Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,459
- 872,114
Ni kitu cha kushangaza kidogo kustaajabisha na pengine inaweza kuwawia vigumu wengine kuamini! Lakini baadhi ya marehemu huwa na hulka kwa sababu zozote zile hurudi mahali walipofia ama kuugua hadi kufa
Hawaji moja kwa moja, huwaoni moja kwa moja kwakuwa wao si mwili tena wao ni roho...utahisi tu hali tofauti utahisi uwepo wake harufu yake ama hata kumuona sura isiyo kamili
Hali hizi hutokea kwenye mazingira ya utulivu pasipo na vurugu za watu wengi na muda mwingi huwa ni nyakati za usiku
Wengine hurudi kusalimia, wengine hurudi kukumbukia mateso waliyopitia wengine hurudi kukamilisha mambo anuwai wasiyoyakamilisha....
Ni wazi sasa kuwa kifo si mwisho wa uhai bali mi mwanzo wa kuingia kwenye hatua nyingine ya maisha isiyo juu na kubwa zaidi kuliko haya maisha tunayoishi