JustDoItNow
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 2,967
- 1,511
https://www.google.com/url?sa=t&rct...-weapon.html&usg=AOvVaw2LSo8Z_PmFRavJZEa4YBq_Anafariji moyo wake huyo, muache
Soma hiyo mkuu uone russia walivyo mbali
https://www.google.com/url?sa=t&rct...-weapon.html&usg=AOvVaw2LSo8Z_PmFRavJZEa4YBq_Anafariji moyo wake huyo, muache
Hihihihihi!Huku kwetu kwa hyo pesa kuna mtu angeipata angetandaza Standard Gauge hadi chooni
😂😂😂😂😂jiheshimu ujueHuku kwetu kwa hyo pesa kuna mtu angeipata angetandaza Standard Gauge hadi chooni
Lkn huwezi kulinganisha nchi kubwa kama ile na nchi kama zetu....kumbuka kuna states kama 52 pale...karibu kila state ni nchi kabisa yenye vituo vya kijeshi, wanajeshi wanaohudumia na mambo mengine chungu nzima..bado kambi zao zilizopo nje ya nchi na vituo vidogo vidogo karibu 400...hivyo budget yao inaakisi wala hamna cha ajabu hapo....Budget yetu nzima ya miaka kama 20 hivi. Ukitaka kujua tuko nyuma angalia vitu kama hivi, alafu tunajifanya kuleta kiburi badala ya kuiga tunakaa tunaiga Uganda na Zimbabwe.
Link hewa!https://www.google.com/url?sa=t&rct...-weapon.html&usg=AOvVaw2LSo8Z_PmFRavJZEa4YBq_
Soma hiyo mkuu uone russia walivyo mbali
Dola bilion 674 ni sawa na shilingi trilioni 1480 sawa na bajet ya tanzania ya miaka 50Taifa lenye nguvu na ubabe dunia U,S A limetenga bajeti kwa ajili ya Jeshi kiasi cha dola billion 674 ambazo ni sawa na zaidi ya Trillion 148 kwa pesa ya kitanzania ambazo ni sawa na bajeti ya Tanzania kwa zaidi miaka 7..pesa hizo zitajikita zaidi kuboresha vifaa vya kijeshi na kivita kama ndege za kivita,manowari na siraha mbalimbali.hivyo kulifanya jeshi LA marekani kuwa lenye silaha za kisasa zaidi kuliko nchi yeyote duniani.
Marekani ndio nchi ya kwanza kwa jeshi lenye nguvu zaidi duniani ikifuatiwa na urussi baada ya hapo China inafuata
Pia ni nchi yenye bajeti ya jeshi kubwa zaidi duniani.View attachment 872762
Lkn huwezi kulinganisha nchi kubwa kama ile na nchi kama zetu....kumbuka kuna states kama 52 pale...karibu kila state ni nchi kabisa yenye vituo vya kijeshi, wanajeshi wanaohudumia na mambo mengine chungu nzima..bado kambi zao zilizopo nje ya nchi na vituo vidogo vidogo karibu 400...hivyo budget yao inaakisi wala hamna cha ajabu hapo....
Yaani hiyo ni budget ya mataifa 50 kwa ujumla wake....
Labda na sisi tungalikua na United States of Africa tungeweza kujilinganisha nao....
We ndo umekosea bajeti yao ni $ 674 billion of dollar ambayo ni sawa na tz sh trillion 1480(kwa rate ya $1=2250 tz shillings).sema $67billion sio $674billion
Taifa lenye nguvu na ubabe dunia U,S A limetenga bajeti kwa ajili ya Jeshi kiasi cha dola billion 674 ambazo ni sawa na zaidi ya Trillion 148 kwa pesa ya kitanzania ambazo ni sawa na bajeti ya Tanzania kwa zaidi miaka 7..pesa hizo zitajikita zaidi kuboresha vifaa vya kijeshi na kivita kama ndege za kivita,manowari na siraha mbalimbali.hivyo kulifanya jeshi LA marekani kuwa lenye silaha za kisasa zaidi kuliko nchi yeyote duniani.
Marekani ndio nchi ya kwanza kwa jeshi lenye nguvu zaidi duniani ikifuatiwa na urussi baada ya hapo China inafuata
Pia ni nchi yenye bajeti ya jeshi kubwa zaidi duniani.View attachment 872762
Duu hapo calculator lazima izime,pesa ndefu sanaUmekosea hesabu kijana, hiyo pesa ukiconvert kuja hela zetu za kibongobongo ni Zaidi ya trillion 1,500 za kwetu yaani ukiwa na trilioni trilioni basi inabidi zifike elfu moja na mia tano na hamsini( Its 1,550,200,000,000,000 TZS)
USA wana utaratibu wa kutoa uraia kirahisi sana, hii comment yako ni application tosha ya uraia; kwamba uwezo wa akili yako ni mdogo kuliko RAIA yeyote wa nchi changa, jaribu ku-apply somalia utawafaa sanaHii ndio nchi ya binadamu kuishi.
Sio hii Shithole ya JIWE na genge lake la wahuni.
Sio tillion 148 ni quadrillioyn 1.4 sawa na tillioni 148*1000 ni zaidi ya miaka 7000Taifa lenye nguvu na ubabe dunia U,S A limetenga bajeti kwa ajili ya Jeshi kiasi cha dola billion 674 ambazo ni sawa na zaidi ya Trillion 148 kwa pesa ya kitanzania ambazo ni sawa na bajeti ya Tanzania kwa zaidi miaka 7..pesa hizo zitajikita zaidi kuboresha vifaa vya kijeshi na kivita kama ndege za kivita,manowari na siraha mbalimbali.hivyo kulifanya jeshi LA marekani kuwa lenye silaha za kisasa zaidi kuliko nchi yeyote duniani.
Marekani ndio nchi ya kwanza kwa jeshi lenye nguvu zaidi duniani ikifuatiwa na urussi baada ya hapo China inafuata
Pia ni nchi yenye bajeti ya jeshi kubwa zaidi duniani.View attachment 872762
Wewe utakuwa hkl aisei...!Taifa lenye nguvu na ubabe dunia U,S A limetenga bajeti kwa ajili ya Jeshi kiasi cha dola billion 674 ambazo ni sawa na zaidi ya Trillion 148 kwa pesa ya kitanzania ambazo ni sawa na bajeti ya Tanzania kwa zaidi miaka 7..pesa hizo zitajikita zaidi kuboresha vifaa vya kijeshi na kivita kama ndege za kivita,manowari na siraha mbalimbali.hivyo kulifanya jeshi LA marekani kuwa lenye silaha za kisasa zaidi kuliko nchi yeyote duniani.
Marekani ndio nchi ya kwanza kwa jeshi lenye nguvu zaidi duniani ikifuatiwa na urussi baada ya hapo China inafuata
Pia ni nchi yenye bajeti ya jeshi kubwa zaidi duniani.View attachment 872762
Kama ni wanaangalia idadi ya wanajeshi pia basi india ya kwanzaMbona post iko wazi kabisa nimesema katika tafiti za kijeshi za taasisi mbalimbli jeshi LA marekani ndio lenye nguvu zaidi duniani likifuatiwa na Russia then China.
Wanapoangalia nguvu za kijeshi wanaangalia bajeti,idadi ya wanajeshi,idadi ya vifaa vya kijeshi kama ndege vita,nyambizi,n.k,