marekani aliwahi ku feki kwamba kapeleka wanasayansi mwezini na kuweka bendera[emoji1], baadae ulimwengu tukajua ili kuwa ni uongo na fiks ,marekani walishindwa kuwa na space station ya kwao ,ukijiuliza kwa nn !?na wanajinadi wao ndo done wa sayansi!? badala yake wakawaomba warussia wa share kile kituo kinqchotumika Sasa ,Russia wakakubali!! Kama hujui hizo rocket zote zinazorushwa na wanasayansi ,zikiwemo za Elon musk, engine za hizo rocket ni Russia ndie anayewauzia wote,kwa nn marekani Kama ni done wa technology asitengeneze za kwake !!? Juz Elon ilimbidi aahirishe kurusha rocket kwenda anga za juu ,kwa kukosa engine kutoka Russia kwa sbabu ya huu mzozo na USA !! Russia hajawahi ku feki Mambo ,anafanya vitu vinaomekana!
uwe unatafuta taarifa kuliko kuropoka ,utaaibika!! currently drone za US zilikuwa zikikaushwa Kama mshikaki na siraha za mionzi za Russia ,Kama US is big technologically than Russia ,why drone zao zikaangwe na kasiraha kadogo Tena kwa umbali wa km 5 kabla ya ku hit target!!?
nakuruhusu njoo na fact upinge hayaniliyosema hapa!!