We Mzee unafanya kazi saa ngap?Shukrani kwa taarifa mkuu
DuuWe Mzee unafanya kazi saa ngap?
Ni kama Chadema vile.Wanapinga jambo jema wana lao jambo!
Nafanya kazi saa nne asubuhiWe Mzee unafanya kazi saa ngap?
At your bestShukrani kwa taarifa mkuu
Kawaida tu mkuuAt your best
Nadhani ili kuondoa utata, waisalamu nao wapewe slot ya kujenga mnara wa sheria zao. Kwa jinsi waislamu wanavyochukia ukristo (wao huwaita wakristo jina la MAKAFRI) hawatakubali kuona mnara huo ukijengwa.
Wanaharakati katika jimbo la Arkansas nchini Marekani, wanapinga ujenzi wa jiwe moja kubwa lililo na maandishi ya amri 10 za Mungu, kwenye uwanja wa makao makuu ya bunge la jimbo hilo.
Wanasiasa walipitisha kauli ya ujenzi wa mnara huo wa jiwe wenye urefu wa futi sita, katika eneo la Little Rock mnamo mwaka wa 2015.
Muungano wa haki na uhuru wa raia nchini Marekani ACLU, umewasilisha kesi mahakamani kutaka kuondolewa mara moja kwa mnara huo, ukisema kuwa unaleta mgawanyiko na unakiuka ahadi ya uhuru wa kidini kwa wote, katika katiba ya Marekani.
Seneta wa chama tawala cha Republican, Jayson Rapert, ambaye alikuwa katika mstari wa mbele wa kutaka kuwekwa kwa jiwe hilo , alisema kuwa hatua hiyo inaenda sambamba na msimamo wa mahakama kuu ya Marekani, na hivyo ni jambo zuri kwa jimbo la Arkansas.
Chanzo: Muungwana Blog
Waislamu wanazikubali amri kumi kwani wanaikubali Torati ya Musa.Nadhani ili kuondoa utata, waisalamu nao wapewe slot ya kujenga mnara wa sheria zao. Kwa jinsi waislamu wanavyochukia ukristo (wao huwaita wakristo jina la MAKAFRI) hawatakubali kuona mnara huo ukijengwa.
Ngoja tuwasubiri wenyewe waje waseme.Waislamu wanazikubali amri kumi kwani wanaikubali Torati ya Musa.
Wahindu je?! Na wale wanaoabudu mizimu?! Na atheists je..?! NINASEMA ULE NI UBAGUZI..!Waislamu wanazikubali amri kumi kwani wanaikubali Torati ya Musa.