Marejesho ya mikopo NMB na CRDB kwa watumishi waliotangaza nia 2020 zimekatwa kwenye mishahara

makwagejo

JF-Expert Member
Nov 25, 2019
361
267
Poleni watumishi mliogombea na kurudishwa kazini, poleni kwa makato ya mwezi mmoja kwenye mabenki mliokopa na serikali kutopeleka marejesho kwenye bank.

Hii ndio CCM, Chama cha Mapinduzi. Kiherehere chenu watumishi kugombea kimewaponza.
 
Kwani mikopo hiyo si kawaida kukatwa katika mishahara?? Au sijakuelewa....!!!
 
NIKWELI ILA WALISIMAMISHIWA MISHAHARA MIEZI MIWILI ,MAREJESHO YA MWEZI WA 7 NA 8,KWENYE MABENKI SERIKALI HAIKULIPA ,SASA WATUMISHI HAO WAMEKATWA HIZO HELA KWENYE MISHAHARA YA KAWAIDA
 
duh....
 
Ni kweli 100% .hata kiinua mgongo chao kwa miezi miwili kilikatwa. Mtumishi wa umma kuipigia CCM kura anatakiwa apelekwe mirembe
 
NIKWELI ILA WALISIMAMISHIWA MISHAHARA MIEZI MIWILI ,MAREJESHO YA MWEZI WA 7 NA 8,KWENYE MABENKI SERIKALI HAIKULIPA ,SASA WATUMISHI HAO WAMEKATWA HIZO HELA KWENYE MISHAHARA YA KAWAIDA
Siipendi CCM lakini ukweli ni kwamba, makatato yote yalikuwa yanalipwa isipokuwa ile take home ndiyo hivyo tena.
 
Back
Top Bottom