MAREKANI: Ndege ya kivita yadondoka

MAREKANI: Ndege ya kivita yadondoka

Ingekuwa ni ndege ya Russia ndo imeanguka habari zingekuwa zimeenezwa duniani kote na US media. Kwa kuwa ni ndege yao ndo imeanguka habari zimetokea kwenye mitandao ya kijamii!

hata hii imeenea dunia nzima, kama mimi niko huku kijijin mondo nimeipata we unafikiri nan hajaipata?
 
No, ndege za B-52 zilihundwa kuanzia miaka ya hamsini - bom la nuclear lilidondoshwa Japan miaka saba kabla ya ndege za B-52 kuhundwa, ndege zilizo tumiwa kudondosha bom zilikuwa aina ya B-29 Superfortless Bombers.
 
Live CNN sasa hivi ndo wana report kama Breking News kuhusu EgyptAir Flight 804
 
weka habari yote tuisome, sio kutuwekea vipande vipande kama mishikaki.
 
Back
Top Bottom