Hahaaa naona magoli yatazidi kuhamishwa tu

.
Mwanzoni Ilikuwa hawezi kugombea...akatangaza nia.
Alipotangaza tukasema hata duru ya kwanza hatavuka....akavuka hadi akapata uteuzi.
Alipopata uteuzi tukasema ma GOP watamtosa katikati ya safari...akachanja mbuga.
Tukahamisha tena magoli tukasema mbele ya Hillary hana kabisa nafasi ya kushinda....unaambiwa eti mpaka mishale ya saa tatu usiku EST ile siku ya uchaguzi bibi na wapambe wake walikuwa wanaamini ushindi ni wao.
Akashinda! Sasa goli limehamishwa tena....imekuwa habari za impeachment.
Nahisi baada ya hapo goli litahamishiwa kwenye assassination kama ndo njia pekee ya kuondokana naye.
İla kama ilivyo ada hata hilo naamini litafeli tu.
Hahahaaaa.....Trump kiboko yao aisee.