Saa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 6,528
- 12,960
Vina ubora na maudhui ya staha kwa asilimia 100.Vipindi vyako vina ubora na maudhui ya staha?
Temana na Ruge. Muache apumzike.Ulikua ni muendelezo wa msimu wa fiesta unayofanyika karibu kila mwaka, utofauti wa msimu huu mwingine ni kuwa msimu uwo wa fiesta ndio kilizaliwa kichanga ambacho sasa kimekua na tayari kinajitegemea kinaitwa FURSA.
Timu ya fursa sijui iliongozwa na nani ila Marehemu Ruge Mutahaba nae alikuwepo, Ilizunguka maeneo mbali mbali kwenye jiji nililokuwepo bila kificho na kujaribu kuweka bayana baadhi ya fursa ambazo zinapatikana kwenye sekta mbalimbali kama rasharasha tu ila lengo kuu ilikua kutukaribisha kwenye tukio kuu la Fursa lillikua linaenda kufanyika katika moja ya kumbi maarufu jiji hapo.
Long story short, kwenye mengi aliyozungumza Marehemu Ruge, moja lilikua ni kuwepo kwa uhitaji mkubwa wa vipindi vya televisheni hasa katika vituo vya kurushia matangazo vya ndani. Hakuishia hapo aliongezea kwa kusema uhaba uwo upo mpaka nje ya nchi, kwamba ushakutana na vituo vikubwa Africa vipo nchini kutafuta maudhuhi kutoka kwa wazalishaji wa ndani na kuondoka bila mafanikio. Mwamba akachangiza kwa kusema tuchangamikia fursa, vijana tusilale... Bhana wewe si nikasema mwamba ndio huyu.
Mwananenu nikazama chimbo kutengeneza maudhuhi ya pekee kabisa, ambayo mpaka muda wa nachapisha bandiko hili bado haijaruka hata ya kufanana nayo.
Miaka mitano nyuma kutoka mwaka huu, Mchongo wangu mkononi nikaanza kugonga milango ya vituo vyetu vya habari. Nikaanza na kituo pendwa cha burudani kwa vijana Clouds Media, Nikaambulia maneno matupu ya siyo eleweka vivyo hivyo EATV, EFM. Kipindi hicho Wasafi TV ilikuwa bado haijatinga kwa hewa.
Mpaka leo nashindwa kuelewa ni kwamba
1. Marehemu alikuwa anafurahisha genge kwa kusema yale
2. connection ndiyo iliyonikwamisha
3. Sikukutana na watu sahihi kwenye malango yale
Mwenye connection anakaribishwa
msimu uwo wa fiesta ndio kilizaliwa kichanga ambacho sasa kimekua na tayari kinajitegemea kinaitwa FURSA.
DahHuko ukienda vibaya na maudhui yako wanaiba hivyo kuwa makini
Tunafanyaje mkuu tuweze kusogeaAlikuwa sahihi,huoni pale Azam watu wanakula pesa tamthilia za kina mama kimbo
Tatizo la afya ya akili linazidi,wahi matibabu mkuuSi hayo tu Na alikugongea mamako pia.
Usifanye maamuzi ya Maisha Kwa kusikiliza mtu. Fanya utafiti wako mwenyewe jidhihirishe na uchukue hatua. Umefanya Makosa makubwa Sana kuchukua maamuzi Kwa kumsikiliza mtu ambaye maisha yako na yake yametofautiana. Binadamu hatufanani hata siku moja tambua Hilo chukua ushauri uchuje ndio utumie. Haya ni mawazo yangu tu kaka.Ulikua ni muendelezo wa msimu wa fiesta unayofanyika karibu kila mwaka, utofauti wa msimu huu mwingine ni kuwa msimu uwo wa fiesta ndio kilizaliwa kichanga ambacho sasa kimekua na tayari kinajitegemea kinaitwa FURSA.
Timu ya fursa sijui iliongozwa na nani ila Marehemu Ruge Mutahaba nae alikuwepo, Ilizunguka maeneo mbali mbali kwenye jiji nililokuwepo bila kificho na kujaribu kuweka bayana baadhi ya fursa ambazo zinapatikana kwenye sekta mbalimbali kama rasharasha tu ila lengo kuu ilikua kutukaribisha kwenye tukio kuu la Fursa lillikua linaenda kufanyika katika moja ya kumbi maarufu jiji hapo.
Long story short, kwenye mengi aliyozungumza Marehemu Ruge, moja lilikua ni kuwepo kwa uhitaji mkubwa wa vipindi vya televisheni hasa katika vituo vya kurushia matangazo vya ndani. Hakuishia hapo aliongezea kwa kusema uhaba uwo upo mpaka nje ya nchi, kwamba ushakutana na vituo vikubwa Africa vipo nchini kutafuta maudhuhi kutoka kwa wazalishaji wa ndani na kuondoka bila mafanikio. Mwamba akachangiza kwa kusema tuchangamikia fursa, vijana tusilale... Bhana wewe si nikasema mwamba ndio huyu.
Mwananenu nikazama chimbo kutengeneza maudhuhi ya pekee kabisa, ambayo mpaka muda wa nachapisha bandiko hili bado haijaruka hata ya kufanana nayo.
Miaka mitano nyuma kutoka mwaka huu, Mchongo wangu mkononi nikaanza kugonga milango ya vituo vyetu vya habari. Nikaanza na kituo pendwa cha burudani kwa vijana Clouds Media, Nikaambulia maneno matupu ya siyo eleweka vivyo hivyo EATV, EFM. Kipindi hicho Wasafi TV ilikuwa bado haijatinga kwa hewa.
Mpaka leo nashindwa kuelewa ni kwamba
1. Marehemu alikuwa anafurahisha genge kwa kusema yale
2. connection ndiyo iliyonikwamisha
3. Sikukutana na watu sahihi kwenye malango yale
Mwenye connection anakaribishwa
Ruge alikuwa kweli, Redio hazikuwa nyingi na zimeibuka nyingi baada ya kina Ruger mengi na Dialo kuiona fursaUlikua ni muendelezo wa msimu wa fiesta unayofanyika karibu kila mwaka, utofauti wa msimu huu mwingine ni kuwa msimu uwo wa fiesta ndio kilizaliwa kichanga ambacho sasa kimekua na tayari kinajitegemea kinaitwa FURSA.
Timu ya fursa sijui iliongozwa na nani ila Marehemu Ruge Mutahaba nae alikuwepo, Ilizunguka maeneo mbali mbali kwenye jiji nililokuwepo bila kificho na kujaribu kuweka bayana baadhi ya fursa ambazo zinapatikana kwenye sekta mbalimbali kama rasharasha tu ila lengo kuu ilikua kutukaribisha kwenye tukio kuu la Fursa lillikua linaenda kufanyika katika moja ya kumbi maarufu jiji hapo.
Long story short, kwenye mengi aliyozungumza Marehemu Ruge, moja lilikua ni kuwepo kwa uhitaji mkubwa wa vipindi vya televisheni hasa katika vituo vya kurushia matangazo vya ndani. Hakuishia hapo aliongezea kwa kusema uhaba uwo upo mpaka nje ya nchi, kwamba ushakutana na vituo vikubwa Africa vipo nchini kutafuta maudhuhi kutoka kwa wazalishaji wa ndani na kuondoka bila mafanikio. Mwamba akachangiza kwa kusema tuchangamikia fursa, vijana tusilale... Bhana wewe si nikasema mwamba ndio huyu.
Mwananenu nikazama chimbo kutengeneza maudhuhi ya pekee kabisa, ambayo mpaka muda wa nachapisha bandiko hili bado haijaruka hata ya kufanana nayo.
Miaka mitano nyuma kutoka mwaka huu, Mchongo wangu mkononi nikaanza kugonga milango ya vituo vyetu vya habari. Nikaanza na kituo pendwa cha burudani kwa vijana Clouds Media, Nikaambulia maneno matupu ya siyo eleweka vivyo hivyo EATV, EFM. Kipindi hicho Wasafi TV ilikuwa bado haijatinga kwa hewa.
Mpaka leo nashindwa kuelewa ni kwamba
1. Marehemu alikuwa anafurahisha genge kwa kusema yale
2. connection ndiyo iliyonikwamisha
3. Sikukutana na watu sahihi kwenye malango yale
Mwenye connection anakaribishwa
Kila Kona ya Tanzania Leo kumekuwa na Redio na hizo zote zinataka content. Tuko kwenye ulimwengu wa content, kama ni mahiri unatoboa ila wengi tunapenda kitonga.Alikuwa sahihi,huoni pale Azam watu wanakula pesa tamthilia za kina mama kimbo
Ushauri malidhawa, hakika nitaufanyia kaziUsifanye maamuzi ya Maisha Kwa kusikiliza mtu. Fanya utafiti wako mwenyewe jidhihirishe na uchukue hatua. Umefanya Makosa makubwa Sana kuchukua maamuzi Kwa kumsikiliza mtu ambaye maisha yako na yake yametofautiana. Binadamu hatufanani hata siku moja tambua Hilo chukua ushauri uchuje ndio utumie. Haya ni mawazo yangu tu kaka.
πππwengi humuona kama tapeli.
takbiirTemana na Ruge. Muache apumzike.
Wakumsema vibaya ni yule mtesi wetu aliyetupora mali zetu, aliyetubomolea nyumba zetu aliyempiga risasi braza lissu.
ππππ€£π€£π€£ππππ€£π€£πVijana Wanaitiwa Fursa Wakati Huo Huo Kiingilio OopsFiesta 2023 NOMARA WAA (In Gadner's voice).
Ulikua ni muendelezo wa msimu wa fiesta unayofanyika karibu kila mwaka, utofauti wa msimu huu mwingine ni kuwa msimu uwo wa fiesta ndio kilizaliwa kichanga ambacho sasa kimekua na tayari kinajitegemea kinaitwa FURSA.