Na Japan nako utasemaje?!Kule wanapenda sana tigo iwe wanaume au wanawake sasa watoto watapatikana vipi
Unapiga kazi vp wakati kule wote wako km ww na zaidi.Watukodishe Waafrika twende uko tukapige kazi
Sent from my SM-A720F using Tapatalk
Nani kakwambia the world is overpopulated? Captalism inawafanya watu wasipende kuzaa kutokana na gharama za kulea watoto, kazi zisizokuwa na uhakika napo kunafanya watu wasipende kuzaa au kuoanaKwa whites children sio ishu wana vitu kibao vya kuwa comfort..pia kuwa na mtoto ni garama..isitoshe the world is overpopulated wapo sahihi
Ww mbona unapingana na mkuu , acha tuendelee kufyatuana bana, ili tuijaze duniaTz tunazaliana Na hatujui wapi watakula, watafanya kazi na kuishi.
wabongo jitahidini kupunguza kuzaa watoto wwngi. kama unaweza usizae kabisa kama huwezi basi usizidi watoto watatu