Tetesi: Marekani kuivamia Venezuela

Tetesi: Marekani kuivamia Venezuela

Ni sawa Marekani ana nguvu kubwa zaidi ya kijeshi lakini kumbuka kuna nchi ina vichaa Kama Noth Korea na Vietnam, ambao wao hawajali kupoteza lakini jiji kama la New York watalifanya majivu kama alivyosema Rais wa North Korea

Yaani Marekani ataipiga Korea lakini wao watadili na New York pekee au Washington DC waizamishe chini

Hiyo Hasara itakayoikumba marekani ndio inayomfanya asitake kabisa kujaribu vita na Noth Korea

Fidel Castro wa Cuba nae alishasema hivyohivyo, kuwa yeye ni maskini lakini hashindwi kuzamisha jiji mojawapo kubwa la USA na kushusha uchumi wale kabisa na kumbuka wapo jirani tu

Marekani au nchi nyingine yoyote ya Ulaya KAMWE haiwezi kutqngaza vita na Russia, nina uhakika HAIWEZI sheikh

Ogopa saja kuanza vita na Vichaa au watu wenye viburi kama Putin, hiyo vita haiishi na Hasara atakayokupa itakuwa ya milele na USA haitarudi kuwa Super power tena.

USA Yeye kazoea kuwaonea Waarabu tu.

Vita ni hatari
Russia mtoe kwenye hiyo list, hadi vita inapiganwa kwake maana yake walishampima na wakamuona anaingilika walau tumseme North Korea anaweza akadinda mbele ya US ila sio Putin.

Putin alitoa tamka, yeyote atakayemsaidia Ukraine atakutana na mkono mzito. US akawa wa kwanza kabisa kutoa misaada kwa Ukraine, Putin akaufyata, leo hii ulaya nzima inatoa msaada kwa Ukraine na hakuna kitu amefanya. US sio nchi ya mzaha mzaha, jamaa wana watu vichwa haswa.
 
Kuchangiwa na Nchi kubwa zenye uwezo mkubwa wa kivita tena zaidi ya nne sio mchezo, so hata hivyo Russia anajitahidi sana, ila Marekani ikitangaza rasmi vita na Russia haitakuwa kama ilivyo na hata Nyuklia inaweza tumika

Russia ina wananchi wake wengi sana Ukraine kwahiyo Russia huwa inashambulia kwa umakini wakijua kuwa wana wananchi wake kule Ukraine
 
Back
Top Bottom