Marekani adukua tena

Marekani adukua tena

Hatari Sana hawa jamaa
Hao ndio wenyewe haswa, wanatazama miaka 100 mbele. Nchi yenye ukubwa wa mkoa wa Mwanza kuwaburuza na kuwa bull majirani wake wote wakubwa walioizunguka inahitaji akili za ziada.
 
Hujazungumzia Wamarekani Wizara ya Ulinzi ya Russia. Halafu watu kama Tarimo kutoka Mburahati hawawezi kuziona taarifa za ngazi za juu za Wagner, pia mtu kutoka Brooklyn kwenda kujiunga na Wagner labda anahitajia kufa tu, ameshajichokea na maisha, watu wa aina hiyo hawawezi kuwa asset kwa CIA.
Wagner group ni mercenary sote tunafahamu,, na kawaida ya mercenary anaweza akatoka Brooklyn New York au Mburahati kwa jongo,, so sio kitu cha ajabu kwa wagner kuwa na raia wa marekani, kwani si wamarekani wote wanaokubali kinachofanywa na serikali yao alafu pia wapo kazini,, na hiyo vita haipiganwi marekani... kwa hiyo hapo hakuna cha ajabu wala siri,, na suala la Wagner kujua wapo wapi hii vita sio ya kuviziana kiasi kwamba usijue mwenzio alipo mpaka mtu atoe siri,, hii vita hata mie Nyonzo bin mvule japo nipo tandale kwa mkunduge lakini najua Wagner wapo bakhmut,,,, ninachokiona mimi hapa ni huyu mmarekani anajaribu kutuzuga kwa kufuta aibu ya juzi kudukuliwa taarifa zake.
 
Kwa mara nyingine Marekani imekamatwa ikidukua Nchi rafiki na viongozi wa nchi hizo

Uvujaji wa Siri siku za hivi karibuni umefichua umbali ambao Marekani imeenda kupata taarifa hadi milangoni mwa maadui na marafiki.

UAE
Imejikuta taarifa zake kuhusu kujitenga na US, UK zikianikwa hadharani

South Korea
Taarifa zinadai kuwa mazungumzo kati ya Rais na washauri wake walikuwa hawaelewani

Israel
Taarifa zinadai kuwa Mossad na MoD walishauriana kuandaa maandamano ili kupinga Mswada wa Sheria ambao ungeipa Serikali nguvu juu ya Mahakama

Egypt
Taarifa zinadai Egypt kwa Kisiri alikubali kutengeneza makombora 40,000 na kuyatuma Russia kisiri

Russia
Taarifa zinadai kuwa Marekani ina watu ndani ya Wagner na MoD ya Russia hivyo inakuwa rahisi kwa Marekani kujua kila sehemu Wagner waendapo ndo maana wamekuwa wakitoa taarifa na mashambulizi kufanyika, itakumbukwa mara kadhaa Mkuu wa Wagner amekoswa koswa na mashambulizi.
Kushindwa kwa jeshi la Russia pale Vuhledar ni kidhihirisho kuwa Marekani alijua kabla na kuwapa taarifa Ukraine

Ukraine
Maongezi kati ya Rais wa Ukraine na MoD na viongozi wengine yamevuja, hii yaonesha Marekani inawafatilia Ukraine ili kujua kila kinachoendelea ndani ya ikulu hiyo

Serikali zote zimekana kuhusu hayo

Pentagon yadai kuwa kuvuja kwa siri hizo kutahatarisha usalama kwa waliokuwa wakitoa taarifa kwenda Marekani.

Ukraine yabadilisha mbinu za mashambulizi.
Taarifa za uongo na kujaribu kutisha tisha watu za taaisi za kijasusi za Merikani wakati mwingine zinakuwaga exaggerated na zimesheheni disinformation mfano kuhusu Wagner GROUP na CEO wake eti Merikani ina wajasusi ndani ya kikundi hicho, eti wememkosa kosa CEO wa Wagner Group mara nyingi tu - hizo ni adithi za Abunwasi tu za kutaka kujionyesha wao zaidi - binafsi huwa na toa mfano wa vijana wa Saudi Arabia kubamiza ndege kwenye trade center, pamoja na Pentagon - would you believe it? Ikulu ilikoswa koswa kidogo baada ya abiria kujitolea kupambana na ma terrorists.

Sasa umahili wa vyombo vya Merikani kuhusu masuala ya ujasusi/upelelezi/kujilinda mbona vilishindwa kugudua mpango kababe wa kushambulia majengo na taasisi muhimu za taifa hilo ulio husisha zaidi ya vijana wa kiarabu 15.

Ndege zinazunguka kwa masaa zikiendeshws na vijana wa Kiarabu baada ya ku-swtch off transponder zote na Urubani walijunza humo humo Merikani kwa miezi kadhaa lakini hakuna aliye washtukia, wanajifunza mpaka jinsi ya kuendesha ndege za crop duster laki hakuna aliye washtukia - ndege hizo zingeweza kusambaza sumu na kuuwa watu wengi, lakini hilo hawakulitekeleza for some reason.

Kinacho shangaza zaidi wakati ndege zilipo tekwa abiria waliwapigia simu ndugu/familia zao kwamba ndege walizo panda zimetekwa lakini USAF hawachukua hatua yoyote badala yake Rais Bush Jr, Dick Chenney na Condelleza Rice wakimbizwa kwenye mahandaki kujifichwa.

Ninacho taka kusema hapa nsihamini sana taarifa za kijasusi zinazo tolewa na taasisi za Nerikani - nyingine huwa niza kizushi tu zenye lengo la kuonyesha kwamba wao wapo kila pembe ya Duninia na Serikali zote haoa Duniani - ulaghai mtupu wenye lengo la kuleta hofu _ wakatikuna mataifa mengine ingawa hayasemi na kujitapa tapa, lakini yanaizidi kete Merikani kwa mbali katika masuala ya kijasusi.
 
Inaonesha ni kiasi gani Intelligence za wenzetu ziko after STATE ...sio Chama, Mtu wala kikundi...ni maslahi ya nchi kwanza..!!!

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Bila intelligence njema hizo nchi hazitakuwepo.
Watu wanavyoongelea de dollarization ukute CIA washajua kila kitu na wanajua wapi pa kuharibu
 
Mathanzua na wenzake wanasema September 11 ilikuwa ni inside job!
Taarifa za uongo na kujaribu kutisha tisha watu za taaisi za kijasusi za Merikani wakati mwingine zinakuwaga exaggerated na zimesheheni disinformation mfano kuhusu Wagner GROUP na CEO wake eti Merikani ina wajasusi ndani ya kikundi hicho, eti wememkosa kosa CEO wa Wagner Group mara nyingi tu - hizo ni adithi za Abunwasi tu za kutaka kujionyesha wao zaidi - binafsi huwa na toa mfano wa vijana wa Saudi Arabia kubamiza ndege kwenye trade center, pamoja na Pentagon - would you believe it? Ikulu ilikoswa koswa kidogo baada ya abiria kujitolea kupambana na ma terrorists.

Sasa umahili wa vyombo vya Merikani kuhusu masuala ya ujasusi/upelelezi/kujilinda mbona vilishindwa kugudua mpango kababe wa kushambulia majengo na taasisi muhimu za taifa hilo ulio husisha zaidi ya vijana wa kiarabu 15.

Ndege zinazunguka kwa masaa zikiendeshws na vijana wa Kiarabu baada ya ku-swtch off transponder zote na Urubani walijunza humo humo Merikani kwa miezi kadhaa lakini hakuna aliye washtukia, wanajifunza mpaka jinsi ya kuendesha ndege za crop duster laki hakuna aliye washtukia - ndege hizo zingeweza kusambaza sumu na kuuwa watu wengi, lakini hilo hawakulitekeleza for some reason.

Kinacho shangaza zaidi wakati ndege zilipo tekwa abiria waliwapigia simu ndugu/familia zao kwamba ndege walizo panda zimetekwa lakini USAF hawachukua hatua yoyote badala yake Rais Bush Jr, Dick Chenney na Condelleza Rice wakimbizwa kwenye mahandaki kujifichwa.

Ninacho taka kusema hapa nsihamini sana taarifa za kijasusi zinazo tolewa na taasisi za Nerikani - nyingine huwa niza kizushi tu zenye lengo la kuonyesha kwamba wao wapo kila pembe ya Duninia na Serikali zote haoa Duniani - ulaghai mtupu wenye lengo la kuleta hofu _ wakatikuna mataifa mengine ingawa hayasemi na kujitapa tapa, lakini yanaizidi kete Merikani kwa mbali katika masuala ya kijasusi.
 
Hao ndio wenyewe haswa, wanatazama miaka 100 mbele. Nchi yenye ukubwa wa mkoa wa Mwanza kuwaburuza na kuwa bull majirani wake wote wakubwa walioizunguka inahitaji akili za ziada.
Wanatamani sana wapate ardhi ya kutumia kuharibu vinu vya Iran
 
Hujazungumzia Wamarekani Wizara ya Ulinzi ya Russia. Halafu watu kama Tarimo kutoka Mburahati hawawezi kuziona taarifa za ngazi za juu za Wagner, pia mtu kutoka Brooklyn kwenda kujiunga na Wagner labda anahitajia kufa tu, ameshajichokea na maisha, watu wa aina hiyo hawawezi kuwa asset kwa CIA.
Kwa kile nilichokiandika na ulichonjibu hapa ni sawa na uji na mapera,, yani haviendani kabisaa,, sijaelewa hata kidogo
 
Kwa mara nyingine Marekani imekamatwa ikidukua Nchi rafiki na viongozi wa nchi hizo

Uvujaji wa Siri siku za hivi karibuni umefichua umbali ambao Marekani imeenda kupata taarifa hadi milangoni mwa maadui na marafiki.

UAE
Imejikuta taarifa zake kuhusu kujitenga na US, UK zikianikwa hadharani

South Korea
Taarifa zinadai kuwa mazungumzo kati ya Rais na washauri wake walikuwa hawaelewani

Israel
Taarifa zinadai kuwa Mossad na MoD walishauriana kuandaa maandamano ili kupinga Mswada wa Sheria ambao ungeipa Serikali nguvu juu ya Mahakama

Egypt
Taarifa zinadai Egypt kwa Kisiri alikubali kutengeneza makombora 40,000 na kuyatuma Russia kisiri

Russia
Taarifa zinadai kuwa Marekani ina watu ndani ya Wagner na MoD ya Russia hivyo inakuwa rahisi kwa Marekani kujua kila sehemu Wagner waendapo ndo maana wamekuwa wakitoa taarifa na mashambulizi kufanyika, itakumbukwa mara kadhaa Mkuu wa Wagner amekoswa koswa na mashambulizi.
Kushindwa kwa jeshi la Russia pale Vuhledar ni kidhihirisho kuwa Marekani alijua kabla na kuwapa taarifa Ukraine

Ukraine
Maongezi kati ya Rais wa Ukraine na MoD na viongozi wengine yamevuja, hii yaonesha Marekani inawafatilia Ukraine ili kujua kila kinachoendelea ndani ya ikulu hiyo

Serikali zote zimekana kuhusu hayo

Pentagon yadai kuwa kuvuja kwa siri hizo kutahatarisha usalama kwa waliokuwa wakitoa taarifa kwenda Marekani.

Ukraine yabadilisha mbinu za mashambulizi.
Hakunaga urafiki kwenye intelligence, hata walodukuliwa wanajua hilo. Na wao wana shushushu wao huko US
 
Hili halikwepeki hao watoa Siri imekula kwao.....Wasaliti hawachekewi.
Tatizo kuwapata ndo itakuwa kimbembe.

Na inavyo onekana hizi nyaraka hazija vujishwa na watu wa ndani ya Pentagon bali kuna shirika la kijasusi la nchi nyingine lenye uwezo mkubwa limezidikua na kuzisambaza makusudi kabisa.

Na kuvuja kwa nyaraka hizo kunaipa faida kubwa Urusi maana Ukraine itarazimika kuchelewesha counteroffensive maana mikakati yake yote ya counteroffensive aliyo tarajia kuianza iko hadharani na kadili offenseve inavyo chelewa kuanza ndio nafasi ya kufanikiwa kwake ina zidi kuwa finyu.
 
Wao wanadai leak imetokea kwao maana ni picha zimepigwa kabisa sio kwamba ni online, kumbuka agencies zinafanya kazi kwa documents na sio mtandaoni
 
Hao ndio wenyewe haswa, wanatazama miaka 100 mbele. Nchi yenye ukubwa wa mkoa wa Mwanza kuwaburuza na kuwa bull majirani wake wote wakubwa walioizunguka inahitaji akili za ziada.
Hivi nyinyi mnao semaga kuwa Israel ina maadui wengi alio pakana nao mbona huwa siwaelewi?
Karibia majirani wote wa Israel na mataifa yote ya kiarabu ni vibaraka wa Marekani hivi unaweza kuwa adui wa Israel alafu wakati huo uwe na Urafiki na Marekani kweli?
Uadui wa Israel na nchi za kiarabu ni wa kubumba ili kuwahadaa raia wa nchi hizo lakini kiuhalisia hakuna taifa lenye muda wa kuizuru Israel hapo mashariki ya kati zaidi ya Iran na Syria labda.
Kwanza hizo sifa mnazo mpa Mosad mnatakiwa myape mashirika ya kijasusi ya Iran maana ndo yenye rundo la maadui kuanzia mashariki ya kati na duniani kote ambao wanaota usiku na mchana Iran ianguke lakini yakaweza kuimamisha Iran na kuifanya kuwa imara.

Yaani uwe na nia ya kuidhuru Israel alafu wakati huo uwe na Urafiki wa kufa na kupona na Marekani ? Kweli huu ni utani na kichekesho.
 
Back
Top Bottom