Haa Supreme Leader Ajiandae VizuriHawa makafirs USA wanataka kumnyoa udevu Ayatollah Khamenei bila poda.Masikini kipenzi chetu Ayatollah!
Waajemi sio wa mchezo mchezo. Wamepigana vita kabla Yesu hajazaliwa sembuse Marekani iliyogunduliwa juzi na akina Columbus!Hawa makafirs USA wanataka kumnyoa udevu Ayatollah Khamenei bila poda.Masikini kipenzi chetu Ayatollah!
Nani huwa anakudanganya ndugu yangu?Hao "Ajemizz bloody turbuns" wawasumbue Amerika? That's bloody pipe-dream!Waajemi sio wa mchezo mchezo. Wamepigana vita kabla Yesu hajazaliwa sembuse Marekani iliyogunduliwa juzi na akina Columbus!
Mitambo inayotestiwa waajemi waliposilimu ndio wahusika wakuu wa kuivumbua.Waajemi sio wa mchezo mchezo. Wamepigana vita kabla Yesu hajazaliwa sembuse Marekani iliyogunduliwa juzi na akina Columbus!
Ni kweli ila si kwa USA mkuuWaajemi sio wa mchezo mchezo. Wamepigana vita kabla Yesu hajazaliwa sembuse Marekani iliyogunduliwa juzi na akina Columbus!
Umeanza uongo.Mitambo inayotestiwa waajemi waliposilimu ndio wahusika wakuu wa kuivumbua.
Wanasayansi kibao waliogundua madawa ya kutengenezea mabomu na kujishughulisha na mambo ya anga waliotokea maeneo ya Iran na jirani yake.
Hivi TAQIYYAH kwenu ni lazima?Mitambo inayotestiwa waajemi waliposilimu ndio wahusika wakuu wa kuivumbua.
Wanasayansi kibao waliogundua madawa ya kutengenezea mabomu na kujishughulisha na mambo ya anga waliotokea maeneo ya Iran na jirani yake.
Baba wa kemia ni Jabir ibn Nahyan ni huko huko na wengi wengineo.Umeanza uongo.
Nini kimetokea wakaachwa na wazungu sasa. Maana mpaka walitawaliwaMitambo inayotestiwa waajemi waliposilimu ndio wahusika wakuu wa kuivumbua.
Wanasayansi kibao waliogundua madawa ya kutengenezea mabomu na kujishughulisha na mambo ya anga waliotokea maeneo ya Iran na jirani yake.
Nimekula samakiUmekula Maharage ya Jana?
Hamjawahi kujiacha nyumba.Kila kitu mnaweza.Baba wa kemia ni Jabir ibn Nahyan ni huko huko na wengi wengineo.
Jee una jina la mmarekani aliyekuwepo enzi hizo kabla ya kufika Columbus mwaka 1492
Ngoja upigwe saundi/Mchinga Sound.Nini kimetokea wakaachwa na wazungu sasa. Maana mpaka walitawaliwa
Wewe unadhani resistance ya Iran dhidi ya uvamizi inaweza kuwa na athari gani kwenye eneo la mashariki ya kati? Iran ni taifa kubwa sana na lenye nguvu kuliko yote mashariki ya kati. Kuivamia kijeshi ni hasara kuliko faida hata kwa wavamizi wenyewe. Hiyo jamii sio ya waarabu. Kuivamia Iran ni kuliingiza eneo zima la mashariki ya kati kwenye vita ambavyo hawataweza kuvimaliza.Marekani imeshaanza ku-test mitambo baada ya kuona Iran a nataka kuleta za kuleta.
Wakati mazungumzo yanayotarajiwa kuendelea huko Oman kati ya Marekani na Iran Marekani imetoa onyo la awali kuwa endapo mazungumzo hayo Iran itayavuruga basi itarajie nguvu za kijeshi zitatumika kuwanyoosha.
Sio kuweza tu lakini kila mmoja apate heshima yake.Hamjawahi kujiacha nyumba.Kila kitu mnaweza.
Bahati mbaya wa mwisho ndio wa kwanza kwasasaWaajemi sio wa mchezo mchezo. Wamepigana vita kabla Yesu hajazaliwa sembuse Marekani iliyogunduliwa juzi na akina Columbus!