Marekani imetumia takribani Trilioni 15 kuokoa maisha ya Watanzania kwa miaka 20, Urusi imetumia kiasi gani?

Beberu Marekani Ametoa Msaada wa Shilingi Tilioni 15 Nchini Tanzania Kwa miaka 20 iliyopita katika Mpango Mmoja tuu wa.kupambana na Magonjwa hasa Ukimwi na Kifua Kikuu na kuokoa maelfu ya maisha ya Watanzania kwenye sekta ya Afya.

Hapo sijagusia MCCL,USAid Wala Wakfu wa Bill & Melinda Gates Foundation kwenye Kifua Kikuu,Malaria nk.

My Take; Sielewi Mnaoshobokea Russia Huwa mnafanya hivyo Kwa Maslahi yapi hasa?

Anaejua kiasi ambacho Russia amewahi toa Kwa Tanzania of any kind anijuze.

Nawashukuru sana beberu USA na nitasimama na Marekani mda wote na wakati wote.

Mungu ibariki Tanzania na Wabariki Mabeberu America.
Huo UKIMWI na kifua kikuu alivitengeneza nani kama sio mmarekani mwenyewe?? Waafrika mna vichwa vibovu sana. Mtu anawatenegenezea tatizo alafu anajidai kuja na solution kulimaliza, badala ya kumchukia kwa kuwaletea tatizo mnampigia makofi kwa kuleta solution ya tatizo alilolileta mwenyewe
 
Toa ujinga wako hapa,mnaishi Kwa msaada wa beberu USA
 
Beberu Marekani Ametoa Msaada wa Shilingi Tilioni 15 Nchini Tanzania Kwa miaka 20 iliyopita katika Mpango Mmoja tuu wa.kupambana na Magonjwa hasa Ukimwi na Kifua Kikuu na kuokoa maelfu ya maisha ya Watanzania kwenye sekta ya Afya.

Hapo sijagusia MCCL,USAid Wala Wakfu wa Bill & Melinda Gates Foundation kwenye Kifua Kikuu,Malaria nk.

My Take; Sielewi Mnaoshobokea Russia Huwa mnafanya hivyo Kwa Maslahi yapi hasa?

Anaejua kiasi ambacho Russia amewahi toa Kwa Tanzania of any kind anijuze.

Nawashukuru sana beberu USA na nitasimama na Marekani mda wote na wakati wote.

Mungu ibariki Tanzania na Wabariki Mabeberu America.

Urusi enzi za USSR ilichangia kwa kiasi kikubwa harakati za ukombozi na uhuru wa nchi za Afrika. Na hata baada ya uhuru walikuwa mstari wa mbele kusaidia nchi hizi katika sekta mbalimbali tena bila riba.
 
Beberu Marekani Ametoa Msaada wa Shilingi Tilioni 15 Nchini Tanzania Kwa miaka 20 iliyopita katika Mpango Mmoja tuu wa.kupambana na Magonjwa hasa Ukimwi na Kifua Kikuu na kuokoa maelfu ya maisha ya Watanzania kwenye sekta ya Afya.

Hapo sijagusia MCCL,USAid Wala Wakfu wa Bill & Melinda Gates Foundation kwenye Kifua Kikuu,Malaria nk.

My Take; Sielewi Mnaoshobokea Russia Huwa mnafanya hivyo Kwa Maslahi yapi hasa?

Anaejua kiasi ambacho Russia amewahi toa Kwa Tanzania of any kind anijuze.

Nawashukuru sana beberu USA na nitasimama na Marekani mda wote na wakati wote.

Mungu ibariki Tanzania na Wabariki Mabeberu America.

Hizo pesa zote kala nani?
 
Back
Top Bottom