Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,652
- 5,130
Mjadala mkubwa kwa sasa ni Operation ya Marekani dhidi ya Iran katika harakati za kuondosha serikali inayoita ya Mkono wa Chuma,ambapo kwa taarifa imesema kuwa imefanikiwa pakubwa kwa wauwa viongozi wa juu(Maamuzi).
Lakini binafsi naona hakutakuwa na Mshikamano ndani ya Irani endapo Wairani wataletewa mtu mwengine (Reza Pahlavi) kuongoza nchi.
Kuna harufu ya Vita ya wenyewe kwa wenyewe kama Mataifa mwengine ambayo Marekani ameyatendea kama alivyofanya Irani pale Jana.