Justine_Dannie
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 1,963
- 1,616
Naikumbuka kauli hii,
".....dogo fanya ufanyavyo ushindi uje kwetu"
Baada ya mpira kupigwa eneo la hatari, nilimkabili jamaa kwa nguvu mno,jamaa akajibu kwa nguvu kubwa mno, kisha nikalegeza na kuanguka, refa akapuliza filimbi "penati".
Mwisho wa game tukatawazwa mabingwa wapya.
Marekani sio wa kwanza, na hatokua wa mwisho.Na kama utaendelea kuliona Hilo ni "udhaifu", nakushauri tafakari upya.