Marehemu huwa anamuita mwenza wake?

Marehemu huwa anamuita mwenza wake?

si kweli ni imani... aliwazalo mjinga ndilo litako mpata... sasa wengi wanyapata kutokana na mawazo yao..
 
Mkuu kwanza utafiti wa wawili tu haufai labda kama umesha jipa majibu mwenyewe na unayaamini na hapa unataka kupata uhakika na unachokiamini.. Pili hakuna kitu kama iko na tatu usiogope kufa maana haikwepeki muhimu jiandalie makazi mema.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Mimi huwa ananitokea as if alisafiri na akarudi,,, na ndo hii hunijia mara kwa mara japo ni mwaka wa saba sasa toka alipoenda mbele ya haki. Kiukweli kumuota mke wako aliefariki kila mara inauma sana. RIP mke wangu
 
Imani za kiislam hizi. Uongo, uzushi na Ulaghai.
Unaweza kuthitisha? Hivi unajua ulichokiandika kuwa ni cha hatari. Ulichoandika ni sawa na kusema Uislam ni uongo, uzushi na ulaghai. Mimi sio muislamu lakini sipendi kukejeli imani za kidini za watu wengine. Chunga sana mkuu!
 
Huwa ipo hasa anapotangulia mwanamke, wanaume siyo wepesi kuhimili mikikimikiki au kuendelea na yale maisha waliyoyazoea wakiwa wawili, huwa wanashikwa na kihoro au tuseme wanakuwa na mawazo ndiyo maana wanakufa hata kwenye ajali au unakuta amefia tu usingizini.

Kuhusu akina mama mmmh, ni kama wanaona neema imeonekana, wanapendeza, wanaanza kumiliki akina marios na mambo kama hayo, so hana stress anapendeza.

Kwa uhakika hili la akina mama ongea na watu wanaotoka kimara.
 
Sijajua ni nini, lakini Wanawake wengi waliofiwa na waume zao wanaendelea kuishi kwa muda mrefu tu. Ila kwa wanaume waliofiwa na wake zao hawachukuagi muda nao hufa kwa kweli.
 
hata binadamu anaweza kujua mwisho wake sio kila kitu mungu tu!

Ni kwel kulingana na uyo mungu wako.

kila kitu duniani anayepanga na anayejua mwisho wa yote ni Mungu... na sio mungu wako.

Mungu ndo kila kitu kaka! kama ad leo unaamin na hao gods zako jua kua mkubwa wao yupo naye ni God..

achana na gods zako kamaMOLEKI, Ashtorethi, Baali, Dagoni, Merodaki, Zeu, Herme, na Artemi.

njoo kwa mfalme wa miungu(kutoka 20:3)
 
Sijajua ni nini, lakini Wanawake wengi waliofiwa na waume zao wanaendelea kuishi kwa muda mrefu tu. Ila kwa wanaume waliofiwa na wake zao hawachukuagi muda nao hufa kwa kweli.

That is an illution, hakuna kitu kaa icho dunian.
 
mwanaume kukabili stress ni issue sana, wamama wanacop easly. utampata wapi wa kumrudia saa tisa usiku na kamfuko ka chips ulizonunua saa moja?
 
Back
Top Bottom