Marekani: Kiwango cha Kuzaliana Kiko Chini ya Kiwango

Kingsmann

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
4,440
16,241
Kulingana na ripoti iliyotolewa na Taasisi ya Takwimu za Afya Marekani, jumla ya kiwango cha kuzaliana kwa mwaka 2017 imeendelea kuporomoka chini ya kiwango kinachotakiwa kwa ajili ya muendelezo wa kizazi [Population Replacement]. Ripoti hiyo pia imeonesha kuwepo kwa tofauti kubwa ya kiwango cha kuzaliana kati ya jimbo na jimbo.

Kwa ujumla, jumla ya kiwango cha kuzaliana [Total Fertility Rate] nchini Marekani kwa mwaka 2017 ilikuwa vizazi 1765.5 kati ya wanawake 1000. Kiwango hiko ni 16% pungufu ya kiwango kinachotakiwa kwa ajili muendelezo wa kizazi. Kiwango halisi kinachotakiwa kwa ajili ya muendelezo wa kizazi ni vizazi 2100 kati ya wanawake 1000.

Source: CNN


https://edition.cnn.com/2019/01/10/health/us-fertility-rate-replacement-cdc-study/index.html
 

Attachments

  • Screenshot_20190111-184227_1547221409249.jpg
    Screenshot_20190111-184227_1547221409249.jpg
    32.3 KB · Views: 36
Watukodishe Waafrika twende uko tukapige kazi

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
 
Tz tunazaliana Na hatujui wapi watakula, watafanya kazi na kuishi.


wabongo jitahidini kupunguza kuzaa watoto wwngi. kama unaweza usizae kabisa kama huwezi basi usizidi watoto watatu
 
Should read kati ya wanawake 100,000 na sio 1,000. Walivyo introduce contraceptives, condoms, sex toys, usenge, ushoga, na usagaji walitegemea nini? Mbegu badala ya kwenda shambani mkachagua kuziingiza mik****ni na nyingine kuzila mlitegemea nini? Museveni alisema mouth is for eating [and for talking] not for sex!
 
Wakina Oprah Winfrey mpaka wamezeeka hawataki Kuzaa sasa sijui huo utajiri wake atamuachia nani
 
Watukodishe Waafrika twende uko tukapige kazi

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
Unapiga kazi vp wakati kule wote wako km ww na zaidi.
Washazalishana sana hapo nyuma,baba hana baba na baba yake na bibi yake baba haonekani hamna family.baba msela felony anazalisha mara yuko jela 70 yrs,
ma single mothers kibao.
Wameshtuka maisha si lelemama leo wanachoropoa mimba tu.
Unataka kwenda mfundisha paka jinsi ya kuiba maziwa?
 
Safi sisi tuendelee kupigana miti na kuzaliana kwa sana,hao waume zao gearbox zishakufa
Nalog off
 
Kwa whites children sio ishu wana vitu kibao vya kuwa comfort..pia kuwa na mtoto ni garama..isitoshe the world is overpopulated wapo sahihi
 
Kwa whites children sio ishu wana vitu kibao vya kuwa comfort..pia kuwa na mtoto ni garama..isitoshe the world is overpopulated wapo sahihi
Nani kakwambia the world is overpopulated? Captalism inawafanya watu wasipende kuzaa kutokana na gharama za kulea watoto, kazi zisizokuwa na uhakika napo kunafanya watu wasipende kuzaa au kuoana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom