New Nytemare
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 3,400
- 2,572
Habari wanajamvi,
Leo nimeona nijaribu kushare nanyi juu ya hii imani ambayo imezoeleka sana katika jamii yetu. Ni kwamba kama wanandoa hasa vijana vijana bahati mbaya katangulia kufariki mwanamke basi na mume huwa hachukui muda mrefu anafariki hata sio kwa ugonjwa yani kwa janga lolote hata ajali kwa kigezo kuwa mkewe kamuita ndo maana naye kafariki mapema..hata mm hili nimeliona mara mbili jamaa kafiwa na mkewe naye mwaka ulofuata alipata ajali ya gari akafa..na mwingine hivohivo naye alipata ajali ya pikpik..sasa napenda kujadili nanyi tujue kama kuna ukweli hapa...