Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 4,446
- 16,299
Kulingana na ripoti iliyotolewa na Taasisi ya Takwimu za Afya Marekani, jumla ya kiwango cha kuzaliana kwa mwaka 2017 imeendelea kuporomoka chini ya kiwango kinachotakiwa kwa ajili ya muendelezo wa kizazi [Population Replacement]. Ripoti hiyo pia imeonesha kuwepo kwa tofauti kubwa ya kiwango cha kuzaliana kati ya jimbo na jimbo.
Kwa ujumla, jumla ya kiwango cha kuzaliana [Total Fertility Rate] nchini Marekani kwa mwaka 2017 ilikuwa vizazi 1765.5 kati ya wanawake 1000. Kiwango hiko ni 16% pungufu ya kiwango kinachotakiwa kwa ajili muendelezo wa kizazi. Kiwango halisi kinachotakiwa kwa ajili ya muendelezo wa kizazi ni vizazi 2100 kati ya wanawake 1000.
Source: CNN
https://edition.cnn.com/2019/01/10/health/us-fertility-rate-replacement-cdc-study/index.html