Marehemu jana wamepiga kura Zanzibar

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,903
4,051
Jamani Zanzibar kuna uonevu sana

hebu fikiria mtu amefariki mmemzika halafu unamwona naye ni mmojawapo aliyepiga Kura halafu CCM imetangazwa mshindi.

Nafikiria hakuna haja ya kupiga Kura kuwa Na utangazwaji wa mshindi.
 
Jamani Zanzibar kuna uonevu sn.

hembu fikiria MTU amefariki mmemzika halaf unamwona naye ni mmojawapo aliepiga Kura halafu ccm imetangazwa mshindi.

nafikiria hakuna haja ya kupiga Kura kuwa Na utangazwaji WA mshindi.
Ww ni hasara ya taifa.. lete jina kwanza usituletee stori za kuokota kikaratas çhakuokota mlangoni
 
Hii bana ni forum huru kwa kila mtu weka jina hapo ubaoni. Ila sishangai kwa ushindi wa ccm siku zote hushinda kwa dhuluma tu
 
Jamani Zanzibar kuna uonevu sana

hebu fikiria mtu amefariki mmemzika halafu unamwona naye ni mmojawapo aliyepiga Kura halafu CCM imetangazwa mshindi.

Nafikiria hakuna haja ya kupiga Kura kuwa Na utangazwaji wa mshindi.
Toa ushahidi
 
Hawa jamaa ni zaidi ya shetani. Nikikumbuka Spika Sitta alivyo mpigisha kura marehemu mama yake na Zitto kwenye BMK na aibu waliyopata sikudhani kuwa mbinu ile ya kichawi wanaweza kuirudia tena! Lakini ndio hivyo tena, ukishakula nyama ya mtu .................
 
Kuna siku watu wataongea kama Ghana na Gambia.
 
Marehemu walipokuwa wanapiga kura ninyi mlikuwa wapi?
Kwa nini hamkuwashika na kuwapeleka mahakamani?
HAPA KAZI TU.
 
Back
Top Bottom