S V Surovikin
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 13,626
- 32,762
Chanjo ni kinga! Kama wana kinga ya korona kwanini wamelazwa?unaelewa kazi ya chanjo mwilini lakini?
Chanjo ni kinga! Kama wana kinga ya korona kwanini wamelazwa?unaelewa kazi ya chanjo mwilini lakini?
Hili suala la chanjo ni la mtu kujiongeza mwenyewe na kuwasaidia watu wake kama anawajali ama kuwapenda. Dunia inahimiza chanjo kwa kila mtu, kwa mdomoni inasemekana ni hiyari. Hiyari hiyo inafunikwa na fimbo ya chuma kwamba usipochanjwa huruhusiwi kufanya kitu chochote eti kwa kuwa utawaambukiza waliochanjwa!.
Pamoja na kuchwanjwa kikamlifu yaani kukamilisha mahitaji yote yaliyosemwa hapo awali, kule Massachusets, Marekani jana imereportiwa kwamba katika kila wagonjwa 100 waliopatikana na maambukizi mapya 74 kati yao ni waliochanjwa kikamilifu. Hii ina maana 26% tu ya wlaioambukizwa katika kipindi cha hivi karibuni. Na wanatakiwa hao waliochanjwa kuvaa barakoa na kufanya kila kitu kama wale wasiochanjwa. Taarifa hiyo inasema hakuan mauti iliyotokea kwa wote wallo chanjwa na wasiochanjwa hapo juu.
Wanasayansi bado wanafikiria namna ya kuwasaidia waliochanjwa kwa chanjo nyingine zaidi.
SWALI FIKIRISHI:
Ni kweli kwamba tumeamua kuachana na juhudi za ndani za matumizi ya dawa zetu na kumwomba Mungu huku tukichukua tahadhari kulikotuvusha kwa kishindo katika awamu za maambukizi yaliyotangulia, ili tuwafuate hawa watu waliokuwa wakienda kusikojulikana na hadi sasa hawana uhakika na hiyo njia inawapeleka wapi?
Kama chanjo haisaidii kuzuia mtu kupata madhara, na mtu akichanjwa hana tofauti na asiyechanjwa kwa upande wa kinga, na hiyo chanjo haiwezi kumsaidia mtu aliyeathirika ili kumponyesha, kwa nini inaitwa chanjo? Jina lake halisi na kazi yake ni nini? Kama iko hivyo, ni kitu gani kinafanya ilazimishwe kwa watu kiasi kwamba ukiandika mabaya yake, ama ukiandiak njia sahihi za kutibu corona ambazo zimethibitika na kuponya wengi tu, unaonekana mkosa hata unapigwa ban?
Kwa ufupi hakuna chanjo ya korona. Hiki kinachoendelea ni nini?
CDC: 74% Of People Infected in Massachusetts COVID-19 Outbreak Were Vaccinated
A new CDC report found that nearly three-fourths of people who were infected in a COVID-19 outbreak in Massachusetts earlier this summer were fully vaccinated.link.verywellhealth.com
1. Umeambiwa ukiwa umechanjwa haikuzuii kupata maambukizi ila hata ukiyapata madhara yake yanakuwa ni kidogo zaidi kuliko ambaye hakuchanjwa.
2. Marekani imethibitishwa katika vifo vyote vitokanavyo na Corona, 99% ni watu ambao hawakuwa wamechanjwa.
3. Ni wazi andiko lako linaonyesha usugu wako wa kutoelewa ulionao ambao ama kwa hakika nao ni kipaji. Hongera 😂😂!
Kwa hiyo wewe hicho unachoambiwa ndicho unakiita elimu yote!. Kweli mbwiga ni mbwiga. Utata na mambo yanayotokea kila kukicha juu ya utata uliogubika ambao hata wataalamu hawaelewi ila wanaendelea na utafiti wewe hujui? Unasema elimu yote!.Kazi ipo, elimu yote iliyotolewa juu ya chanjo bado hujaelewa tu???. mwalimu wako alikuwa anakazi ya ziada shuleni.
Punguza bangi, hata kama hauelewi hutaki uambiwe kuwa hauelewi, yaani watu wote unataka tuwe na akili kama yako, pole yako.Kwa hiyo wewe hicho unachoambiwa ndicho unakiita elimu yote!. Kweli mbwiga ni mbwiga. Utata na mambo yanayotokea kila kukicha juu ya utata uliogubika ambao hata wataalamu hawaelewi ila wanaendelea na utafiti wewe hujui? Unasema elimu yote!.
Wewe bwana hata ukiambiwa kula chochote utasabangila.
Subiri matangazo ukariri, mijadala ya kutumia vichwa si kiwango chako" Dah!. Zero nyingine hapa.
Hii hapa ni ya jana Aug 5:Taarifa nimeweka hapa ni ya tarehe 30 July, 2021. Weka hapa taarifa yako tuione.
Chanjo ni kinga! Kama wana kinga ya korona kwanini wamelazwa?
Kwa hiyo wewe hicho unachoambiwa ndicho unakiita elimu yote!. Kweli mbwiga ni mbwiga. Utata na mambo yanayotokea kila kukicha juu ya utata uliogubika ambao hata wataalamu hawaelewi ila wanaendelea na utafiti wewe hujui? Unasema elimu yote!.
Wewe bwana hata ukiambiwa kula chochote utasabangila.
Subiri matangazo ukariri, mijadala ya kutumia vichwa si kiwango chako" Dah!. Zero nyingine hapa.
Hakuna chanjo bora bana,chanjo zimekuwa developed ndani ya mwaka 1 haziwezi kuwa nzuri.Ndio maana kitaalamu wataziita chanjo za dharura, emergency vaccines,It means dunia nzima bado tupo kwenye test,we are test rats.Kwahio wasingechanja hakuna ambaye angalazwa ?
Au badala ya robo tatu ingekuwa 3/4 ?
Badala ya kulalamika hii chanjo sio 100% tungekuwa tunahangaika kutafuta ipi ni bora zaidi..., tunajua haya ni mapambano ambayo ni endelevu kuliko kuwa wapiga kelele kwamba hii haifai tungetafuta ipi inafaa
Achana na nawakala wa chanjoPamoja na hii habari bado hawataamini watapinga na jiandae kwa povu mkuu!!
Halafu msikilize na Dr Gwajima anavyosema sasa, uone mwenyewe nani mjinga aliyesemwa na Dr Mollel.
hatutakubali ujinga na kimbelemble chao kitawaponzaInakoelekea waliochanjwa wataforce wote tuchanjwe ili wote tufanane tusiwacheke, hiyo itakua hatari sana.
Hiyo analysis maana yake kinga ya mwili ya asili ina nguvu kuliko hiyo chanjo ya majaribio. Ila sema kwa sababu lengo si kutafuta iliyo bora wapenzi wa chanjo watafumba macho na kuficha kichwa mchangani!Kwahio wasingechanja hakuna ambaye angalazwa ?
Au badala ya robo tatu ingekuwa 3/4 ?
Badala ya kulalamika hii chanjo sio 100% tungekuwa tunahangaika kutafuta ipi ni bora zaidi..., tunajua haya ni mapambano ambayo ni endelevu kuliko kuwa wapiga kelele kwamba hii haifai tungetafuta ipi inafaa