Ndio anachotaka Obama hicho kwa kuwa yeye anaondoka ataka kuharibu nchiVuguvugu kati ya Marekani na Urusi linazidi kuchemka baada ya kuripotiwa uvamizi wa mifumo ya gridi ya taifa huko Vermot. Maafisa wa kituo hicho wanasema wamepambana na kompyuta iliyokuwa ikifanya operations ambayo haikuunganishwa na mifumo yao. Kompyuta hiyo imehusishwa na Urusi. Hatua ya mifumo ya umeme kwenye grid ya taifa kuvamiwa ni hatari kwa huduma za dharura na afya.
Russian operation hacked a Vermont utility, showing risk to U.S. electrical grid security, officials say
Vuguvugu kati ya Marekani na Urusi linazidi kuchemka baada ya kuripotiwa uvamizi wa mifumo ya gridi ya taifa huko Vermot. Maafisa wa kituo hicho wanasema wamepambana na kompyuta iliyokuwa ikifanya operations ambayo haikuunganishwa na mifumo yao. Kompyuta hiyo imehusishwa na Urusi. Hatua ya mifumo ya umeme kwenye grid ya taifa kuvamiwa ni hatari kwa huduma za dharura na afya.
Russian operation hacked a Vermont utility, showing risk to U.S. electrical grid security, officials say
Obama nae ni mse.nge.rema Putin katulia anajichekesha chekesha, hizi wiki 3 ataolewa
Obama ndiyo anasababisha yote haya
...Jaluo kumbe nae msham.ba tuUdhaifu wa Obama unampa kick sana Putin.