Marekani inazidi kutia aibu, imefeli kutest ICBM

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,284
Reaction score
39,513
MAREKANI INAZIDI KUTIA AIBU.

Naam ni yuleyule anayejiita superpower anayesifiwa yuko juu kwenye tech kushinda taifa lolote duniani naam!! sio mwingine bali ni US.

Mnakumbuka week mbili zimepita niliandika uzi kuhusu US kushindwa kutest kombora la hypersonic kwa mara ya 4 mfululizo sasa wameshindwa kutest kombora la ICBM kwa mara nyingine tena.

Source mbalimbali za habari zimeanza kureport tukio hili kwa kasi sana, unaambiwa mlipuko huo mkubwa ulitokea baada ya kulaunch kwa sec11 ndio ukatokea mlipuko mkubwa sana, japo wanadai hakuna watu waliokufa wala maafa makubwa.

Wakati Russia akifanikiwa kutest ICBM la Sarmat 2 tena hypersonic lenye uwezo wa kubeba war head 15 bila kumsahau North Korea lakin US ameshindwa kutest Kombora hilo la ICBM ni aibu kwakweli.

Marekani anazidi kutia aibu hata North korea inawashinda? Wadau mbalimbali wanareport kwamba Russia amesitisha export ya engine za rocket kwenda US hivo limekua pigo kubwa sana kwa US, Russia ndiyo bingwa wa kutengeneza engine za rockets. Juzi pia elon musk alishindwa kurusha rocket yake .

Tunavowaambia marekani na tech zake za kimchongo muwe mnaelewa, US kwenye tech bado yuko nyuma anachechemea media zinambeba huyu superpower wenu.

“A routine test flight ended in disaster when a Minotaur II+ rocket exploded during a test flight at Vandenberg Space Force Base yesterday shortly after take-off. There were no fatalities.

A statement released by the Vandenberg Space Force Base did not lead to any revelations about what exactly when wrong but did state the following:

“A Minotaur II+ rocket exploded approximately 11 seconds after launching from Test Pad-01 at 11:01 p.m. PDT Wednesday.”

There were no injuries in the explosion and the debris was contained to the immediate vicinity of the launch pad.

"We always have emergency response teams on standby prior to every launch," said Col. Kris Barcomb, Space Launch Delta 30 vice commander and launch decision authority for this launch, "Safety is our priority at all times."

“An investigative review board has been established to determine the cause of the explosion.”

The test flight is part of an effort by Lockheed Martin to modify the Mk21 reentry vehicle, a Cold War-era munition, and part of the United States’ intercontinental ballistic missile nuclear triad. The goal of the effort is to provide a reliable delivery vehicle for the W87-1 nuclear warhead for the Ground-Based Strategic Deterrent weapon system, the successor system to the Minuteman intercontinental ballistic missile system.

The United States Air Force awarded Lockheed Martin the contract in 2019. “It is essential that Lockheed Martin continue our long-standing ICBM partnership with the Air Force to provide them with advanced solutions,” a press release from 2019 announcing the award explained.

“We will continue to demonstrate, through this TMRR, cutting-edge engineering to defeat rogue nation threats," said John Snyder, vice president of Advanced Strategic Programs for Lockheed Martin.

Lockheed Martin previously explained that the company would “work closely with the Air Force and the National Nuclear Security Administration to provide a technically low risk and affordable solution to modify existing Mk21 reentry vehicles with the capability to deliver the W87-1 Warhead for the Ground-Based Strategic Deterrent Weapon System.”

The failed flight test was one of two test flights. Though the first ended in disaster, the second is reported to be scheduled for mid-2023. It is unclear how or if this first failure will affect the second test launch, though no doubt there will be a raft of additional safety measures and pre-launch checks to mitigate the risk of a similar launch disaster.

What the implications are for the ground-based component of the United States’ nuclear triad are also unclear. It could be the case that the Ground-Based Strategic Deterrent weapon system’s 2029 service date could be postponed.

Caleb Larson is a multimedia journalist and defense writer with the National Interest. A graduate of UCLA, he also holds a Master of Public Policy and lives in Berlin.

He covers the intersection of conflict, security, and technology, focusing on American foreign policy, European security, and German society for both print and radio. Follow him on Twitter @calebmlarson.

Image: Reuters.

IMG_4439.jpg

IMG_4437.jpg
 
Attachments

  • IMG_4439.jpg
    IMG_4439.jpg
    38.5 KB · Views: 18
  • IMG_4437.jpg
    IMG_4437.jpg
    77.6 KB · Views: 16
Tupunguze ushabiki

Vita haitusaidii lolote kama human being
Subiri dawa iwaingie kwanza ,angefeli Urusi media zote zingeripoti na wewe ungeshabikia.

Omba Mungu amani itakuwepo duniani kwa muda mrefu maana kwa teknolojia za kisasa mno alizonazo Russia zinafanya Marekani kutowaza ujinga wowote juu ya Russia na ujinga huo ndio hatari ya dunia.

Wakifanikiwa kutest wakumbuke kuna kitu kina S-500 na S-550 zipo tayari kwa interception ya hayo machuma hayo na pia juzi Russia silaha yake ambayo asingekuwa na hii operesheni na kutest silaha za ajabu tusingeamini na tungejua ni fix za Sci-fi movies lakini wameonesha uwezo huo basi ni kweli wanayo.

Putin amesema silaha hiyo ni top secret na toleo jipya kabisa la EMP weapons
 
Mnakumbuka week mbili zimepita niliandika uzi kuhusu US kushindwa kutest kombora la hypersonic kwa mara ya 4 mfululizo sasa wameshindwa kutest kombora la ICBM kwa mara nyingine tena.
Hypersonic missile imefanyiwa majaribio mawili Jumanne wiki hii kwa mafanikio, wewe unazungumzia jaribio moja la Vandenberg Space Force siku zaidi ya sita zilizopita.

  1. CNN | US carries out two successful hypersonic missile tests
  2. Reuters | U.S. successfully tests pair of Lockheed hypersonic missiles
  3. DW | US military announces successful hypersonic missile test | DW | 13.07.2022
  4. ABC | US successfully tests hypersonic weapons amid arms race with China, Russia
 
Kiufupi ,marekani kwa misifa na kutaka kujikakamua kuwa nae yumo amekurupuka Sana ,yaani kaamka asbh na jioni anataka akamilishe [emoji23],hawezi kuitengeneza hii siraha kwa Sasa ,yaani itamgharimu miaka mingi mno ijayo ndo huenda akafanikiwa au asifanikiwe mazima, na Kama atafanikiwa Basi awateke Wana sayansi wa Russia walio tengeneza hii siraha ili wampe Siri ,bila hivyo hatoweza kuitengeneza hii siraha hata iweje. Na wakati anahaha na ICBM ,Russia yupo maabara kuunda top secret weapon zingine . uhalisia Russia ki technology yupo hatua 10 mbele huku US akiwa na 3. Wakati Russia alikuwa anapoteza muda mwingi kutafuta gunduzi za Siri za juu Sana ,US wao walikuwa bize kutengeneza sheria za kuhalalisha ushoga na kuwatambua mashoga[emoji23].
 
... Certified International Missiles Consultant akitoa ushauri kwa Marekani kutokea Kimanzichana, Mkuranga - Pwani mara baada ya kupata ugali wa muhogo kwa kisamvu cha nazi!
 
Kiufupi ,marekani kwa misifa na kutaka kujikakamua kuwa nae yumo amekurupuka Sana ,yaani kaamka asbh na jioni anataka akamilishe [emoji23],hawezi kuitengeneza hii siraha kwa Sasa ,yaani itamgharimu miaka mingi mno ijayo ndo huenda akafanikiwa au asifanikiwe mazima, na Kama atafanikiwa Basi awateke Wana sayansi wa Russia walio tengeneza hii siraha ili wampe Siri ,bila hivyo hatoweza kuitengeneza hii siraha hata iweje. Na wakati anahaha na ICBM ,Russia yupo maabara kuunda top secret weapon zingine . uhalisia Russia ki technology yupo hatua 10 mbele huku US akiwa na 3. Wakati Russia alikuwa anapoteza muda mwingi kutafuta gunduzi za Siri za juu Sana ,US wao walikuwa bize kutengeneza sheria za kuhalalisha ushoga na kuwatambua mashoga[emoji23].
Kuna mazezeta jaman yaani US tech ulinganishe na Russia tech, pole
 
MAREKANI INAZIDI KUTIA AIBU.

Naam ni yuleyule anayejiita superpower anayesifiwa yuko juu kwenye tech kushinda taifa lolote duniani naam!! sio mwingine bali ni US.

Mnakumbuka week mbili zimepita niliandika uzi kuhusu US kushindwa kutest kombora la hypersonic kwa mara ya 4 mfululizo sasa wameshindwa kutest kombora la ICBM kwa mara nyingine tena.

Source mbalimbali za habari zimeanza kureport tukio hili kwa kasi sana, unaambiwa mlipuko huo mkubwa ulitokea baada ya kulaunch kwa sec11 ndio ukatokea mlipuko mkubwa sana, japo wanadai hakuna watu waliokufa wala maafa makubwa.

Wakati Russia akifanikiwa kutest ICBM la Sarmat 2 tena hypersonic lenye uwezo wa kubeba war head 15 bila kumsahau North Korea lakin US ameshindwa kutest Kombora hilo la ICBM ni aibu kwakweli.

Marekani anazidi kutia aibu hata North korea inawashinda? Wadau mbalimbali wanareport kwamba Russia amesitisha export ya engine za rocket kwenda US hivo limekua pigo kubwa sana kwa US, Russia ndiyo bingwa wa kutengeneza engine za rockets. Juzi pia elon musk alishindwa kurusha rocket yake .

Tunavowaambia marekani na tech zake za kimchongo muwe mnaelewa, US kwenye tech bado yuko nyuma anachechemea media zinambeba huyu superpower wenu.

“A routine test flight ended in disaster when a Minotaur II+ rocket exploded during a test flight at Vandenberg Space Force Base yesterday shortly after take-off. There were no fatalities.

A statement released by the Vandenberg Space Force Base did not lead to any revelations about what exactly when wrong but did state the following:

“A Minotaur II+ rocket exploded approximately 11 seconds after launching from Test Pad-01 at 11:01 p.m. PDT Wednesday.”

There were no injuries in the explosion and the debris was contained to the immediate vicinity of the launch pad.

"We always have emergency response teams on standby prior to every launch," said Col. Kris Barcomb, Space Launch Delta 30 vice commander and launch decision authority for this launch, "Safety is our priority at all times."

“An investigative review board has been established to determine the cause of the explosion.”

The test flight is part of an effort by Lockheed Martin to modify the Mk21 reentry vehicle, a Cold War-era munition, and part of the United States’ intercontinental ballistic missile nuclear triad. The goal of the effort is to provide a reliable delivery vehicle for the W87-1 nuclear warhead for the Ground-Based Strategic Deterrent weapon system, the successor system to the Minuteman intercontinental ballistic missile system.

The United States Air Force awarded Lockheed Martin the contract in 2019. “It is essential that Lockheed Martin continue our long-standing ICBM partnership with the Air Force to provide them with advanced solutions,” a press release from 2019 announcing the award explained.

“We will continue to demonstrate, through this TMRR, cutting-edge engineering to defeat rogue nation threats," said John Snyder, vice president of Advanced Strategic Programs for Lockheed Martin.

Lockheed Martin previously explained that the company would “work closely with the Air Force and the National Nuclear Security Administration to provide a technically low risk and affordable solution to modify existing Mk21 reentry vehicles with the capability to deliver the W87-1 Warhead for the Ground-Based Strategic Deterrent Weapon System.”

The failed flight test was one of two test flights. Though the first ended in disaster, the second is reported to be scheduled for mid-2023. It is unclear how or if this first failure will affect the second test launch, though no doubt there will be a raft of additional safety measures and pre-launch checks to mitigate the risk of a similar launch disaster.

What the implications are for the ground-based component of the United States’ nuclear triad are also unclear. It could be the case that the Ground-Based Strategic Deterrent weapon system’s 2029 service date could be postponed.

Caleb Larson is a multimedia journalist and defense writer with the National Interest. A graduate of UCLA, he also holds a Master of Public Policy and lives in Berlin.

He covers the intersection of conflict, security, and technology, focusing on American foreign policy, European security, and German society for both print and radio. Follow him on Twitter @calebmlarson.

Image: Reuters.

View attachment 2289720
View attachment 2289721
Marekani uwezo kiduchu. Anaitumia NATO kuficha madhaifu yake
 
Muwe na akili usije kuta Marekani anatupiga changa sasa na hamjawahi niuliza ya kwamba pia ana uwezo wa kutest kimya kimya
 
Unafikiri ICBM ni mandazi ya Mama Amina ndala ndefu wa buza. Failure is part of the game na ukiipatia umepatia. "kama hujawahi kufeli hujawahi kujaribu"
 
Back
Top Bottom