Marekani na Israel zaenda Ukraine kujifunza namna ya kuikwepa s300

Hapa wengi wataendelea kuamini kuwa kurudishwa kwa F - 35 si kwa sababu ya makosa ya kiufundi yaliyopelekea kuanguka moja hapo juzi kati bali ni kuogopa kutunguliwa na s 300 hivyo kupelekea wateja wao washindwe kuziamini kama zilivyopigiwa debe la kuwa zina uwezo mkubwa wa kutambua mifumo mingine, haya sasa hiyo ni s 300 wanapata shida hivyo ingekuwa s 400 na s 500?.
Inastaajabisha kwakweli
 
Achani kumapaka poda Russia.zana za Russia ndio ziongoza kwa failure kwenye field kuzidi U.S
 
Wenzenu wanapojifunza bila aibu ninyi mnawacheka kwa kujifanya wajuaji. Halafu wakishapata maarifa baada ya kujifunza ninyi mnaanza kuwachukia kwa kujua kwao
 
Achani kumapaka poda Russia.zana za Russia ndio ziongoza kwa failure kwenye field kuzidi U.S
Unafikiri kwanini usa anaogopa direct conflict na russia? Hiyo s300 peke yake usa kainyooshea mikono. THAAD ya usa ni failure
 
Kama bajeti ya ulinzi ya marekani angetumia urusi kwa miaka mitatu basi urusi ingekua zaidi ya urusi hii ya sasa.
 
Kama nusu ya bajeti anatoa yeye kuna haja gani ya kuwa na NATO?kwa nini asitumie hiyo mi hela yake kutengeneza silaha zake peke yake na kujilinda yeye mwenyewe huko nyumbani kwake?,hao wa Europe kwani wamemuita aje afanye nao Collabo?,je hiyo collabo(NATO ) ni dhidi ya nani? NK au Iran?
 
Kwenye mambo ya technology, kufanya uchunguzi ni mambo ya kawaida sana labda hamuelewi tu kwa sababu hampendi kusoma na hii ni "The main Achilles Tendon to many Tanzanians"

Kwenye miaka ya 1930s The Nazi Germany walivumbua silaha moja iliyoitwa V-2 Rocket na baadaye kwa kutumia hiyo technology ndio akina Marekani na ile iliyokuwa USSR kwa kufanya "Wizi" nao wakai-develop na ndio ikawa Ballistic Missiles tunazoona leo.

Kama utasoma mambo ya Inventions huwezi kuja humu na hoja za kijinga jinga hizi eti ndio ujione umeanzisha mada.

Sasa Wamarekani walivumbua huu umeme tunaitumia leo, sasa leo hata Russia wanautumia huo umeme hivyo unaweza ukawaponda Russia kisa sio wavumbuzi wa huo umeme japo nao leo wana hiyo teknolojia.

Fikiri kabla hujapost hata kama una mahaba kihivyo na hao Warusi japo wao ni miongoni mwa Racists wakubwa sana especially against the black race, you included.
1).mimi nakuhakikishia kabisa kuwa Watanzania tunasoma sana,ndio maana tunaweza kujadili mambo kama hivi,usifikiri haya tunayatoa kichwani,ni kusoma tu.
kufanya uchunguzi kwa silaha iliyokuzidi sio uchunguzi ni uoga,wewe Raia wa nje unawezaje kusema sisi Watanzania hatupendi kusoma?umefanyia wapi utafiti wako,wewe mtu usiyejielewa?hapo haikua kufanya uchunguzi ,bali ni kujifunza kitu kinachowatisha jinsi ya kujilinda,huu ni uoga tu.
2) Wewe ni nani aliyekuambia USA na USSR ndio mwanzo na mwisho wa tech,je hujui kuwa GERMANY walikua wanatech ya hali ya juu sana? na je huoni kuwa umeongeza mashiko kwenye mada yangu kwa komenti yako hii ya kijinga,hivyo unakubaliana na mimi kuwa USA na USSR waliiba Tech ya V-2 kwa sababu V-2 ilikua ni superior kwao,kama ambavyo leo USA na Israel wameenda kuiba siri ya S300 kwa Urusi kupitia Ukraine kwa sababu silaha hiyo ya Russia ni Superior kwao? kwa kujibu kijinga hadi umeunga mkono hoja yangu ,bila ya wewe kujua na ujuaji wako wa kijinga msomi wewe,
3)Wewe unayejifanya msomi nakuhurumia kwa kuwa umeonesha ujinga wako hadharani kwani msomi mzima umeshindwa kutambua kuwa mada yangu imetoka kwenye habari kamili niliyoisoma kutoka vyombo vya nje,mimi nilichofanya ni kuihamisha habari hiyo tu na kuileta huku watu wajadili,leo wewe unakuja kunituhumu kwa kuanzisha mada utadhani JF unaimiliki wewe.
4) Hata Warusi waligundua/walivumbua utundu wa kwenda anga za juu amabo Marekani naye anafaidika na sayansi ya Anga za juu ambapo Wanaenda kila siku wameweka hadi vifaa vyao ndio maana leo tunaweza kuwasiliana mimi na wewe ,ni Russian hao.
5) kama Russia ni Racists wakubwa against black RACE akina Malcolm x,Martin R King,etc walikua wanadai nini huko USA?
Wa South Africa weusi wenzetu,waliwabagua sana Waafrika wengine,waliokwenda SA kutafuta maisha hapa juzi kati,unalijua hili ?unapotaka kumjibu mtu fikiri kwanza ndg.
 
Hakuna mwenye technology yote humu duniani kila mmoja kuna anachofahamu zaidi ya mwingine nk.

Swala la Racism in Russia is beyond argument especially against black Africans na hata kwenye mechi za mpira especially Uefa waga tunaona na kama bado unapinga nitakuacha sina haja ya kubishana na wewe.

Wakati wa ukombozi USSR alilazimika kuwasadia waafrika kama njia ya kupambana na the West na pia kujaribu silaha zao lkn sio kwa kuwapenda waafrika na kama waliwapenda kihivyo basi leo wako wapi na hiyo misaada yao?

Hakuna siku mtu mweusi anaweza kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi nchini Russia afadhali hata Pakistan.
Kwa hiyo kama Urusi wako Racist,hiyo inaondoa tusiseme ukweli juu ya mambo ya ajabu wanayoyafanya?au inaondoa haki yangu ya kuileta habari hii ya USA na Israel kwenda Ukraine kujifunza nguvu ya S300?
Kwa maana hiyo USA alipoamua kuwaunga mkono wakoloni ulikua ni ustaarabu ama uonevu?,kwa hiyo ulitaka tukose wasaidizi ama watetetzi ambao ni akina USSR? tuteswe tu na wakoloni?
 
Hata Urusi walichukua mabaki ya makombora ya Tomahawk ya Marekani toka Syria na kuyapeleka kwao Russia kuyasoma ili kutoa silaha za kuyadhibiti.

fundi25 lee van cliff

Russia claims it has a US Tomahawk cruise missile and will use it to improve its own weapons
Mkuu ze hoja yako haifanani na mada hii.Mkuu nadhani tunakubaliana mimi na wewe kuwa katika uwanja wa mapambano jeshi au nchi yeyote ikipata silaha ya mpinzani kwa nama yeyote ile ikiwa ni pamoja na kuiteka ama kiokota ni halali yao,na hivyo ndivyo walivyofanya Warusi,lakini kwa USA na Israel ni tofauti,wao wamechukuana kwenye ndege hao,hadi Ukraine,kuistudy S300.kwangu mimi hii ni aibu kubwa kwa Supa pawa.
 
Back
Top Bottom