Marekani na Israel zaenda Ukraine kujifunza namna ya kuikwepa s300

L

lee van cliff

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
1,547
Likes
1,247
Points
280
L

lee van cliff

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
1,547 1,247 280
Niliwahi kuandika makala hapa jamvini kuwa Marekani ndio nchi inayopata misaada ya kijeshi na kiulinzi hapa duniani kuliko nchi yeyote,nikadharaulika.Kama kweli marekani ni Supa power kweli inakuaje inategemea nchi nyingine kuikabili Urusi,ama silaha za Urusi?hiliorodhesha nchi nyingi zinazoshirikiana na Marekani ama kuikabili Urusi ama kuzikabili silaha za Urusi.Urusi iko peke yake.
Sasa tazama leo hii Marekani inongozana na nchi ya Israel kwenda nchi ya Ukraine yenye Silaha ya S300 kwenda kujifunza kuikwepa.Kwa nchi kama Marekani kwangu mimi naona ni udhaifu mkubwa kwenda kujifunza kuikwepa silaha iliyotengenezwa na hasimu wake mkubwa kijeshi iliyoko nchi nyingine nchi ya Ukraine.
naambatanisha habari hiyo kwa lugha ya kiingeeza
US and Israeli officials travel to Ukraine to study S-300 air defence systems
World » Former USSR » Ukraine
Ukraine has S-300 anti-aircraft missile systems. A delegation of US and Israeli officials has recently visited Ukraine to study S-300 complexes, Soha News, a Vietnamese publication reports.

The delegation of US and Israeli officials paid a visit to Ukraine after Russia delivered S-300 missile systems to Syria following the tragic shoot down of the Ilyushin Il-20 spy plane. Kiev convinced representatives of the delegation that Ukrainian S-300 systems were no different from Russian ones, the publication said.
According to Soha News, the trip to Ukraine was successful, because US and Israeli officials found out that F-35 Lightning II fighters, if necessary, will be able to cope with Russian or Syrian S-300 systems deployed on the territory of Syria.
A critical time for the girls of our world
See more at US and Israeli officials travel to Ukraine to study S-300 air defence systems - Russian weapons
 
Justine_Dannie

Justine_Dannie

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2014
Messages
1,616
Likes
1,001
Points
280
Justine_Dannie

Justine_Dannie

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2014
1,616 1,001 280
Naikumbuka kauli hii,
".....dogo fanya ufanyavyo ushindi uje kwetu"
Baada ya mpira kupigwa eneo la hatari, nilimkabili jamaa kwa nguvu mno,jamaa akajibu kwa nguvu kubwa mno, kisha nikalegeza na kuanguka, refa akapuliza filimbi "penati".
Mwisho wa game tukatawazwa mabingwa wapya.
Marekani sio wa kwanza, na hatokua wa mwisho.Na kama utaendelea kuliona Hilo ni "udhaifu", nakushauri tafakari upya.
 
Proved

Proved

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Messages
1,162
Likes
879
Points
280
Proved

Proved

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2018
1,162 879 280
Niliwahi kuandika makala hapa jamvini kuwa Marekani ndio nchi inayopata misaada ya kijeshi na kiulinzi hapa duniani kuliko nchi yeyote,nikadharaulika.Kama kweli marekani ni Supa power kweli inakuaje inategemea nchi nyingine kuikabili Urusi,ama silaha za Urusi?hiliorodhesha nchi nyingi zinazoshirikiana na Marekani ama kuikabili Urusi ama kuzikabili silaha za Urusi.Urusi iko peke yake.
Sasa tazama leo hii Marekani inongozana na nchi ya Israel kwenda nchi ya Ukraine yenye Silaha ya S300 kwenda kujifunza kuikwepa.Kwa nchi kama Marekani kwangu mimi naona ni udhaifu mkubwa kwenda kujifunza kuikwepa silaha iliyotengenezwa na hasimu wake mkubwa kijeshi iliyoko nchi nyingine nchi ya Ukraine.
naambatanisha habari hiyo kwa lugha ya kiingeeza
US and Israeli officials travel to Ukraine to study S-300 air defence systems
World » Former USSR » Ukraine
Ukraine has S-300 anti-aircraft missile systems. A delegation of US and Israeli officials has recently visited Ukraine to study S-300 complexes, Soha News, a Vietnamese publication reports.

The delegation of US and Israeli officials paid a visit to Ukraine after Russia delivered S-300 missile systems to Syria following the tragic shoot down of the Ilyushin Il-20 spy plane. Kiev convinced representatives of the delegation that Ukrainian S-300 systems were no different from Russian ones, the publication said.
According to Soha News, the trip to Ukraine was successful, because US and Israeli officials found out that F-35 Lightning II fighters, if necessary, will be able to cope with Russian or Syrian S-300 systems deployed on the territory of Syria.
A critical time for the girls of our world
See more at US and Israeli officials travel to Ukraine to study S-300 air defence systems - Russian weapons
Kwan hao waasi wa Ukraine wanaosaidiwa na Urusi wanamiliki pia hiyo S-300?
 
L

lee van cliff

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
1,547
Likes
1,247
Points
280
L

lee van cliff

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
1,547 1,247 280
Kwan hao waasi wa Ukraine wanaosaidiwa na Urusi wanamiliki pia hiyo S-300?
S300 inamilikiwa na serikali ya Ukraine.waasi hawamiliki hiyo maneno.
 
L

lee van cliff

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
1,547
Likes
1,247
Points
280
L

lee van cliff

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
1,547 1,247 280
Mbona kuna kipindi waliweza kuangusha ndege za Serikali na ile ya abiria?
Mkuu kwa nijuavyo mimi haikuangushwa na waasi,Hata serikali ya Malaysia yenye ndege hiyo inakiri kuwa Waasi na Urusi walisingiziwa tu.
 
L

lee van cliff

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
1,547
Likes
1,247
Points
280
L

lee van cliff

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
1,547 1,247 280
Mbona kuna kipindi waliweza kuangusha ndege za Serikali na ile ya abiria?
Hata hivyo kuna tofauti kubwa sana baina ya ndege ya abiria na ndegevita hasa za ndegevita za kushambulia.Ndege ya abiria inaweza kuangushwa hata na silaha nyepesi kabisa kwa sababu inaenda polepole sana, kwa mtazamo wangu.
 
K

kingson1

Member
Joined
Aug 11, 2018
Messages
8
Likes
6
Points
5
K

kingson1

Member
Joined Aug 11, 2018
8 6 5
Kujifunza usicho kijua kwa mtu unaemzidi uwezo mbali mbali ni hekima kubwa sana! USA wana akili mno. Kuna msemo wa kimombo, "every human i meet is my superior so i learnt something from him/her". Only in Africa eti hawawezi kuomba msaada wa FBI au Scotland yard kwenye mambo yalowashinda! Shame on us!
 
C

CHAZA

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Messages
7,003
Likes
2,487
Points
280
C

CHAZA

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2012
7,003 2,487 280
Nimeiangalia video yake YouTube nilichogundua ni kwamba Mrusi ni mjanja sana. Ukiangalia landmines target yake kubwa ni kuangamiza mtu na vehicle.

Prokhod imepunguza risk, kwa hiyo ile shughuli ya kufanywa na binadamu kutafuta mabomu itafanya hiyo zana na chuma yake ni ngumu. Ukiiangalia video yake unaona inapita kabisa kwenye mabomu ya kufukiwa na yanalipuka na prokhod bado ipo imara kabisa.

Hii itasaidia sana kupelekwa Congo huko walipo wanajeshi wetu itasaidia sana hii.
Ni noma sana
 
N

Nyanjomigire

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Messages
2,347
Likes
1,771
Points
280
Age
55
N

Nyanjomigire

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2013
2,347 1,771 280
1).mimi nakuhakikishia kabisa kuwa Watanzania tunasoma sana,ndio maana tunaweza kujadili mambo kama hivi,usifikiri haya tunayatoa kichwani,ni kusoma tu.
kufanya uchunguzi kwa silaha iliyokuzidi sio uchunguzi ni uoga,wewe Raia wa nje unawezaje kusema sisi Watanzania hatupendi kusoma?umefanyia wapi utafiti wako,wewe mtu usiyejielewa?hapo haikua kufanya uchunguzi ,bali ni kujifunza kitu kinachowatisha jinsi ya kujilinda,huu ni uoga tu.
2) Wewe ni nani aliyekuambia USA na USSR ndio mwanzo na mwisho wa tech,je hujui kuwa GERMANY walikua wanatech ya hali ya juu sana? na je huoni kuwa umeongeza mashiko kwenye mada yangu kwa komenti yako hii ya kijinga,hivyo unakubaliana na mimi kuwa USA na USSR waliiba Tech ya V-2 kwa sababu V-2 ilikua ni superior kwao,kama ambavyo leo USA na Israel wameenda kuiba siri ya S300 kwa Urusi kupitia Ukraine kwa sababu silaha hiyo ya Russia ni Superior kwao? kwa kujibu kijinga hadi umeunga mkono hoja yangu ,bila ya wewe kujua na ujuaji wako wa kijinga msomi wewe,
3)Wewe unayejifanya msomi nakuhurumia kwa kuwa umeonesha ujinga wako hadharani kwani msomi mzima umeshindwa kutambua kuwa mada yangu imetoka kwenye habari kamili niliyoisoma kutoka vyombo vya nje,mimi nilichofanya ni kuihamisha habari hiyo tu na kuileta huku watu wajadili,leo wewe unakuja kunituhumu kwa kuanzisha mada utadhani JF unaimiliki wewe.
4) Hata Warusi waligundua/walivumbua utundu wa kwenda anga za juu amabo Marekani naye anafaidika na sayansi ya Anga za juu ambapo Wanaenda kila siku wameweka hadi vifaa vyao ndio maana leo tunaweza kuwasiliana mimi na wewe ,ni Russian hao.
5) kama Russia ni Racists wakubwa against black RACE akina Malcolm x,Martin R King,etc walikua wanadai nini huko USA?
Wa South Africa weusi wenzetu,waliwabagua sana Waafrika wengine,waliokwenda SA kutafuta maisha hapa juzi kati,unalijua hili ?unapotaka kumjibu mtu fikiri kwanza ndg.
Ku-argue na "Fanatic" ni kazi ngumu sana, kama hata Racism against the blacks iliyotamalaki Russia bado unatetea tu na huwezi kuiona then hiyo ni ktk ile effect ya Fanaticism japo naamini fika kuwa wewe sio Mrusi anayeishi humu nchini.

Sikatai kuwa Marekani hakuna Racism, ipo ila sio ktk kiwango cha Russia nina uhakika kwa mtu black kufungua hata kioski nchini Russia ni shughuli huenda hata mteja usipate.

All in all, yoote waliyofanya the Russians ingekuwa na mantiki zaidi kama ingewasaidia kuwainua kuwa the economic power house than mere "Belligerents" out to create tension in the otherwise peaceful world and Japan or South Korea are the case in point.
 
TUJITEGEMEE

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Messages
13,183
Likes
4,953
Points
280
TUJITEGEMEE

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2010
13,183 4,953 280
The Valdai Club holds an international forum each year in Sochi, and some of the most senior world politicians and leading experts gather to take part in the discussions. Putin often participates, and this year the Russian president gave a somewhat grim warning to anyone, who would seek Russia’s destruction.

Putin was speaking of a possible nuclear holocaust. Russia is currently upgrading its nuclear deterrence, saying it is necessary to keep in check the US development of anti-ballistic missile technologies. Within months, world’s first hypersonic glider warhead will enter service in the Russian military, the president
announced .

Any aggressor should know that retribution will be inevitable and he will be destroyed. And since we will be the victims of his aggression, we will be going to heaven as martyrs. They will simply drop dead, won’t even have time to repent.

From nuclear holocaust to playing hockey: Five takes from Putin’s Valdai talk
 
L

lee van cliff

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
1,547
Likes
1,247
Points
280
L

lee van cliff

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
1,547 1,247 280
Ku-argue na "Fanatic" ni kazi ngumu sana, kama hata Racism against the blacks iliyotamalaki Russia bado unatetea tu na huwezi kuiona then hiyo ni ktk ile effect ya Fanaticism japo naamini fika kuwa wewe sio Mrusi anayeishi humu nchini.

Sikatai kuwa Marekani hakuna Racism, ipo ila sio ktk kiwango cha Russia nina uhakika kwa mtu black kufungua hata kioski nchini Russia ni shughuli huenda hata mteja usipate.

All in all, yoote waliyofanya the Russians ingekuwa na mantiki zaidi kama ingewasaidia kuwainua kuwa the economic power house than mere "Belligerents" out to create tension in the otherwise peaceful world and Japan or South Korea are the case in point.
Hivi wewe jamaa mbona mgumu sana kuelewa issue ndogo kama hii?,hivi Russians racism against blacks unayoisema hapa inatuzuia sisi kusema juu ya superiority ya S300?,kwa sababu wako racist ndio inawaondolea uwezo walionao wa silaha bora?Hivi wewe jamaa unajua kua hata Israels wako racist pia je? kama wanafanya vitu vikubwa watu wasijadili?,hoja yako ni kwamba kwa sababu Russians wako racist against blacks basi hatuhitaji kabisa kusifia chochote juu yao kuhusu uwezo wa silaha zao?
Da! najiepusha kabisa kutumia maneno ya dharau juu yako kama ulivyofanya juu yangu kwa sababu nimeshakuelewa wewe u mtu wa aina gani.Unajiona unaelewa lakini una tattizo mahali fulani.
 
L

lee van cliff

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
1,547
Likes
1,247
Points
280
L

lee van cliff

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
1,547 1,247 280
The Valdai Club holds an international forum each year in Sochi, and some of the most senior world politicians and leading experts gather to take part in the discussions. Putin often participates, and this year the Russian president gave a somewhat grim warning to anyone, who would seek Russia’s destruction.

Putin was speaking of a possible nuclear holocaust. Russia is currently upgrading its nuclear deterrence, saying it is necessary to keep in check the US development of anti-ballistic missile technologies. Within months, world’s first hypersonic glider warhead will enter service in the Russian military, the president
announced .

Any aggressor should know that retribution will be inevitable and he will be destroyed. And since we will be the victims of his aggression, we will be going to heaven as martyrs. They will simply drop dead, won’t even have time to repent.

From nuclear holocaust to playing hockey: Five takes from Putin’s Valdai talk
Putin,most influential person on Earth
 
Bullava

Bullava

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Messages
401
Likes
475
Points
80
Bullava

Bullava

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2014
401 475 80
Ku-argue na "Fanatic" ni kazi ngumu sana, kama hata Racism against the blacks iliyotamalaki Russia bado unatetea tu na huwezi kuiona then hiyo ni ktk ile effect ya Fanaticism japo naamini fika kuwa wewe sio Mrusi anayeishi humu nchini.

Sikatai kuwa Marekani hakuna Racism, ipo ila sio ktk kiwango cha Russia nina uhakika kwa mtu black kufungua hata kioski nchini Russia ni shughuli huenda hata mteja usipate.

All in all, yoote waliyofanya the Russians ingekuwa na mantiki zaidi kama ingewasaidia kuwainua kuwa the economic power house than mere "Belligerents" out to create tension in the otherwise peaceful world and Japan or South Korea are the case in point.
Kwahiyo Russian wakiwa racist inaondoa uwezo wao wa kuwa bora. Vip kuhusu Israel are they racist or not? Kizuri ni kizuri na kilicho bora ni bora. Usitoke nje ya Mada.
 
L

lee van cliff

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
1,547
Likes
1,247
Points
280
L

lee van cliff

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
1,547 1,247 280
Kwahiyo Russian wakiwa racist inaondoa uwezo wao wa kuwa bora. Vip kuhusu Israel are they racist or not? Kizuri ni kizuri na kilicho bora ni bora. Usitoke nje ya Mada.
Afadhari umenisaidia mkuu,make huyu jamaa mie simuelewi kabisa anachotaka ni nini ama asichotaka ni nini!
 
K

Kibonaala

Senior Member
Joined
Oct 9, 2018
Messages
109
Likes
61
Points
45
K

Kibonaala

Senior Member
Joined Oct 9, 2018
109 61 45
Da aisee,sina ufahamu wowote juu ya tukio hili kwa ujumla,Aise jamaa ni mbabe kinoma,unajua kuna watu hapa duniani huwa wanaletwa na Mungu kuja kupambana na mifumo fulani na wakaishinda.Vladimir ni noma.
Ana IQ kubwa huyu fupi-man...sema nawaza siku aking'atuka pale ikulu ya Kremlin nani atasimama pale maana Dmitry Medvedev failure...Shoigu(W.wa ulinzi) anapitwa na umri sawa na Lavrov labda lile linaibu W.wa mambo ya nje maana nalo noma sana!
 
L

lee van cliff

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
1,547
Likes
1,247
Points
280
L

lee van cliff

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
1,547 1,247 280
Ana IQ kubwa huyu fupi-man...sema nawaza siku aking'atuka pale ikulu ya Kremlin nani atasimama pale maana Dmitry Medvedev failure...Shoigu(W.wa ulinzi) anapitwa na umri sawa na Lavrov labda lile linaibu W.wa mambo ya nje maana nalo noma sana!
huyu jamaa kwa sababu ni akili kubwa ameshajua ni nani anafaa kuwa mbadala wake,nadhani kazi ya uchambuzi wa mtu anayewafaa warusi inafanya kwa umahili mkubwa kabisa na idara za ujasusi wa Russia.
 
Forum statistics

Threads 1,235,137
Members 474,353
Posts 29,212,944