Marekani kuishambulia Venezuela baada Maduro kukutana na maafisa kutoka China ni Ujumbe kuwa sio China haiwezi kumlinda mtu dhidi ya Marekani

mngony

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2012
Posts
5,705
Reaction score
7,214
Uvamizi wa Jeshi la Marekani nchini Venezuela na kutekwa kwa Rais wa Nchi hiyo umetoka masaa matano tu tangu Rais Maduro akutane na maafisa kutoka China.

Katika masula ya siasa za kikanda na kimataifa huu ni Ujumbe mzito kuwa sio China wala Urusi ambaye anaweza akakulinda dhidi ya Marekani na washirika wake. Hili limeonekana kwa mataifa ya Venezuela, Syria. na Iran.

Je hili pia linadhihirisha kuendelea Ubabe wa Marekani duniani, dhidi ya Mataifa ya Urusi na China?

Je funzo gani linapatikana kwa mataifa ambayo yalikuwa yakiamini kuwa kuwa karibu na China na Urusi kunakupa ulinzi thabiti dhidi ya Taifa la Marekani?
 
Ni lini China ilikuwa na military alliance na Venezuela?

Na ni nani alikwambia wawakilishi wa China walienda kwa lengo la kumhakikishia Maduro ulinzi?

Geopolitical knowledge sio kwa kila mtu
 
Marekani inarejea siasa za zamani sana ilizozoea wakati dunia iko gizani. Hii ni ishara nyingine kwamba, Marekani hawezi kusavaivu kistaarabu. Kujipa jukumu la upolisi na uwanajeshi wa dunia ni mfumo wa siasa na uchumi ambao ulionekana kuchukua muelekeo tofauti baada ya kuundwq kwa UN. Hata hivyo, Marekani anaendelea kuithibitishia dunia kwamba the so called "international organization" ni kiinimacho na imefeli.
 
Kuna aliyesema walienda kumhakikishia Ulinzi? Kuna aliyesema wana Military Alliance?

Ila intelligent Guessing, kupokea Ujumbe wa China/ Urusi katika kipindi ambacho kuna hatari ya Military confrontation na US, wewe mtaalamu wa Geopolitics unafikiri kama sio kutafuta kuungwa mkono nao ni nini?

wewe mtaalamu wa Geopolitics niambie wapi Marekani alienda kuleta mgogoro ambako utawala haujajiegemeza kwa Urusibau China?

Wewe ndio aina ya wataalamu wa Geo tuliokuwa nao basi kazi ipo sana.

Sishangai jina lako Xi Jinpin hauwezi kujadili kwa usawa bila kulalia upande wako.
 
Marekani inarejea siasa za zamani sana ilizozoea wakati dunia iko gizani. Hii ni ishara nyingine kwamba, Marekani hawezi kusavaivu kistaarabu. Kujipa jukumu la upolisi na uwanajeshi wa dunia ni mfumo wa siasa na uchumi ambao ulionekana kuchukua muelekeo tofauti baada ya kuundwq kwa UN. Hata hivyo, Marekani anaendelea kuithibitishia dunia kwamba the so called "international organization" ni kiinimacho na imefeli.
Yani yale malengo ya kuundwa UN na mashirika mengine yanaonekana hayana maana tena. Marekani anatamka wazi wanaenda kuchukua mafuta lakini anayekemea kabisa.
 
Marekani inarejea siasa za zamani sana ilizozoea wakati dunia iko gizani. Hii ni ishara nyingine kwamba, Marekani hawezi kusavaivu kistaarabu. Kujipa jukumu la upolisi na uwanajeshi wa dunia ni mfumo wa siasa na uchumi ambao ulionekana kuchukua muelekeo tofauti baada ya kuundwq kwa UN. Hata hivyo, Marekani anaendelea kuithibitishia dunia kwamba the so called "international organization" ni kiinimacho na imefeli.
Hiyo ndiyo dawa ya marais wasiotenda haki kwa wananchi na wezi wa kupindua matokeo kura za wananchi wao wanaoendekeza udikiteta kuteka na kuua raia wake yenyewe na ufisadi wa kujinufaisha wao na familia zao huo ndiyo mwarobaini wao
 
Lakini wanafanya kwa pale tu maslahi yao yakiguswa. Ndio maana kama kiongozi anabeba maslahi yao popote dunia hata awe dikteta, aue watu, akae miaka 20 hawatomgusa
 
Marekani inarejea siasa za zamani sana ilizozoea wakati dunia iko gizani. Hii ni ishara nyingine kwamba, Marekani hawezi kusavaivu kistaarabu. Kujipa jukumu la upolisi na uwanajeshi wa dunia ni mfumo wa siasa na uchumi ambao ulionekana kuchukua muelekeo tofauti baada ya kuundwq kwa UN. Hata hivyo, Marekani anaendelea kuithibitishia dunia kwamba the so called "international organization" ni kiinimacho na imefeli.
Ni kweli
Washabiki maandazi akili ndogo hawaelewi kwanini Trump ameamua kuwa Russia ni halali yake amege Ukraine anavyotaka.
Hana noma na China muda si mrefu anachukua Taiwan
Badda ya mkutano, kamvuta Kagame pembeni na kumwambia baada ya Goma, kamilisha na kuchukua Kivu
Israeli atajitutumua Gaza lakini baadae atatema bungo kwa undava wa wapalestina.
Trump baada ya hapa anaeenda Greenland
Wale wa kusubiriri samuya atolewe watasubiri sana, huku hakuna maslahi na Trump
 
Lakini wanafanya kwa pale tu maslahi yao yakiguswa. Ndio maana kama kiongozi anabeba maslahi yao popote dunia hata awe dikteta, aue watu, akae miaka 20 hawatomgusa
PK mfano halisi. Alikuwa akiwafuatilia wapinzani wake na kuwaua hadi nje ya nchi na hakuna nchi iliyokemea. Hayo mambo ya kuteka na kupoteza ndio usiseme na nothing kilichosema.
 
Uvamizi wa Jeshi la Marekani nchini Venezuela na kutekwa kwa Rais wa Nchi hiyo umetoka masaa matano tu tangu Rais Maduro akutane na maafisa kutoka China.

Katika masula ya siasa za kikanda na kimataifa huu ni Ujumbe mzito kuwa sio China wala Urusi ambaye anaweza akakulinda dhidi ya Marekani na washirika wake. Hili limeonekana kwa mataifa ya Venezuela, Syria. na Iran.

Je hili pia linadhihirisha kuendelea Ubabe wa Marekani duniani, dhidi ya Mataifa ya Urusi na China?

Je funzo gani linapatikana kwa mataifa ambayo yalikuwa yakiamini kuwa kuwa karibu na Chini na Urusi kunakupa ulinzi thabiti dhidi ya Taifa la Marekani?
Usikute china ndo imemuuza pia jamaa.
 
Marekani inarejea siasa za zamani sana ilizozoea wakati dunia iko gizani. Hii ni ishara nyingine kwamba, Marekani hawezi kusavaivu kistaarabu. Kujipa jukumu la upolisi na uwanajeshi wa dunia ni mfumo wa siasa na uchumi ambao ulionekana kuchukua muelekeo tofauti baada ya kuundwq kwa UN. Hata hivyo, Marekani anaendelea kuithibitishia dunia kwamba the so called "international organization" ni kiinimacho na imefeli.

UN hiihii yenye malnutrition iliyotegemea fedha za Marekani? Dunia inahitaji kiranja ili iwe na ustaarabu kuna jamii zikipata uhuru zinafikiri uongozi ni absolute power unayoweza hadi kuua watu wanaokupinga wakiwa hata silaha hawana!
 
Marekani inarejea siasa za zamani sana ilizozoea wakati dunia iko gizani. Hii ni ishara nyingine kwamba, Marekani hawezi kusavaivu kistaarabu. Kujipa jukumu la upolisi na uwanajeshi wa dunia ni mfumo wa siasa na uchumi ambao ulionekana kuchukua muelekeo tofauti baada ya kuundwq kwa UN. Hata hivyo, Marekani anaendelea kuithibitishia dunia kwamba the so called "international organization" ni kiinimacho na imefeli.
Ranting
 
PK mfano halisi. Alikuwa akiwafuatilia wapinzani wake na kuwaua hadi nje ya nchi na hakuna nchi iliyokemea. Hayo mambo ya kuteka na kupoteza ndio usiseme na nothing kilichosema.
Mkuu, kwani Maduro amekamatwa kwa kosa la utawala mbovu nchini kwake au kwa kosa la kufanya uharamia Marekani ikiwa ni pamoja na biashara za madawa ya kulevya?
 
We ukienda kufanya mazungumzo na mtu kesho akatekwa kwahiyo maana yake ulikua umemuhakikishia ulinzi ila umeshindwa kumlinda?

Kweli nyumbu ni chakula cha mamba.
 
Maana yake ulimchomesha
 
Back
Top Bottom