Marekani imetenga dola billion 674 kama bajeti ya jeshi 2018/2019

Marekani imetenga dola billion 674 kama bajeti ya jeshi 2018/2019

The seer

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
407
Reaction score
690
Taifa lenye nguvu na ubabe dunia U,S A limetenga bajeti kwa ajili ya Jeshi kiasi cha dola billion 674 ambazo ni sawa na zaidi ya Trillion 148 kwa pesa ya kitanzania ambazo ni sawa na bajeti ya Tanzania kwa zaidi miaka 7..pesa hizo zitajikita zaidi kuboresha vifaa vya kijeshi na kivita kama ndege za kivita,manowari na siraha mbalimbali.hivyo kulifanya jeshi LA marekani kuwa lenye silaha za kisasa zaidi kuliko nchi yeyote duniani.
Marekani ndio nchi ya kwanza kwa jeshi lenye nguvu zaidi duniani ikifuatiwa na urussi baada ya hapo China inafuata
Pia ni nchi yenye bajeti ya jeshi kubwa zaidi duniani.
IMG_20180920_222411_570.JPG
 
Other countries. ....which countries .. hii ni siri ya kijeshi, ukiona mkwara mingi ujue hamna kitu.
Mbona post iko wazi kabisa nimesema katika tafiti za kijeshi za taasisi mbalimbli jeshi LA marekani ndio lenye nguvu zaidi duniani likifuatiwa na Russia then China.
Wanapoangalia nguvu za kijeshi wanaangalia bajeti,idadi ya wanajeshi,idadi ya vifaa vya kijeshi kama ndege vita,nyambizi,n.k,
 
Back
Top Bottom