Marekani imetenga dola billion 674 kama bajeti ya jeshi 2018/2019

Marekani imetenga dola billion 674 kama bajeti ya jeshi 2018/2019

Wanajishaua tu. Kutenga bajeti siyo ku gain technology
Ukiwa na bajeti ndogo huwezi ku gain technology inayo eleweka

Ukiwa huna bujeti huwezi kufanya research za kuvumbua tech mpya

Hata Tanzania tungekuwa na bajeti kubwa tusingekuwa na mafoleni ya kimama down town, miaka 60 ya uhuru lakini tumeshindwa kumaliza tatizo la foleni mkoa mmoja tu wa dar, sababu ufinyu wa bajeti
 
Sasa midola si ni ya kwao wanaichapisha wao wenyewe wanavyotaka, kinachoipa value dola ni mafuta kuuzwa kwa dola na pia imani ya mataifa kwa hiyo currency otherwise marekani nayo ingepata shida na makaratasi yake
Pesa hazichapishwi america zinachapishwa uswisi.
Na hii inategemea na uchumi wa nchi umepandaje na dhamani ya pesa.
 
Kweli, alafu wanatakiwa wa invest kwenye technology. Problem na threat kubwa ambayo marekani anakutana nayo ni kwamba watu kama russia wameshamzidi ki technologya. Hasa maswala ya anga.
Mh hapana. Russia hajamzidi maybe wako sawa.. maana juzi juzi russia wame terminate baadhi ya program za anga sababu ya funding kuwa chache.
 
Marekani ni muungano wa nchi nyingi na ndo maana inaitwa United states. Kuna nchi kama 52 pale ambazo zinajulikana kama majimbo ( if im correct).. kwa hiyo ni lazima iwe na bajet kubwa.
 
Marekani ni muungano wa nchi nyingi na ndo maana inaitwa United states. Kuna nchi kama 52 pale ambazo zinajulikana kama majimbo ( if im correct).. kwa hiyo ni lazima iwe na bajet kubwa.
True,ni muunganiko wa States nyingi.
 
Ukiwa na bajeti ndogo huwezi ku gain technology inayo eleweka

Ukiwa huna bujeti huwezi kufanya research za kuvumbua tech mpya

Hata Tanzania tungekuwa na bajeti kubwa tusingekuwa na mafoleni ya kimama down town, miaka 60 ya uhuru lakini tumeshindwa kumaliza tatizo la foleni mkoa mmoja tu wa dar, sababu ufinyu wa bajeti
Tatizo sio ufinyu wa baketi. Tatizo ni ufinyu wa fikra sahihi. Kiongozi mkuu wa nchi akiongea hadharani anaongea mashudu tu. Hapo unategemea nini?
 
Kweli, alafu wanatakiwa wa invest kwenye technology. Problem na threat kubwa ambayo marekani anakutana nayo ni kwamba watu kama russia wameshamzidi ki technologya. Hasa maswala ya anga.
Ukiwaambia ukweli huo team Mawigi utakoga matusi mpaka basi mkuu, Marekani mbwembwe nyingi FOX newz, CNN basi technolojia ya kijeshi hasa star wars kwa Soviet atasubir Sana....
 
Matajiri wanapata pesa kutoka kwa masikini......ukimwona Bakhresa ana pesa ujue zimetoka kwenye mifuko na vibubu vya sisi masikini....USA is a rich country through controlling of the 3rd world countries' economy (including Tanzania)....Note that well!!!!!
 
Taifa lenye nguvu na ubabe dunia U,S A limetenga bajeti kwa ajili ya Jeshi kiasi cha dola billion 674 ambazo ni sawa na zaidi ya Trillion 148 kwa pesa ya kitanzania ambazo ni sawa na bajeti ya Tanzania kwa zaidi miaka 7..pesa hizo zitajikita zaidi kuboresha vifaa vya kijeshi na kivita kama ndege za kivita,manowari na siraha mbalimbali.hivyo kulifanya jeshi LA marekani kuwa lenye silaha za kisasa zaidi kuliko nchi yeyote duniani.
Marekani ndio nchi ya kwanza kwa jeshi lenye nguvu zaidi duniani ikifuatiwa na urussi baada ya hapo China inafuata
Pia ni nchi yenye bajeti ya jeshi kubwa zaidi duniani.View attachment 872762
marekani ina budget kubwa ya jeshi sababu ana kambi overseas military camps zaidi ya 700 kwa hapo lazima bajeti iwe kubwa sana ili ku maintain cost za hizo kambi
 
marekani ina budget kubwa ya jeshi sababu ana kambi overseas military camps zaidi ya 700 kwa hapo lazima bajeti iwe kubwa sana ili ku maintain cost za hizo kambi
True bases ndio zinamgharimu
 
Ndo haipewi kipaumbele sasa.
hatutokaa tuendelee mpaka siku tukiset vipaumbele vya miaka 20-30 kila raisi anakuja anaendeleza mwenzake alipoishia. sasa sisi kila awamu na vipaumbele vyake tena vingi wakati bajeti kiduchu,,,, mara kilimo kwanza, maa elimu bure, mara afya mara hivi na hakuna kinachofanyika kwa uhakika wa hata 50%
Tazama mfano wa Sheikh Maktoum aliamua kuibadiri nchi za UAE kuwa kitovu cha biashara na utalii. na ni kitu wanacho kifanyia kazi siyo blah blah na kupika takwimu huku ukijua ni uongo.
 
Back
Top Bottom