Marekani inazidi kutia aibu, imefeli kutest ICBM

Marekani inazidi kutia aibu, imefeli kutest ICBM

Lakini nimekuja kugundua kumbe IQ ya Wabongo wengi ni lower .Hivi mtu mwenye akili timamu kabisa anawezaje kuzalau uwezo wa kijeshi wa USA na kuufananisha na Urus? Dunia yote inajua Taifa kubwa kiuchumi,Kijeshi na kiteknolojia na USA na bado Kuna wajinga hawaamini Sasa huu s uzuzu mtu kibishana na uhalisia?
uje na fact ,za prove hivyo unavyoamini ! mm nimeeleza kwa mifano na sababu why nasema Russia ni ma done ki sayansi !!
 
Lakini nimekuja kugundua kumbe IQ ya Wabongo wengi ni lower .Hivi mtu mwenye akili timamu kabisa anawezaje kuzalau uwezo wa kijeshi wa USA na kuufananisha na Urus? Dunia yote inajua Taifa kubwa kiuchumi,Kijeshi na kiteknolojia na USA na bado Kuna wajinga hawaamini Sasa huu s uzuzu mtu kibishana na uhalisia?

Kweli US imeashika MATACORE daah kazi ipo[emoji1316][emoji1316]
 
Wewe umeleta taarifa ya June 30 (wiki takribani 2 zilizopita). Mimi nimeleta taarifa mpya zaidi (latest) ya majaribio yaliyofanywa July 12 wiki hii.

Sasa, fanya mahesabu kama mtu aliyekwenda shule. Ni nani hapo yuko updated na taarifa?

Hypersonic ya 5x speed ya sound wenzenu wanayo mpaka ya 15x ya speed ya sound. Russia toka 2018 ana hypersonic nyie mnakuja kupata tech 2022 tena july. Tukiwambia Russia yuko mbele kwa tech muwe mnaelewa
 
Hajamkosoa,
Bali ameandika kile kilichoandikwa na vyombo vya habari.
Hususan CNN.
Najua kwako wewe pengine hujapendezwa na habari hiyo.

Tumsifu Yesu Kristu.
soma tena alichoandika , ukireport unaandikwa either NUKUU au imerepotiwa nk
 
Hajamkosoa,
Bali ameandika kile kilichoandikwa na vyombo vya habari.
Hususan CNN.
Najua kwako wewe pengine hujapendezwa na habari hiyo.

Tumsifu Yesu Kristu.
yeye kaenda moja kwa moja , inatia aibu yaan yy anaetumia technology yao na hao wanaojarib kusonga mbele , nan anatia aibu ?
 
Mkuu mimi nimeandika vilivyoripotiwa na vyanzo vya habari, embu ripoti vyako bhs.
kati ya ww unayetumia technology yao na wao wanajarib kugrow na technology yao , nan anatia aibu ? we cant move with that mentality , ndo wale mnamponda anaekula chips kav na soda ingawaj ww huna hata uwezo wa kuupata huo msos by your hustle
 
Warusi na wamarekani wa Bonyokwa wanajua intelejensia yote ya Urusi na US ila hawawezi kutatua changamoto ya maji tu mitaani kwao [emoji1787]
hahahaaa yaan ni kituko mkuu
 
uje na fact ,za prove hivyo unavyoamini ! mm nimeeleza kwa mifano na sababu why nasema Russia ni ma done ki sayansi !!
siku zote walikuwa wap ? au walikuwa hawapend show off kama Kiba100
 
Hypersonic ya 5x speed ya sound wenzenu wanayo mpaka ya 15x ya speed ya sound. Russia toka 2018 ana hypersonic nyie mnakuja kupata tech 2022 tena july. Tukiwambia Russia yuko mbele kwa tech muwe mnaelewa
socialist gov hazijawai kuacha tabia za Kihaya , kujisif hawajambo , mpk ss zimewasaidiaj huko Ukraine ?
 
Me naona wewe hapa kama unapiga umbeya, toa hoja zako tuzione mwenzako alitoa hoja kupinga.
mbona hajathibitisha kupinga Marekan kutokwenda Mwezin mtu wa assumptions unamjib ili iweje , hata mm naeza sema Jf sio ya mtu f ni ya mtu k fb sababu mtu k anachat muda wote fb
 
MAREKANI INAZIDI KUTIA AIBU.

Naam ni yuleyule anayejiita superpower anayesifiwa yuko juu kwenye tech kushinda taifa lolote duniani naam!! sio mwingine bali ni US.

Mnakumbuka week mbili zimepita niliandika uzi kuhusu US kushindwa kutest kombora la hypersonic kwa mara ya 4 mfululizo sasa wameshindwa kutest kombora la ICBM kwa mara nyingine tena.

Source mbalimbali za habari zimeanza kureport tukio hili kwa kasi sana, unaambiwa mlipuko huo mkubwa ulitokea baada ya kulaunch kwa sec11 ndio ukatokea mlipuko mkubwa sana, japo wanadai hakuna watu waliokufa wala maafa makubwa.

Wakati Russia akifanikiwa kutest ICBM la Sarmat 2 tena hypersonic lenye uwezo wa kubeba war head 15 bila kumsahau North Korea lakin US ameshindwa kutest Kombora hilo la ICBM ni aibu kwakweli.

Marekani anazidi kutia aibu hata North korea inawashinda? Wadau mbalimbali wanareport kwamba Russia amesitisha export ya engine za rocket kwenda US hivo limekua pigo kubwa sana kwa US, Russia ndiyo bingwa wa kutengeneza engine za rockets. Juzi pia elon musk alishindwa kurusha rocket yake .

Tunavowaambia marekani na tech zake za kimchongo muwe mnaelewa, US kwenye tech bado yuko nyuma anachechemea media zinambeba huyu superpower wenu.

“A routine test flight ended in disaster when a Minotaur II+ rocket exploded during a test flight at Vandenberg Space Force Base yesterday shortly after take-off. There were no fatalities.

A statement released by the Vandenberg Space Force Base did not lead to any revelations about what exactly when wrong but did state the following:

“A Minotaur II+ rocket exploded approximately 11 seconds after launching from Test Pad-01 at 11:01 p.m. PDT Wednesday.”

There were no injuries in the explosion and the debris was contained to the immediate vicinity of the launch pad.

"We always have emergency response teams on standby prior to every launch," said Col. Kris Barcomb, Space Launch Delta 30 vice commander and launch decision authority for this launch, "Safety is our priority at all times."

“An investigative review board has been established to determine the cause of the explosion.”

The test flight is part of an effort by Lockheed Martin to modify the Mk21 reentry vehicle, a Cold War-era munition, and part of the United States’ intercontinental ballistic missile nuclear triad. The goal of the effort is to provide a reliable delivery vehicle for the W87-1 nuclear warhead for the Ground-Based Strategic Deterrent weapon system, the successor system to the Minuteman intercontinental ballistic missile system.

The United States Air Force awarded Lockheed Martin the contract in 2019. “It is essential that Lockheed Martin continue our long-standing ICBM partnership with the Air Force to provide them with advanced solutions,” a press release from 2019 announcing the award explained.

“We will continue to demonstrate, through this TMRR, cutting-edge engineering to defeat rogue nation threats," said John Snyder, vice president of Advanced Strategic Programs for Lockheed Martin.

Lockheed Martin previously explained that the company would “work closely with the Air Force and the National Nuclear Security Administration to provide a technically low risk and affordable solution to modify existing Mk21 reentry vehicles with the capability to deliver the W87-1 Warhead for the Ground-Based Strategic Deterrent Weapon System.”

The failed flight test was one of two test flights. Though the first ended in disaster, the second is reported to be scheduled for mid-2023. It is unclear how or if this first failure will affect the second test launch, though no doubt there will be a raft of additional safety measures and pre-launch checks to mitigate the risk of a similar launch disaster.

What the implications are for the ground-based component of the United States’ nuclear triad are also unclear. It could be the case that the Ground-Based Strategic Deterrent weapon system’s 2029 service date could be postponed.

Caleb Larson is a multimedia journalist and defense writer with the National Interest. A graduate of UCLA, he also holds a Master of Public Policy and lives in Berlin.

He covers the intersection of conflict, security, and technology, focusing on American foreign policy, European security, and German society for both print and radio. Follow him on Twitter @calebmlarson.

Image: Reuters.

View attachment 2289720
View attachment 2289721
MK254 njoo usijitie ubize?😂😂
 
Unafikiri ICBM ni mandazi ya Mama Amina ndala ndefu wa buza. Failure is part of the game na ukiipatia umepatia. "kama hujawahi kufeli hujawahi kujaribu"
Wenzako wanayarusha kila siku hayo maandazi ya mama amina
 
kati ya ww unayetumia technology yao na wao wanajarib kugrow na technology yao , nan anatia aibu ? we cant move with that mentality , ndo wale mnamponda anaekula chips kav na soda ingawaj ww huna hata uwezo wa kuupata huo msos by your hustle

Tulia sindano iendelee kuingia
 
mbona hajathibitisha kupinga Marekan kutokwenda Mwezin mtu wa assumptions unamjib ili iweje , hata mm naeza sema Jf sio ya mtu f ni ya mtu k fb sababu mtu k anachat muda wote fb

Mkuu sijaleta hoja ya US kwenda mwezini, vipi unachanganyikiwa nini??
 
MK254 njoo usijitie ubize?😂😂

Kwa taarifa zako, Marekani wanazo Minuteman III ICBM takriban 431 pia wana Trident II SLBM (submarine launched ballistic missile) kama 240

Halafu kwa taarifa za huu uzi, tatizo mleta mada kawazuga na ushabiki kama paragraph tano mfululizo halafu ndio hatimaye kapachika kingereza, ila nenda hapo chini usome hii paragraph mara kadhaa ukiielewa uje tena

The test flight is part of an effort by Lockheed Martin to modify the Mk21 reentry vehicle, a Cold War-era munition, and part of the United States’ intercontinental ballistic missile nuclear triad.
 
Back
Top Bottom