chini ya ulinzi wa jeshi la wanamaji wa Iran.
 
Iran ni habari nyingine. Wakati wa mapinduzi ya mwaka 1979 iliwashikilia mateka American diplomats 66 ingawa kwa misingi ya kibinadamu waliwaachia Wanawake na mateka weusi na ku na mateka 52 ambao walishikiliwa kwa siku 444. Raisi Jimmy Carter aliandaa rescue operation kuwakomboa lakini hakufanikiwa. Alipochaguliwa Ronald Reagan kwa msaada wa Algeria Iran iliwaachia baada ya kupewa pesa nyingi.

Na hii ya juzi juzi itakua ni yale yale ya 1981. Bila pesa Iran haiwezi kuwaachia wafungwa wa kimarekani View attachment 396418View attachment 396419
View attachment 396416Mateka wa kimarekani wakiwa chini ulinzi wa wanafunzi wa chuo kikuu.View attachment 396420View attachment 396421Wanajeshi wa kimarekani wakiwa chini ya ulinzi wa jeshi la wanamaji wa Iran.
Haya mambo hayako simple sana..raia weng wa marekan wanaonaswa iran huwa kwanza ni iranian-american na weng huwa wanafanya espionage tehran,ndio maana ayatoullah alishawah hoji watu hawajiuliz kwann marekan hufanya juu chini na kutumis njia yeyote ile ili wamarekan wanaokamtwa iran warudishwe marekan kwa gharama yeyote ile?bila shaka hao wafungwa ni asset muhim sn kwa marekan..kitu kimoja hawa marekan huwa wako serious sn na issue yenye interest kwao na km upole unahitajika kusecure hio intetest watakua tu wapole...
 
Wewe unawaelewa wamarekani. Marekani wameamua kuwatumia Iranian-American and British-American kwa kuwafanyia ujasusi ingawa kila kukicha wanakamatwa.
 
Inawezekana sana tu, kabla ya Iranian Revolution Shah of Iran alikuwa ni rafiki mzuri sana wa America na silaha zote alinunua huko. Baada ya mapinduzi akawekewa embargo pamoja na PACIFIC BLOCKADE. Hii ndiyo chanzo cha Iraq- Iran War ambapo Raegan alimpa SCUD Missile na Strategic weapons nyingi Sadam ili awatwange Iran bila Sadam naye akawageuka.

Kinachoendelea Iran ni suala zima la Big power politics. Inasemekana Iran akifanikiwa kutengeneza Nuclear Grade Weapons basi kuna likelihood ya nchi nyingi pamoja na makundi kama Hezbollah yanaweza kuwa radicalized.
Hii ni hatari kwa Usalama wa Israel na Saudi Arabia.

Ikumbukwe Iran ni mdau mkubwa sana wa kibiashara wa Urusi na Uchina. China anategemea mafuta ya Iran, sasa kwa kipindi hiki ubabe hauwezi kufanya kazi kwasababu kutakuwa na Nuclear Proliferation ambayo ni Unprecedented. The world have doesn't a new North Korea for now.

Urusi na Marekani wamesaini mikataba Mingi sana ya kuzuiana wao kwa wao wasisambaze silaha za Kinyuklia kwa mataifa wadau wao. Endapo ubabe ukitumika na Marekani asijali Maslahi ya Uchina na Urusi unadhani ni nini kitawazuia Warusi kuwasaidia Iranians kuzalisha Nuclear Grade Weapons?
Hili hata Henry kissinger , Brehzinsk , Ash Carter, Clinton na wengine wengi wanalijua.

Kama una kumbukumbu nzuri Republicans wao wenyewe walishawahi kutumia mkakati kama huu mwaka 1972. Nixon baada ya kuna Uchina inakuwa na nguvu na inatengeneza silaha za Kinyuklia na inatishia sana mataifa rafiki wa Marekani kama South Korea, Japan, Philippines na India. Akaamua kwenda kuwafuata huko huko kwao akisingizia anaenda kutembelea THE GREAT WALL OF CHINA.

Kule Uchina Nixon aliwaahidi Wachina kwamba Sera ya Marekani ya mambo ya nije itabadilika na atamfungulia masoko ya kibiashara endapo tu Uchina itabadilisha mtazamo wake juu ya mataifa jirani. Nuclear Proliferation iliishia pale pale.

Mwaka 1972 kama una kumbukumbu nzuri Uchina Walirudishwa UN na wakapewa na VETO huku TAIWAN alifukuzwa. Hujiulizi kwanini Marekani aliamua kuwa mpole???

Mwisho kabisa hivi hujajiuliza kwanini Ronald Raegan na ubabe wake wote hakuwahi vamia CUBA ambao ni majirani zake kabisa???

Au unadhani European Refugee crisis imetokea tu out of thin Air?? Vita nyingine ikitokea middle east unadhani Ulaya itakaa salama ndugu yangu??
Hivi unadhani Wazungu watamsapoti Marekani kwenye vita ambayo moja kwa moja itahatarisha Usalama na uchumi wao kama ilivyo sasa????

Now the answers are simple..
1) Big power politics
2) Threat of Nuclear Proliferation
3) Escalation of World terrorism
4) European Security Concerns

"EVALUATE YOUR BATTLES CAREFULLY SOMETIMES PEACE IS MORE IMPORTANT THAN BEING RIGHT"

Marekani ni taifa kubwa sana na maamuzi yake yanaathiri dunia nzima.
Hebu tusipende kufurahia vita sana nimekaa hapo Sudan Kusini sijapenda kabisa mazingira ya vita hata kidogo.
Nakushauri usipende kushabikia machafuko.

What makes you thin nashabikia vita?
hii ni thread tu ya kuuliza ili kujua nini kinaendelea
 
What makes you thin nashabikia vita?
hii ni thread tu ya kuuliza ili kujua nini kinaendelea

Can't you see that your question is very paradoxical and full of rhetoric?
Hate to plaster words in your mouth but unapouliza swali as a response out of the obvious behaviour of a certain thing it means you wonder why the obvious didn't happen.

The obvious is American big stick diplomacy, the non-obvious is America's Appeasement Policy towards Iran. Your response is why America did corner Iran as it does to other states.

The above casual observation has made me draw a circumstantial inference that your post condones an awful spectre of war.
 
Haya mambo hayako simple sana..raia weng wa marekan wanaonaswa iran huwa kwanza ni iranian-american na weng huwa wanafanya espionage tehran,ndio maana ayatoullah alishawah hoji watu hawajiuliz kwann marekan hufanya juu chini na kutumis njia yeyote ile ili wamarekan wanaokamtwa iran warudishwe marekan kwa gharama yeyote ile?bila shaka hao wafungwa ni asset muhim sn kwa marekan..kitu kimoja hawa marekan huwa wako serious sn na issue yenye interest kwao na km upole unahitajika kusecure hio intetest watakua tu wapole...

Duh kumbe..kama ni ivo bora wakikamatwa watupwe straight baharini au kunyongwa kabisa
 
Donald hapewi nchi hata akishinda
establishment inachagua mtu kabla na wanahakikisha anakuwa Rais
leo magazeti ya Dallas ambako ni Republican strong holds...yamemu endorse Hilary
Chuo cha kura ambach watu wanadhani kitakuwa dhidi ya Trump, ndicho hicho kitakachompa ushindi
 
Hii story goes back in 1979 wakati wa Iranian Revolution, wenyewe wanasema ni refund for US weapons ambayo Iran walipurchased but the American never delivered.
Marekani hana tabia ya kurudi nyuma hata siku. Hapa amepima kaona ubabe hautazaa matunda.
 
Mkuu hawawezi tumia nguvu kwani hawa watu walitumwa kwenda kufanya kazi maarumu na sasa wanarudi nyumbani !!
Marekani uwa anachokifanya ni upelelezi wa kijasusi kupitia kwa wafungwa wake!!
Hizo pesa wanaamini zitarudi baada ya kukamilika kwa mpango huo
hahahah acha kuleta hadithi za kutunga wewe..not American money na some zililipwa na Iranians kununua silaha ambazo hazikuwa delivered miaka ya zamani sana kwa ufupi kinachofanyika ni kurudisha pesa za iran
 
USA baby
 
Marekani hana tabia ya kurudi nyuma hata siku. Hapa amepima kaona ubabe hautazaa matunda.
is just a matter of principle hakuna ubabe hapo,ndio maana dunia nzima mmejaa US treasury mnagombania kununua madeni maana mnajua mtalipwa tuu no matter what, credit trust ni kitu muhimu sana na US hawezi kupoteza kwa pesa ndogo kama hizo za Iran
 
Ni propaganda za kampeni za uchaguzi tu hizo hakuna ransom hapo. Hizo hela ni haki ya Iran ila Marekani walizitumia kupata watu wao.
 
Mkuu hawawezi tumia nguvu kwani hawa watu walitumwa kwenda kufanya kazi maarumu na sasa wanarudi nyumbani !!
Marekani uwa anachokifanya ni upelelezi wa kijasusi kupitia kwa wafungwa wake!!
Hizo pesa wanaamini zitarudi baada ya kukamilika kwa mpango huo
Kazi maalumu sio maarumu.
 
is just a matter of principle hakuna ubabe hapo,ndio maana dunia nzima mmejaa US treasury mnagombania kununua madeni maana mnajua mtalipwa tuu no matter what, credit trust ni kitu muhimu sana na US hawezi kupoteza kwa pesa ndogo kama hizo za Iran

Yeah, dunia nzima including Kagame and Rwanda.
 
Donald hapewi nchi hata akishinda
establishment inachagua mtu kabla na wanahakikisha anakuwa Rais
leo magazeti ya Dallas ambako ni Republican strong holds...yamemu endorse Hilary
Donald hoyeeeeee
 
Donald hapewi nchi hata akishinda
establishment inachagua mtu kabla na wanahakikisha anakuwa Rais
leo magazeti ya Dallas ambako ni Republican strong holds...yamemu endorse Hilary

Ooouch!!

What happened..?

😀

So much for that so called 'establishment'.
 
Back
Top Bottom