Marehemu Judge Mwakasendo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Marehemu Judge Mwakasendo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by jannua, Jan 8, 2011.

 1. j

  jannua Member

  #1
  Jan 8, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna mtu yeyote ambaye ana taarifa za Marehemu Jaji Mwakasendo? Kazi yake ilikuwaje na utata wa kifo chake?
   
 2. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  dondosha hapa unachokifahamu sisi tutaokota na kujazia nyama
   
 3. j

  jannua Member

  #3
  Jan 8, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nasikia alikuwa mkali sana kuhusu rushwa, alifanya kazi zake bila uwoga. Karibu na mwisho wa maisha yake alikuwa na uhusiano wa karibu wa kikazi na PM wa wakati huo MS. Kuna Tetesi kwamba aliwauzi baadhi ya Dar es salaam circle na wale MS aliokuwa akiwafuatilia.
   
 4. m

  mzambia JF-Expert Member

  #4
  Jan 8, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Ms= moringe sokoine? Mbona unafichaficha?
   
 5. O

  Ogah JF-Expert Member

  #5
  Jan 8, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Alikuwa next to Marehemu Jaji Mkuu (Rt) Nyalali, nidhamu ya hali ya juu na majaji wenzake walimuheshimu sana, kesi zake nyingi na maamuzi yake yameenda shule kwa sana RIP JR1 Mwakasendo
   
 6. U

  Unstoppable JF-Expert Member

  #6
  Jan 8, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,049
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Simfahamu sana marehemu Mwakasendo lakini namfahamu sana sana marehemu Nyalali. Sijaelewa kama unataka kusema late Nyalali alikua mtu safi? nakataaa kabisaa nanina mifano sahihi ikumbukwe kuwa late Nyalali was the only chief justice I know baada ya kustaafu wafanya kazi wa mahakama from top to bottom walifanya underground parties kushangilia but I will reserve him for now kwasababu ni marehemu.
   
 7. O

  Ogah JF-Expert Member

  #7
  Jan 8, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Mada ni kuhusu Jaji Mwakasendo, na ndiye niliyemzungumzia...........au husomi kwa vituo mwenzetu!!
   
 8. T

  Taso JF-Expert Member

  #8
  Jan 8, 2011
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,653
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  alikuwa next to Nyalali maana yake nini, walikuwa wanaambatana kama maharusi au?
   
 9. U

  Unstoppable JF-Expert Member

  #9
  Jan 8, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,049
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  I just found out from a reliable source alikufa kwa tumor/uvimbe kwenye kichwa.
   
 10. U

  Unstoppable JF-Expert Member

  #10
  Jan 9, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,049
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hata mimi sikumuelewa nikaambiwa sisomi kwa vituo.
   
 11. j

  jannua Member

  #11
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndio Moringe Sokoine
   
 12. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #12
  Jan 9, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,085
  Likes Received: 4,032
  Trophy Points: 280
  usisahau shangilizi hizo zinaweza zikawa za wala rushwa maana system yetu ni mbovu ukiwabana wanakuchukia
   
 13. j

  jannua Member

  #13
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Very Interesting, umepata wapi hiyo source? unaweza kushare zaidi? Ni vizuri wengine wenye source wakazieleza pia.
  Wakati mauti yalipomkuta alikuwa kaimu Jaji Mkuu (CJ wa wakati huo alikuwa nje kwa muda, Nyerere appointed Jaji Mwakasendo ).

  The little I hear ni kwamba kwa muda mrefu alikuwa akipingana sana na mambo ya rushwa, na baazi ya wazee wa dar waliazimia kumfundisha.
  Baadaye Mwakasendo alikuwa na mahusiano ya karibu ya kikazi an Marehemu Sokoine, inasemekana walikuwa wakikutana Oysterbay Hotel, weekends sometimes kijadili mambo ya kazi. Kulikuwa na tetesi nyingi late 1983 and early 1984 kwamba on Nyerere retirement Moringe was to take over and they were suspecting he would have appoint Jaji as PM, Watu wa uslama wa wakati huo watafahamu hizi tetesi.

  Uhusiano huo haukuwapendeza baadhi ya maadui wa MS, kipindi Mwakasendo alipokaimu kuwa Jaji Mkuu katika moja ya hotuba yake alisema hakutakuwa na huruma na wahujumu uchumi na atahahakisha wanashugulikiwa mahakamani. Moja ya watu wa karibu wa then katibu mkuu wa ccm na waziri mmmoja walikuwa na tuhuma za uhujumu. Pia Jaji alimuuzi Diwani wa dar amabaye anajulikana kama mtoto wa mjini na aliwahi kuwa meya (huyu inasemekana aliwah kutoa kauli kwamba tutamfundisha)

  Jaji alilazwa kipindi fulani Muhimbili, marehemu Sokoine alikwenda kumtembelea na akaagiza apelekwe nje (Sio uvimbe wa kichwa, itakuwa vizuri kufahamu wapi umepata hii data) My take is baada ya Moringe kutaka akatibiwe nje, then if any one was behind his death, they had to finish him then before he leaves.

  There is one person who was the last one to see Jaji, huyu bwana ni some Prof of something who later became doctor of one tanzania Top official , huyu bwana ndio alikuwa mtu wa mwisho kumuona na kumdunga Jaji sindano,inasemekana dakika chache baada ya sindano alianza kujisikia vibaya na hali yake kuwa mbaya, huyo muheshimiwa aliyempiga sindano alipotea hapo wodini na hospitalini haraka sana, juhudi za kumtafuta kumuangalia Jaji ni kipi kimetokea in a short time, hakuonekana hapo hospitalini alikuwa ameshaondoka.

  Sawa tupeni data kama kuna watu wenye source za uhakika na watu waliomfahamu Jaji Mwakasendo tuelezeni alikuwa mtu wa aina gani.
   
 14. U

  Unstoppable JF-Expert Member

  #14
  Jan 9, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,049
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hapana nina ushahidi wa yeye kutumia vibaya mali ya umma, kulinda wala rushwa wale waliokua na relation na majina fulani, kulipa visasi kwa wabaya wake etc etc Nina ndugu zangu walikua wanafanya naye kazi alikua mbabe kweli. Ikumbukwe ni yeye aliyeisababishia serikali hasara ya 40million baada ya kutumia ubabe kumsimamisha wakili kazi kinyume na vifungu vya sheria. Alikua na bifu na huyo wakili for years, sasa akatumia vibaya nafasi aliyopewa kumkandamiza. Wakili akamshtaki yeye na aliyekua mwanasheria mkuu, pamoja na jaji mfawidhi wa Arusha at that time (marehemu Mrosso). Kama kawaida alizuia kesi ile isisikilizwe (kupiga tarehe na kutopangia jaji hiyo kesi akidai hakuna majaji wakutosha. Alivyochukua Samatta, aliipangia tarehe yakusikilizwa na marehemu Nyalali and the group walishtakiwa kama (serikali). Nyalali na wenzie walishindwa vibaya hivyo serikali ililazimika kumlipa fidia huyo wakili (around 40 million shs). Uki-google unaweza pata hiyo kesi mimi niliisoma hard copy. Waliokua mahakama ya Arusha miaka ya 90's -2001 wanafahamu hiyo kesi . Nyalali alikua mbabe ukiwa na bifu naye anakumaliza. Ni bahati tu wakati huo technology na uhuru wakuzungumza vitu kulikua hamna.
   
 15. U

  Unstoppable JF-Expert Member

  #15
  Jan 9, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,049
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Aliyeniambia alikua ni bosi wake walifanya kazi at the same office. Alisema marehemu alikua anauvimbe kichwani wengine waliita cancer lakini yeye ali-refer it as tumor. Ameniambia ni kweli alikua very principled, mwenye work ethics etc etc kama unavyosema. Lakini huo uvimbe alikua nao kwa muda so alivyokufa everybody knew ndio huo uvimbe umemuua. Unachoelezea chakulazwa muhimbili nikweli maana hata yeye ameniambia hivyo, lakini hakusema ilikua mkono wa mtu. Sasa wakati anatibiwa muhimbili nini kilitokea hapo hajasema so I can not conclude on that. I hope umenielewa.
   
 16. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #16
  Jan 9, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  hii thread ni kituko kweli, sikutegemea mwana JF mwenye upeo na who can dare to talk openly anaweza kuandika thead kama hii isiyo eleweka na iko kama ina beep kila baada ya nusu dakika na kufanya mpaka mtu uzime simu kwa kero.
  hii thread ifutwe inapotezea watu muda
   
 17. Mtoto wa Kishua

  Mtoto wa Kishua JF-Expert Member

  #17
  Jan 9, 2011
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 820
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Hii fammilia ilikua mfano wa malezi bora Oysterbay, simkumbuki Mzee maana nilikua mdogo sana enzi hizo , ila ninamfahamu marehemu mkewe.
   
 18. O

  Ogah JF-Expert Member

  #18
  Jan 9, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  kama huelewi si ungeuliza tu una maana gani kuleta kejeli...........Nyalali alikuwa CJ, next alikuwa JR1 Mwakasendo....

  Ni kweli ungesoma kwa kwa makini ungenielwa nilikuwa nina maana gani.............kiswahili lugha yetu jamani!!

  Unachanganya mambo............anayezungumziwa hapa au Mada ni Jaji Mwakasendo...........

  Again....unachanganya mambo............jannua kaeleza kuhusu yaliyomkuta Jaji Mwakasendo na wewe unamzungumzia CJ Nyalali

  Hawa majaji wote ni marehemu, aliyetangulia kufariki ni Jaji Mwakasendo na baadaye sana Jaji Nyalali alifariki............

  Jaji Mwakasendo nilikuwa namfahamu sana kikazi..............soma vizuri aliyoandika jannua, utaona anamuongelea Jaji Mwakasendo na sio Jaji Nyalali............
   
 19. U

  Unstoppable JF-Expert Member

  #19
  Jan 10, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,049
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Sichanganyi chochote mkuu nafikiri wewe ndio unachanganya. Hayo niliyojibu ni maswali tofauti. Nililolieleza kwa kina kuhusu marehemu Jaji Nyalali ni kutokana na aliye-comment kwamba labda watu walishangilia kustaafu kwake ili waweze kuiba/kupokea rushwa vizuri. Na hilo lingine la Jaji Mwakisendo nimejibu swali la mtu mwingine aliyeuliza source ya info niliyotoa kuhusu jaji Mwakisendo. Jaji Mwakisendo ndie aliyetangulia kufa na ni zamani sana kulinganisha na Jaji Nyalali. I guess waliouliza wamenielewa and for that I agree to disagree with you.
   
 20. O

  Ogah JF-Expert Member

  #20
  Jan 10, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  soma maelezo haya hapa chini

  jannua.........kwa nini unataka kuibua hii kesi ya Jaji Mwakaksendo...........unaweza kutupa hint
   
Loading...