grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 4,015
- 5,664
Nimeangalia military strength by countries dah tanzania ipo mbali
sema $67billion sio $674billion
HeheeeHii ndio nchi ya binadamu kuishi.
Sio hii Shithole ya JIWE na genge lake la wahuni.
Sijakuelewa.USA wana utaratibu wa kutoa uraia kirahisi sana, hii comment yako ni application tosha ya uraia; kwamba uwezo wa akili yako ni mdogo kuliko RAIA yeyote wa nchi changa, jaribu ku-apply somalia utawafaa sana
Mbona Mrussi ana burget ndogo tu Wizara ya ulinzi lkn anafanya mambo makubwa zaidi kitekinolojia hasa masuala ya anga kuliko mmarekani na mahela yake yoteUkiwa na bajeti ndogo huwezi ku gain technology inayo eleweka
Ukiwa huna bujeti huwezi kufanya research za kuvumbua tech mpya
Hata Tanzania tungekuwa na bajeti kubwa tusingekuwa na mafoleni ya kimama down town, miaka 60 ya uhuru lakini tumeshindwa kumaliza tatizo la foleni mkoa mmoja tu wa dar, sababu ufinyu wa bajeti
Hewa wewe na sio link au tukupigie screen tukupe ndondoo za Uzi uone hiyo satellite ya maajabu mkuu....Link hewa!
Nilitengemea ungetolea mfano na nchi ya Africa yenye budget ndogo kwenye wizara ya ulinzi halafu ikafanya vizuri...Mbona Mrussi ana burget ndogo tu Wizara ya ulinzi lkn anafanya mambo makubwa zaidi kitekinolojia hasa masuala ya anga kuliko mmarekani na mahela yake yote
Hi ni great thinkers JF mkuu, Afrika nchi gani yenye burget ndogo kijeshi na imeendelea kitekinolojia kula yenyewe shida, sembuse teknolojia...sisi watu wa kupokea tu Afrika yote....Afrika bado Sana....Nilitengemea ungetolea mfano na nchi ya Africa yenye budget ndogo kwenye wizara ya ulinzi halafu ikafanya vizuri...
Pesa zinachapishwa uswisi, na sio america.si wanachapisha hayo madola wenyewe....fake cost hiyo
Sitaki ndondoo mie, kwanza sizijuiHewa wewe na sio link au tukupigie screen tukupe ndondoo za Uzi uone hiyo satellite ya maajabu mkuu....
Mbona sisi kwetu link inafunguka au huna bandle...Sitaki ndondoo mie, kwanza sizijui
Unachek ndondoo kama kawaidaMbona sisi kwetu link inafunguka au huna bandle...
kwani wao wanapanga thamani ya dola?Pesa zinachapishwa uswisi, na sio america.
kwani wao wanapanga thamani ya dola?
china na Russia nao wamo kwenye hilo baraza?Wanaoanga dhamani ya dola si america pekee. Bali soko zima la dunia. So it depends uchumi wao umeshuka au kupanda.
More powerful compared to who?
Who proved that?Yoyote duniani