Very Interesting, umepata wapi hiyo source? unaweza kushare zaidi? Ni vizuri wengine wenye source wakazieleza pia.
Wakati mauti yalipomkuta alikuwa kaimu Jaji Mkuu (CJ wa wakati huo alikuwa nje kwa muda, Nyerere appointed Jaji Mwakasendo ).
The little I hear ni kwamba kwa muda mrefu alikuwa akipingana sana na mambo ya rushwa, na baazi ya wazee wa dar waliazimia kumfundisha.
Baadaye Mwakasendo alikuwa na mahusiano ya karibu ya kikazi an Marehemu Sokoine, inasemekana walikuwa wakikutana Oysterbay Hotel, weekends sometimes kijadili mambo ya kazi. Kulikuwa na tetesi nyingi late 1983 and early 1984 kwamba on Nyerere retirement Moringe was to take over and they were suspecting he would have appoint Jaji as PM, Watu wa uslama wa wakati huo watafahamu hizi tetesi.
Uhusiano huo haukuwapendeza baadhi ya maadui wa MS, kipindi Mwakasendo alipokaimu kuwa Jaji Mkuu katika moja ya hotuba yake alisema hakutakuwa na huruma na wahujumu uchumi na atahahakisha wanashugulikiwa mahakamani. Moja ya watu wa karibu wa then katibu mkuu wa ccm na waziri mmmoja walikuwa na tuhuma za uhujumu. Pia Jaji alimuuzi Diwani wa dar amabaye anajulikana kama mtoto wa mjini na aliwahi kuwa meya (huyu inasemekana aliwah kutoa kauli kwamba tutamfundisha)
Jaji alilazwa kipindi fulani Muhimbili, marehemu Sokoine alikwenda kumtembelea na akaagiza apelekwe nje (Sio uvimbe wa kichwa, itakuwa vizuri kufahamu wapi umepata hii data) My take is baada ya Moringe kutaka akatibiwe nje, then if any one was behind his death, they had to finish him then before he leaves.
There is one person who was the last one to see Jaji, huyu bwana ni some Prof of something who later became doctor of one tanzania Top official , huyu bwana ndio alikuwa mtu wa mwisho kumuona na kumdunga Jaji sindano,inasemekana dakika chache baada ya sindano alianza kujisikia vibaya na hali yake kuwa mbaya, huyo muheshimiwa aliyempiga sindano alipotea hapo wodini na hospitalini haraka sana, juhudi za kumtafuta kumuangalia Jaji ni kipi kimetokea in a short time, hakuonekana hapo hospitalini alikuwa ameshaondoka.
Sawa tupeni data kama kuna watu wenye source za uhakika na watu waliomfahamu Jaji Mwakasendo tuelezeni alikuwa mtu wa aina gani.