Mapanki anacheka kwa dharauTaarifa ya BBC Swahili ya leo (kama inavyoonekana pichani) imeandika habari za ki uchunguzi juu ya meli ambazo Trump amesema zinakwenda Korea kaskazini kushambulia na dunia ikatambua vita imeiva haswa ukizingatia ilisheheni makomando, madege pamoja na mabomu mazito ya masafa marefu na mafupi meli hiyo haikwenda huko bali ilikuwa ni vitisho tu.
Tujikumbushe; America ilishambulia sehemu tofauti duniani ili kumuathiri Kim kisaikolojia apate hofu na kukubali mazungumzo, hali itakayopelekea kuondolewa uwezo wa silaha za Nyuklia na kuangamiza vinu vyake.
Moja ya tisho kubwa ni Amerika kupiga bomu lake la kisasa kabisa na lenye jina la 'mama wa mabomu yote duniani' ambalo alipiga nchi nyingine kwa sababu nyingine lakini wachunguzi wa mambo walisema ile ni salam kwa KimPia Us alishambulia Syria pamoja na Somalia na kote huko aliangamiza roho za watu.
Kitendo cha Kim kuimarika kijeshi haswa kwa silaha za nyuklia kinaiumiza kichwa sana Marekani kwa kile kinachoitwa kutishia usalama wake, ila Trump jambo hilo linamuumiza zaidiPamoja na vitisho vyote Kim hakutishika kabisa na ndiyo kwanza amejipanga kivita na kusema atazidi kuyajaribu makombora yake mapya kila wiki Hakuna vita tena na vitisho havikufanya kazi na sasa Amerika anaelekea kwengine Kikwazo zaidi ni kwa kuwa Us hazijui vema silaha za North Korea kuhusu uwezo wake na hata namna ambavyo atazikabili, wanachojua ni kile Kim atakachokisema mwenyewe pale anapozindua kombora, zaidi ya hapo hawana taarifa zozote za kiuchunguzi japokuwa wanahisi anayo mabomu elfu moja ya yenye uwezo wa kufika bara lolote duniani ambayo yanaweza kufika moja kwa moja Marekani na kushambulia Ndugu zangu, Us hapigani na nchi asiyoijua vema silaha zake na ndio maana anaremba tangu majuzi kuhofia usalama wake Wangemkabili Kim miaka mingi iliyopita lakini sasa ameshapiga hatua wamechelewa, kitendo cha kuufyata ni ushindi na furaha kwa bwana mdogo
..... mvumilie tuuWewe ungekuwa mwanangu ningebadilishana na kilo ya viazi
Unatamani kitu kibaya! Mi nimefurahi marekani kuingia baridi na kusepa!Natamani sn zitwangwe ili kuondoa mzizi wa fitina
Trump ni lazima ajue ni Korea kaskazini pekee ndio utakuwa na full access ya kuingia nchi mbili ambazo ni Russia na China nchi zote ndizo zenye mpaka na Korea Kaskazini so kitendo cha US kuingia North Korea na kuikalia kijeshi inamaana anakua anaichungulia Russia wakiwa wametenganishwa na mto tu na pia anakua anaichungulia China wakiwa wametenganishwa na mto tu
So kwa Russia ni ngumu sana kunywa vodka Moscow wakati adui anaweza kuingia Russia kwa kuogelea tu
Pia kwa China ni vigumu kunywa Xinjiang Black Beer Beijing huku adui anaweza kuingia China kwa kuogelea Marekani anatakiwa kujua ni Lazima Russia na China kushiriki vita hvyo kama vikitokea aidha kwa kificho au kwa wazi
Na sehemu pekee ya Russia na China kutest silaha zao mpya dhidi ya silaha za US ni kwenye vita hvyo kwani China na Russia wanatengeneza silaha kwa ajili ya kushindana na US sasa unapotengeneza kitu ni lazima ukifanyie test kwa mshindani wako ambae ni US
Niliwai kusema na narudia tena ni vyepesi sana US kurusha makombora Syria kuliko kurusha mshale North Korea au Iran kutokana na sababu za Geographical
Mnyoa Kiduku anaweza kuwa shemeji yangu nini? Sio kwa ushabiki huo!Mnyoa kiduku ameshinda.
Jamaa unapenda Misala, serious unatamani kinuke kweli?Patamu hapo mradi tu isiwe mkwara.
Jamaa mshari wewe, sijapata ona!Kaniudhi sana huyo marekani,mjinga mkubwa Kwanini anaahirisha sasa,AANZISHE SI TUMMALIZE,KUBWA JINGA.
Una nondo za kutosha lakini ushauri tu, uwe unatumia punctuation marks.Mpaka sasa dalili zinaonyesha Marekani kuweka mpira kwapani kwani msafara wa meli zqke unaiacha Korea na kwenda pasipo julikana kingine watu wanashindwa kujua Marekani anawaweza waarabu kwa vile waarabu na waafrica ni wanafiki si kwa jamii ya Mongolian races wao ni tofauti sana vita tu vya Vietnam marekani alikimbia kaja Mfaransa nae kakimbia eneo la Asia Pacific limekaa vibaya sana sasa angalia Japan anapeleka jeshi Korea kusini kwa kulinda raia wake Russia anapeleka majeshi China nae ameshapeleka wanajeshi mpakani na Korea hv hapo ujajua tu kuwa vita hv vitakuwa vita vibaya sana Uingereza nao watapeleka majeshi kulinda ndugu zao New Zealand na Australia
Marekani ni lazima arudi nyuma kwani vita hv vinakwenda kushusha uchumi wake leo Korea kaskazini hana cha kupoteza kama ilivyokuwa kwa Vietnam ndio maana unaona kiburi cha Kim wakati Trump akishinda kwenye mitandao ya Kijamii na kuchimba mikwara mbuzi Kim yeye anaendelea na nuclear program zake na kujaribu makombora yake
Huuu ni uwong wa kiwango cha rami....
Hizo meli nyie mlio karibu nae, mwambieni tubadilishane na Mv Bagamoyo!Trump kaweka mpira kwapani kakimbia mapambano Meli zake zinatoka kwenye Korean peninsula na kwenda pasipo julikana ni wakati wa Korea kusini kukaa na ndugu yake kaskazini kuyamaliza sasa kama baunsa wake US anaweka mpira kwapani itakuwaje yeye! !
Hhhh nilikuwaga nadoji sana. Ahsant= lami
= nukta mwisho wake ni tatu tu.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Na je umesikia hata gaidi mmoja kajitoa mhanga moscow?. Halafu hakusema ataangamiza wote duniani hapo umedanganya yeye alisema "KUWASAMEHE MAGAIDI NI KAZI YA MUNGU, LAKINI KUWAPELEKA KWAKE MUNGU NI KAZI YAKE"..Putin huwa ni muongo sana aliwaambia waarabu....wenye dini yao hiyo wakithubutu kupiga ama kujitoa muhanga wa bom pale Russia....ndani ya masaa6 ...angeangamiza waislam wote duniani..
mkuu, pale agent may anaposema, "wheels up in 10"Kwanza kwe picha tatu zilizopo kwenye post yako... picha ya kwanza ni uongo. Hiyo ndege ipo kwenye series ya Agents of shields, na in reality it doesnt exist.
Hizo picha mbili za chini ndio za kweli.. ni makombora aina ya S300.
unajuaje ni uongo? wafaham satan II aka F.O.A.B?Putin Atawadangany mpaka mwisho juzi tu kawalisha upupu Eti ana bomu la kuzamisha France na. UK ...sijuw Russia Nuks zake anatestia galaxy gani
Mmarekani ni mwoga sana! Hakuna cha trick wala nini! Yeye hupenda kupiga lakini hayuko tayari kupata hata mchubuko!Mmarekan hata simuaminigi yule mm, Hii isije ikawa n trick, Ajifanye hana mpngo ili Mapank alegeze ili ashtukize