Tetesi: Marekani kuivamia Venezuela

Tetesi: Marekani kuivamia Venezuela

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
72,935
Reaction score
102,690
Habari za hivi punde ni kuwa Rais Trump anatarajiwa kuruhusu mashambulizi ndani ya Venezuela kwa lengo la kumuondoa Rais Madulo,

Venezuela tayari imesogeza Vilinda Anga muda mchache uliopita kuwakabiri marubani na makombora ya Marekank
 
Hiyo yote ni mipango ya Elon Musk akimtumia jamaa yake Trump hili akachukue Lithium ambayo Maduro amewanyima..

...Sasa kama ni hivyo kwanin asije tu huku Tanzagiza, tumpe hiyo Lithium achimbe hata miaka 100, ila kwa shariti moja tu la kutuondolea hawa wadhalimu wa chama cha mashetani!?
 
Exactly
 
Hiki kitu wametoka kukifanya Congo sasa hivi wanachukua Lithium & Cobalt kama wanaokota njugu kwa kivuli cha upatanishi.
 
Hakuna anayeweza kupambana na Marekani

Korean War aliishia katika stalemate. Vietnam aliikimbia mwenyewe yalipomshinda nchi (iliyokuwa South Vietnam) ikaingia kwenye mikono ya makomunisti. Vita dhidi ya Taliban kwa takriban miaka 20 hiyo Taliban ikaishia kurudi. Iraq wameivamia 2003 wamemtoa Saddam ila wakaishia kuiharibu nchi, wakafeli na mambo yakawaharibikia wakaishia kujiondoa mwaka 2011 baada ya kuiharibu nchi ya watu.

Kinachonisikitisha kama kweli wanapanga kuivamia Venezuela wanataka tu kuongeza katika rekodi yao idadi ya nchi walizozivamia wakaziharibu na kuziachia matatizo.
 
Hakuna anayeweza kupambana na Marekani
Ni sawa Marekani ana nguvu kubwa zaidi ya kijeshi lakini kumbuka kuna nchi ina vichaa Kama Noth Korea na Vietnam, ambao wao hawajali kupoteza lakini jiji kama la New York watalifanya majivu kama alivyosema Rais wa North Korea

Yaani Marekani ataipiga Korea lakini wao watadili na New York pekee au Washington DC waizamishe chini

Hiyo Hasara itakayoikumba marekani ndio inayomfanya asitake kabisa kujaribu vita na Noth Korea

Fidel Castro wa Cuba nae alishasema hivyohivyo, kuwa yeye ni maskini lakini hashindwi kuzamisha jiji mojawapo kubwa la USA na kushusha uchumi wake kabisa na kumbuka wapo jirani tu

Marekani au nchi nyingine yoyote ya Ulaya KAMWE haiwezi kutangaza vita na Russia, nina uhakika HAIWEZI sheikh

Ogopa sana kuanza vita na Vichaa au watu wenye viburi kama Putin, hiyo vita haiishi na Hasara atakayokupa itakuwa ya milele na USA haitarudi kuwa Super power tena.

USA Yeye kazoea kuwaonea Waarabu tu.

Vita ni hatari
 
Hiki kitu wametoka kukifanya Congo sasa hivi wanachukua Lithium & Cobalt kama wanaokota njugu kwa kivuli cha upatanishi.
Waje na hapa kwetu tutawapa hiyo Lithium ambayo inachimbwa na Abdul kupitia kampuni yao ya mauza uza Itel East African company Limited.

Tena wakitaka tutawapa na Tanzanite waipandishe na thamani kabisa...

Kikubwa watumie military superiority waliyonayo kumuondoa mkoloni mweusi anayetunyanyasa kwenye aridhi yetu.
 
Korean War aliishia katika stalemate. Vietnam aliikimbia mwenyewe yalipomshinda nchi (iliyokuwa South Vietnam) ikaingia kwenye mikono ya makomunisti. Vita dhidi ya Taliban kwa takriban miaka 20 hiyo Taliban ikaishia kurudi. Iraq wameivamia 2003 wamemtoa Saddam ila wakaishia kuiharibu nchi, wakafeli na mambo yakawaharibikia wakaishia kujiondoa mwaka 2011 baada ya kuiharibu nchi ya watu.

Kinachonisikitisha kama kweli wanapanga kuivamia Venezuela wanataka tu kuongeza katika rekodi yao idadi ya nchi walizozivamia wakaziharibu na kuziachia matatizo.
Yeah, wakiingia hapo Venezuela wanaweza wakaipa nchi kilema cha kudumu.
 
Back
Top Bottom