Marekani Waiomba China msaada

Marekani Waiomba China msaada

Alafu huwezi amini, utasikia Pompeo naye anatangaza Vikwazo dhidi ya China.

Marekan huwa hawaangalii hayo, Rafiki wake wa kweli ni Israel na Uingereza

"What is yours will always be yours no matter what "
ila msaada wameomba lakini nakwasasa hawatathubutu kumuekea CHINA Vikwazo hata vya sekunde moja maana ndio wananchi wao watagundua zaidi kama wanaendeshwa namaviongozi mijinga namipuuuzi

Sent using My COVID-19
 
Shule mlisomea ujinga au wapi kaomba msaada kama ni iyo tweet amna sehemu alipo omba msaada ..tifauti na kuongea na kushirikiana tu......

Kwani huo ushirikiano sio msaada

Kama ndio ujanja ulosomea shule huo pole sana

Ukiona una janga ukaomba mtu muungane ujue ndio msaada wenyewe huo ewe uloenda somea ujanja

Sent using My COVID-19
 
Back
Top Bottom