Marekani anafikiria kuwawekea vikwazo vya kusafiri viongozi wakuu wa Chama cha Kikomunisti cha China

Naomba niulize, hivi anavyompiga mtu vikao vya kusafiri ni hatakiwi kusafiri kwenda Marekani tu au na nchi wanachama wa marekani??
 
Naomba niulize, hivi anavyompiga mtu vikao vya kusafiri ni hatakiwi kusafiri kwenda Marekani tu au na nchi wanachama wa marekani??
Inategemea na vikwazo vyenyewe kuna utavyoekewa vitahusisha mpaka mataifa washirika ila kuna vyengne vitaihusu US kama US
 
US wanazidi kuhangaika maskini halaf huyo wanaemuekea vikwazo sasa kakaa kimyaa anawaachia waendelee kuhangaika nakutpatapa

Cold War eras back

Ila yanayokuja jamani hayapendezi lakini mazuri.....
 
Back
Top Bottom