Marekani inatarajia kuiingiza SMIC ya China kwenye vikwazo, yenyewe yakataa kuhusika na jeshi la China

The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
4,355
17,321
Rais Donald John Trump anatarajia kuiingiza kampuni kubwa ya kutengeneza vifaa vya elektroniki ya China, Semiconductor Manufacturing International Corporation au SMIC ya China kwenye blacklist ya vikwazo kama Huawei wakiituhumu kushirikiana na jeshi la China.

Kampuni ya SMIC imekataa vikali sana kujihusisha na jeshi la China.

Marekani imekua ikizilenga kampuni za kichina za kimataifa kwa kuzituhumu kushirikiana na jeshi la China ambalo Marekani alishaliwekea vikwazo vikubwa.

Marekani tayari ameshaiondoa kampuni ya Huawei kwenye soko la simu na mtandao wa 5G baada ya kuitwanga vikwazo vikali kupelekea kampuni hiyo kukosa vifaa vya kutengenezea simu kuanzia mwanzoni mwa mwaka ujao.

====

China's top chipmaker Semiconductor Manufacturing International Corp (SMIC) declared on Saturday that it has no ties with the Chinese military, as the Trump administration is reportedly considering adding the semiconductor foundry to a trade blacklist

"We have no relationship with the Chinese military," the company said in its official WeChat account, "Any assumptions of the Company's ties with the Chinese military are untrue statements and false accusations."

The chipmaker noted that it has maintained "long-term strategic partnerships with multiple U.S.-based semiconductor equipment suppliers" and will keep open to communication with the U.S. government agencies "in the hope of resolving potential misunderstandings," even though it is in "shock and perplexity to the news."

According to a Reuters report, a Pentagon spokeswoman said on Friday the U.S. Defense Department was working with other agencies to determine whether to make a move against SMIC, which would force U.S. suppliers to seek a difficult-to-obtain license before shipping to the company

Reports said earlier this week that the Pentagon had proposed placing SMIC on the Commerce Department's entity list, which includes more than 275 China-based firms deemed "national security risks" by the U.S. government. The Trump administration has used the entity list to hit several Chinese giants including Huawei, ZTE and Hikvision

Last week, the U.S. added 24 Chinese companies to the entity list for their role in China's construction in the South China Sea, while Chinese State Councilor and Foreign Minister Wang Yi earlier said the sea is the shared home for the countries in the region and should not be a wrestling ground for international politics

SMIC is the largest Chinese chip manufacturer and made its trading debut on Shanghai's Nasdaq-style STAR Market in July, marking China's biggest IPO in a decade. The Shanghai-headquartered chipmaker was listed in Hong Kong and New York in 2004 and delisted from the U.S. last year due to sluggish demand for its shares

As one of Huawei's manufacturers, SMIC has been embroiled in U.S. restrictions on Chinese tech firms since May. At the time, the United States placed new restrictions on smartphone maker Huawei, which prevent its suppliers from accessing services from American companies
 
Hizo simu anaziuzia kuzimu? Ama hiyo 5G anawekea wafu?
Unajua mkuu kuna watu wanapendaga tu kubisha ili mradi tu basi, kwanza marafiki zake wenyewe kama Russia, cuba, korea hawajakubali hio 5g kuogopa mkono wa Us sembuse wengine ndio watathubutu....kuacha ushabiki Huawei is out of the market for now....vikwazo vyenyewe ndio vimeanza september hii...kwa kifup china waache ukaidi wataumia sana kibiashara, bado kuna another 4 years ahead
 
Unajua mkuu kuna watu wanapendaga tu kubisha ili mradi tu basi, kwanza marafiki zake wenyewe kama Russia, cuba, korea hawajakubali hio 5g kuogopa mkono wa Us sembuse wengine ndio watathubutu....kuacha ushabiki Huawei is out of the market for now....vikwazo vyenyewe ndio vimeanza september hii...kwa kifup china waache ukaidi wataumia sana kibiashara, bado kuna another 4 years ahead
Kuna siku Mark Zuckerberg alilalamika kwenye bunge la seneti kua miaka 10 iliyopita makampuni 10 bora Duniani yalikua yanatoka Marekani lakini leo kati ya makampuni 3 basi moja ni la kichina.

Hii ilikua ni meseji kwa mamlaka kua kuna kitu wanakosea hadi leo makampuni ya kichina kwa miaka 10 yanaweza kupambana na makampuni ya kimarekani.

Makampuni ya marekani yanafurahia hiki kinachoendelea, wanalaumu utawala uliopita uliowapa wachina upendeleo usio na kifani kupata upenyo wa soko la Marekani huku wao hawapati soko la China inavyotakiwa.

Trump anasema angekuwepo miaka 10 iliyopita China isingekua hapa ilipo leo.
 
Trump ameona hawezi pambana na china kibiashara kaja na mbinu ya kuzusha na kumchafua sawa na demu wa Uswahilini ukimshinda mitego yake atakuzushia wewe una Ngoma au jogoo hapandi mtngi ili mademu wote wakukatae.
Ndiyo mapambano yenyewe hayo. Wakati Marekani akimbeba China huku China akiweka mazingira magumu kwa Mmarekani mbona hamkuongea? Au mnajifanya hamjui kuwa ku shine kote kwa Mchina ni sababu ya backup ya Mmarekani?
 
Ndiyo mapambano yenyewe hayo. Wakati Marekani akimbeba China huku China akiweka mazingira magumu kwa Mmarekani mbona hamkuongea? Au mnajifanya hamjui kuwa ku shine kote kwa Mchina ni sababu ya backup ya Mmarekani?
Ndiko kunamfanya awe na watu ambao wana technical knowledge kuliko Marekani?
Ndiko kunamfanya awe na dollar reserve kubwa?

Mbona kashindwa mbeba swahiba yake Uingereza na Ufaransa (Yani nchi ya India ina GDP kubwa kuliko huyo Mfaransa)

Marekani ashachelewa China now ni unstoppable yani anafanya yale yote ambayo Marekani anafanya. Anatoa misaada, ana technology mfano anafanya mambo ambayo nchi za Ulaya ili zifanye ni mpaka ziungane. Mfano: Kutuma vyombo anga za juu, nchi za ulaya uwa zinaungana.

Ameunda space station ya kwake mwenyewe peke yake, wakati Urusi, USA na nchi za Ulaya zinayo moja zinashirikiana.
China ni one man show

Steve Jobs aliwahi kuulizwa kwanini wanafanyia production China. Alisema kuwa China ukitaka watu wanaojua jambo flani katika uhandisi watakuja watu wajae uwanja wa mpira na wanajua kweli, Marekani hata ofisi hawatojaa.
 
Hii ni mbinu ya kawaida, kupambana kwa kutumia vikwazo vya kiuchumi.
Trump ameona hawezi pambana na china kibiashara kaja na mbinu ya kuzusha na kumchafua sawa na demu wa Uswahilini ukimshinda mitego yake atakuzushia wewe una Ngoma au jogoo hapandi mtungi ili mademu wote wakukatae.
 
Hii ni mbinu ya kawaida, kupambana kwa kutumia vikwazo vya kiuchumi.
Ya kawaida aliwai kuitumia wapi?

Ashachelewa Chinani unstoppable kwa sasa atahangaika sana labda aje na mbinu nyingine. China kwasasa anatoamikopo, ana fund nchi nyingine, ana influence kubwa, ana technology tena cheap technology anatengeneza mabilionea kila week kuliko USA

Kachelewa kushtuka na anavyombana ndivyo atakuja na mbinu mpya.
 
Ya kawaida aliwai kuitumia wapi?

Ashachelewa Chinani unstoppable kwa sasa atahangaika sana labda aje na mbinu nyingine. China kwasasa anatoamikopo, ana fund nchi nyingine, ana influence kubwa, ana technology tena cheap technology anatengeneza mabilionea kila week kuliko USA

Kachelewa kushtuka na anavyombana ndivyo atakuja na mbinu mpya.

Ashachelewa wapi wakati GDP per Capita ya mchina ni around dola 9000, wakati ya Marekani ni 50000+

West ikiungana na kumnyima China soko, wachina hawajawa na utajiri wa kutosha wa ndani wa kujitosheleza soko lao!
 
Back
Top Bottom